John Pombe Magufuli unatuchefua

John Pombe Magufuli unatuchefua

The late Pof Haroub Othman once said: Democracy ni pamoja na kusikia yale usiyoyapenda/kuyakubali.

What do you expect if the thread itself is subjective and do not want oppisite views?

subjective relative to reactive mode. Refer to newton's 3rd law of motion. And being subjective depends on the subject, but in politics... Subjectivity is what brings nations and societies into conflicts
 
Kweli hata mimi namuona jamaa kama NGUVU YA SODA au MKATE WA BOFLO na chai
 
subjective relative to reactive mode. Refer to newton's 3rd law of motion. And being subjective depends on the subject, but in politics... Subjectivity is what brings nations and societies into conflicts

Yes, you got it right!!!!!!!!!!
 
Huyu jamaa nilikuwa indifferent sana kwake lakini kadri siku sinavyokwenda nazidi kuamini Urais ni kazi kubwa sana kwake kama ana hiyo ndoto..
 
bila kuwa na roho mbaya huwezi kuwa bilionea
ukicheka cheka utakuta nyani wamekula mahindi yoote
[video=youtube_share;9rJoZWUxjz0]http://youtu.be/9rJoZWUxjz0[/video]
 
Huyo Kikwete tumeshmchoka sasa unataka liangamizwe taifa lote la Tanganyika? am just enough with CCM and i cant wait to see them out
 
Wengi tunamheshi mu sana kusimamia miradi ya mabilioni ujenzi wa barabara zetu kwingi nchini bila kusikia tuhuma za UFISADI lakini kura yangu hawezi kuipata kamwe mpaka awe amejitenga na genge kubwa la MAFISADI waliojaa ndani ya CCM au achague kwanza kuwaachia hao MAFISADI chama.

Bila hivo, DrMaghufuli hata Dr Shein, pamoja na heshma yoooote kwao, itabidi walie tu; hakuna kura hapa ya kwenda kuimarisha zaidi UFISADI wa wana CCM wengi wasiosikia lolote hao.
 
mkuu Dr anamweleza Mkandarasi Yeah yeah nini,maneno mengi kuliko kazi hahahahaha

watu kama hawa bana hawawezi pewa nafasi kubwa kama Uraisi maana upo uwezekano wa kutomwekea Raisi mstahafu kinga ya kutoshitakiwa
Dr bana huwa hana mzaha ktk kazi,ingawaje anamapungufu yake,lakini kiukweli hatuwezi mfananisha na mawaziri wengine waliobaki

naweza mfananisha na SOKOINE
 
APEWE!?
ZIMEKUWA PIPI?
Kama akiwa waziri aliuza nyumba za serikali,akiwa rais si atauza nchi mwanaharamu huyu?
mkataeeeeeeee!!!
Pamoja na show zake za kujipendekeza kwa watanzania, kamwe hatutamsahau wala kumsamehe kwa hasara aliyotuletea kwa kufanya jambo la ajabu na ambalo halijawahi kutendeka nchi hii, la kuuza nyumba za serikali na waliostahili kuishi kwenye nyumba hizo kupelekwa mahotelini tunakowagharimia hadi leo! Bwana huyu hafai kabisa na akipewa nchi atauza hata sehemu ya bahari.
 
Wengi tunamheshi mu sana kusimamia miradi ya mabilioni ujenzi wa barabara zetu kwingi nchini bila kusikia tuhuma za UFISADI lakini kura yangu hawezi kuipata kamwe mpaka awe amejitenga na genge kubwa la MAFISADI waliojaa ndani ya CCM au achague kwanza kuwaachia hao MAFISADI chama.

Bila hivo, DrMaghufuli hata Dr Shein, pamoja na heshma yoooote kwao, itabidi walie tu; hakuna kura hapa ya kwenda kuimarisha zaidi UFISADI wa wana CCM wengi wasiosikia lolote hao.

Sema hujafanya homework yako vizuri magufuli hana tuhuma za ufisadi????
Rudi library ukafanye kazi yako ila kwa uchache:
Kuuza nyumba za serikali kwa waru wasiohusika (mdogo wake na kimada wake)
Kuwapendelea wachina katika zabuni za kutengeneza barabara kwa kifupi haka kajamaa ni myopic sana hakawezi urais kwan ni kanafiki na kamtu ka visasi, kama unabisha fatilia mambo kanayowafanyia watu wa jimbo la Biharamulo Magharibi kisa walikanyima ubunge mwaka 1990 na kumpa kipenzi cha wote mpiganaji hayati Phares Kabuye!!
 
Leadership is different from project management. Our crisis partly stems from the fact that we have been electing project managers instead of leaders! And the difference is you need money to successfully manage a project, but you need ideas to be a good leader!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom