Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,178
- 162,654
Hakika "signature" yangu hapa chini sikuikosea kabisa.
wewe ni sawa na mbuni anayeficha kichwa chake ndani ya udongo while kiwiliwili chote kinaonekana.
kapu jeupe pee.
Habari za Asubuhi GT's,
Nimeona magazeti ya Leo yakipambwa na taarifa za Mkurugenzi mkuu kushughulikia wakwepa kodi.
Naomba pia kuipongeza TRA kwa makusanyo mazuri. Baada ya pongezi hizo naomba kuendelea.
Awali ya yote kama nilivyosema hapo juu nimefurahi na taarifa Yake ya makusanyo na kuwa wako kwenye asilimia zaidi ya 90 ya malengo waliyojiwekea.
Kupitia taarifa hiyo naomba kuchangia yafuatayo ili tuendelee kuboresha zaidi ukusanywaji wa kodi ktk nchi yetu.
Ukusanywaji sahihi wa kodi utaondoa bajeti tegemezi na tutaweza kutoa huduma za jamii kwa wakati hasa tutakapobana matumizi yasiyo ya lazima.
1. JE MALENGO WALIYOJIWEKEA (Targets) YAKO SAHIHI??
Nauliza hivi baada ya ripoti kuwa na excellence performance wakati yeye mwenyewe anasema sasa amepewa rungu atashughulika wakwepa kodi hasa wakubwa.
Ina maana hii ripoti Yake hao wakwepa kodi wakubwa makadirio yao hayakuwekwa kwenye targets?
2. Je hao wakwepa kodi wakubwa (defaulters) ni kina nani? Mbona taarifa Yake haikuwataja???
3. Je hadi sasa kodi ambayo imekwepwa kwa maana kuwa iko due na haikukusanywa ni Tshs ngapi???
4. Je ana mikakati gani ya kukusanya hayo madeni ya hao defaulters? Nilitegemea kwenye ripoti Yake angetoa ultimatum kuwa baada ya mwezi wawe wote wamelipa hayo madeni vinginevyo sheria ichukue mkondo wake.
5. Atoe level ya compliance regional wise.
6. Tunataka kuona realistic targets katika ukusanyaji wa kodi. Sio kuweka low targets halafu watu wanajisifia tumevuka malengo wakati malalamiko ya watu kukwepa kodi ni kila mkoa.
7. Wakati wa kuweka malengo watenganishe kodi inayotokana na mishahara (PAYE) na hiyo ya wafanya biashara ili tuone magnitude ya ukusanyaji katika kila eneo.
8. Taarifa za walipa kodi na defaulters zisiwe siri Kama kuna nia ya kweli ya kuboresha mfumo wetu wa kodi.
Naomba wadau wengine muongezee hoja ili kusaidia suala zima la ukusanyaji kodi ktk nchi yetu.
Mwisho ni ushauri kwako wewe usiyelipa kodi ujue huduma mbovu ktk jamii na Vifo vinavyotokana na kukosekana fedha vinakuhusu.
Hizo damu ziko mikononi mwako. Kwenda kwako misikitini au Kanisani ni bure bora ulale nyumbani.
Pia mfanyakazi yoyote wa TRA anayeshiriki ktk uovu huo. Basi mikono Yake imejaa damu za watu waliokufa sababu ya kukosa huduma mbalimbali za jamii ambapo pesa hizo wewe unahusika kuzipoteza.
Kila mtu asafishe MIKONO Yake tuendelee na kazi kwa kasi ya UWAJIBIKAJI; UFUATILIAJI; na UADILIFU.
Karibuni kwa michango zaidi. Tanzania ni yetu sote na sisi ndio tunaoamua mustakabali wa nchi yetu.
Queen Esther
Nasikia Jamaa kabakiza buku NNE MIA Tano tu
3bn/- Tshs ni pesa ya kuongelea sirikali kulipa?mbon hiyo ni pesa ambayo hata mtu binafsi anayo tu?Elewa kuwa hizo ni millioni 3000,siyo pesa nyingi kihivyo.Hakuna cash crisis yeyote serikali inapesa ya kutosha ndio maana imeweza kuongeza idadi wa wanafunzi kupata mikopo na kulipia matengenezo ya machine za hospital ya billion tatu kilichopo ni mapiganio ya cheo cha ukurugenzi wa TRA nothing more ni mwendo tu wa kuchafuana ili mtu aonekane hafai.
Guys...hii issue ya financial crisis ni uzushi mtupu. Juzi hapa zaidi ya billioni 15 na ushee imepelekwa bodi ya mikopo ya elimu ya juu. Na kana kwamba hiyo haitoshi, trillion 1.7 imekusanywa na TRA kwa mwezi wa huu wa kumi tu.
haya sasa vijana wa UVCCM njooni mporomoshe matusi yenu.
Guys...hii issue ya financial crisis ni uzushi mtupu. Juzi hapa zaidi ya billioni 15 na ushee imepelekwa bodi ya mikopo ya elimu ya juu. Na kana kwamba hiyo haitoshi, trillion 1.7 imekusanywa na TRA kwa mwezi wa huu wa kumi tu.
Kwa ushauri wauze ma v8 landcruiser na Nissan patrol zote zilizopo ofisi za serikali na mashirika ya umma wanunue rav 4,wadhibiti posho,wapunguze mishahara ya watumishi tra
My...kwa maana hiyo hatuhitaj mikopo na misaada kuendesha nchi...kama twakusanya 1.7 trillions kwa mwezi then kwa mwaka ni trillions 20.4Guys...hii issue ya financial crisis ni uzushi mtupu. Juzi hapa zaidi ya billioni 15 na ushee imepelekwa bodi ya mikopo ya elimu ya juu. Na kana kwamba hiyo haitoshi, trillion 1.7 imekusanywa na TRA kwa mwezi wa huu wa kumi tu.
matumizi ya kununua magari 777 ya polisi?