displayname
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 1,972
- 1,091
Guys...hii issue ya financial crisis ni uzushi mtupu. Juzi hapa zaidi ya billioni 15 na ushee imepelekwa bodi ya mikopo ya elimu ya juu. Na kana kwamba hiyo haitoshi, trillion 1.7 imekusanywa na TRA kwa mwezi wa huu wa kumi tu.
Robo ya kwanza (julai-sept) imekatika na sasa robo ya pili (octo-disem) inaelekea katika...hakuna ruzuku za miradi ya maendeleo zilizotua katika Halmashauri..hadi sasa.
Unataka waambia nini wapiga Watanzania?!