John Pombe Magufuli unatuchefua

John Pombe Magufuli unatuchefua

Good advice, he should know kwamba kwa sasa kuna viongozi wa watu na viongozi wa chama.... Yeye si mkipenzi cha wenzake ccm na mtaji wake mkuu ni sisi wananchi wa kawaida, sasa anapoanza kuchefua basi anapunguza sana heshima yake
 
Hakuna mtu asiyekuwa na mapungu kama mwanadamu..huyu jamaa katika mawaziri wanaofanya kazi zinaonekana huyu ni number one..tuache habari za CCM na CDM,Tanzania bila nguvu ile nchi aiendi hata kidogo..hasa upande wa miundombinu sababu kila kona kumeoza hakufai.
Natamani kuona barabara za bongo ziko kama za Tokyo
Mpeni Hongera zake pale anapostaili na ushauri pale anapokosea.
huyu Jamaa siyo siri anachefua kinoma. Mbona mama Tibaijuka anachapa kazi zake vizuri na hawapigi madongo wapinzani?
Huyu kweli Domo lake lafanana na Jina lake!!!
 
Huyu jamaa anajua kuwa hakutakiwa na wala asingekuwepo, ila kilichompa nafasi ni imani ambayo wananchi walikuwa nayo kwake. So akapewa nafasi kwa kuwa wakubwa waliogopa kunyooshewa vidole na wananchi.

Hata yeye analijua hilo, kosa lake anafight jamaa wamkubali, ila mbinu aliyochagua ndo hiyo ya kujipendekeza kwao kwa kuponda upinzani kila mara.

Hata hivyo nadhani bado hatakiwi tu, kibaya ni kuwa hajui kuwa afanyavyo hivyo anazidi kupunguza idadi ya watu waliokuwa na imani naye, ambao mimi naamini ndio waliompa uwaziri indirect.

Pombe chapa kazi, madili yatakutoa kazini muda si mrefu, hata mie nimeshakuchoka, maana nakuona ni kama mnafiki tu. Nahisi sifa na thamani ya mema ulioifanyia bongo yetu inaweza potea kwa kumezwa na uozo unaoukumbatia sasa.

Najua unadhani ndio salama yako, but i think you have chosen a wrong way. My advice to you, find another one because In fact bongo still need you.
 
Huyu jamaa anajua kuwa hakutakiwa na wala asingekuwepo, ila kilichompa nafasi ni imani ambayo wananchi walikuwa nayo kwake. So akapewa nafasi kwa kuwa wakubwa waliogopa kunyooshewa vidole na wananchi.

Hata yeye analijua hilo, kosa lake anafight jamaa wamkubali, ila mbinu aliyochagua ndo hiyo ya kujipendekeza kwao kwa kuponda upinzani kila mara. Hata hivyo nadhani bado hatakiwi tu, kibaya ni kuwa hajui kuwa afanyavyo hivyo anazidi kupunguza idadi ya watu waliokuwa na imani naye, ambao mimi naamini ndio waliompa uwaziri indirect.

Pombe chapa kazi, madili yatakutoa kazini muda si mrefu, hata mie nimeshakuchoka, maana nakuona ni kama mnafiki tu. Nahisi sifa na thamani ya mema ulioifanyia bongo yetu inaweza potea kwa kumezwa na uozo unaoukumbatia sasa.

Najua unadhani ndio salama yako, but i think you have chosen a wrong way. My advice to you, find another one because In fact bongo still need you.

well said mkuu. Hope ujumbe umefika
 
Miaka 50 ya UHUNI baba Rizi na wezi wenzio kanyageni twende!!!!!!mpaka tushike adabu na tujuuuuuuuuuuuuuute kuwafahamu kudadadeki!!!!!
 
Hivi wana JF wenzangu!!!kwann kila mtu asichukue chake mapema kila mtu akaishi anapopajua maana hili linchi naapa halitokuja kuwa na faida kwa watz walio wengi,ninachoona ni wachache tu ndio watakaochuma zaidi kutokomea kusikojulikana kama Balali.

Nashauri WANYAMAPORI,MADINI YA AINA ZOTE,MAZIWA,MITO,NA KILA RASILIMALI INAYOFAA KUUZWA viuzwe tugawane hata kama kila mtu atapata bukujero poa tuu kwani kitu gani kuliko balaa hili lililopo mm naona tuuze tu tugawane!!hakiyanani!!maana kwakweli watz hatujakubaliana!!!!
 
Natamani angesome hizi comment zako kwa kweli.

Ni kweli ni mchapakazi nadhani angekazana kuhakikisha miundombinu iko safi badala ya kuanza kuponda. Atuachie wananchi tuamue
 
Huu ni unafiki tu, hakuna binadamu asie na mapungufu, inawezekana hayo ulioyataja ndio mapungufu ya Pombe Magufuli, ukiweka unafiki pembeni, Pombe Magufuli ndie Waziri mchapakazi nchi hii imepata kuwa nae, sababu ya utendaji kazi wake.

Rais Mkapa alimwita ndie Askari wake wa Mwamvuli namba moja, JK alipoingia akamuweka Wizara isio na jina ili kumpoteza, Mifugo na Uvuvi, huko ame-perform vizuri mpaka imebidi arudishwe katika Barabara.

Hakika nakwambia jaribu kufanya Utafiti kesho, andaa Questionnaires Waulize Watanzania, ni waziri gani anetekeleza Majukumu yake ipasavyo, Watasema ni Pombe Magufuli. Acheni wivu wa Kike.
 
Huu ni unafiki tu, hakuna binadamu asie na mapungufu, inawezekana hayo ulioyataja ndio mapungufu ya Pombe Magufuli, ukiweka unafiki pembeni, Pombe Magufuli ndie Waziri mchapakazi nchi hii imepata kuwa nae, sababu ya utendaji kazi wake, Rais Mkapa alimwita ndie Askari wake wa Mwamvuli namba moja JK alipoingia akamuweka Wizara isio na jina ili kumpoteza, Mifugo na Uvuvi, huko ame-perform vizuri mpaka imebidi arudishwe katika Barabara.

Hakika nakwambia jaribu kufanya Utafiti kesho, andaa Questionnaires Waulize Watanzania, ni waziri gani anetekeleza Majukumu yake ipasavyo, Watasema ni Pombe Magufuli. Acheni wivu wa Kike.

Na wewe acha wivu wa kishoga! Kumtamani mume wa mwezako ni dhambi. Hasa ukiwa mwanaume mwenzake. Umenikera kusemawivu wa kike. Hatumaanishi Magufuli hafanyi kazi ila tunachochukia ni kiherehere chake na kuropoka hovyo wakati anajua wananchi walikuwa wanampenda
 
Magufuli the Great songa mbele usivisikilize hivi visisimizi! Vimekereka kwa sababu umeviponda endelea kuvipa live, vinataka kusifiwa tu bila kukosolewa. Usirudi nyuma tupo wengi sana tunaokuunga mkono. Vibaraka wa chache tena with no adress ndo vinaleta maneno ya maliwatoni. Wachambishe hao wataisoma namba.
We KAKUCHAMBISHA nini?
 
Well done, imenipa mwanga kwa Huyu jamaa coz nilikuwa namwona ndo afadhali kumbe GAMBA halifichiki.
 
kuna hilo pia limejitokeza Alhamisi wiki hii katka mji wa Chato kwenye jimbo la Dr Magufuli ambapo wananchi waligoma kuhudhuria mkutano wake wa hadhara na mbunge huyo aliondokakwa ghadhabu licha ya mkuu wa wilaya hiyo Bi Hadija Nyembo kumowmba avute subira. Je ni Nabii kwmaba huw ahatambuliki kwao?
Angekuwa hatambuliki wasinge mpa kura naona wamechoshwa na ubabaishaji wake na ccm kwa ujumla
 
Magufuli umeingiza uongo kwenye siasa zako kama ulivyotudanganya kwenye bunge la bajeti barabara za juu zimekwisha anza DSM sijui ulikuwa na maana gani ktk hili ila tangia hapo ndo nilianza kujua wewe sivyo kama wengi tulivyokuwa tunakudhania
 
yeye na serukamba-mwenywkiti wa kamati ya kudumu ya miundombinu wameudanganya umma.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom