John Munisi Katibu wa Chadema wa Jimbo la Hai, aliyepewa kesi ya ubakaji Hai afanya Misa ya Shukrani

yaani mliovyo wajinga kwa kiwangoi cha juu sana nyie kuwapa madaraka itakuwa ndoto maana hao watu wa kipato cha chini wafanya biashara ndogondogo mtawapa shida yaani wata pata tabu sana mtawanyanyasa mno kama mnaona kupanga vitu barabarani ni kosa eti imejengwa kwa garama nyie ni makatili kuliko katili mwenyewe tunawaogopa mtawamaliza wamachinga hamtakaa muingie ikulu hata siku moja mpaka mtakapojirekebbisha na kauli zenu za chuki
Wewe unapanga bidhaa barabarani siyo na unaona ni maendeleo tu
 
Mungu ashukuriwe na amlaze peponi mtu aliyegundua elimu ya DNA.
Inasemekana wengi huko usa walitumikia kunyongwa au hukumu ya maisha teknolojia ya dna ilipokuja iliwaondoa Katika hatia .
Mama amesema hataki kesi za kubambikiza Au kodi ya kudhulumu , demokrasia imefunguka sasa
 
Vijana wa chadema uongo hautawasaidia kumsingizia Magufuli kila kitu.

Kiongozi Mkuu ndie wapendwa wake (WATEULE)wanatuhumiwa kutesa ama kufanya uhalifu huo ni kweli alihusika hakuna uongo hapo.

Maelezo yako yanasema Munisi ni wahanga wa mwanzo kabisa wa utawala wa awamu ya 5 lakini pia unasema Sabaya alimtengenezea kesi ili kumkomoa. Sasa unajiuliza ubaya wa awamu ya 5 ulianza mwaka 2019? Maana Sabaya aliteuliwa 2019. Kama huyo munisi ni miongoni mwa wahanga wa kwanza maana yake utawala wa awamu ya 5 ulianza kuwatendea ubaya watu mwaka 2019. [/QUOTE said:
Kwahiyo mateso ya watu ni halali kwako maadamu hayakuanzia 2019 ehh!?


Vijana wa chadema tungeni uongo unaoendana na uhalisia. [/QUOTE said:
Hapa naona umezoea kutungiwa ama kutunga uongo ama mpaka unataka kushawishi wengine watunge uongo!

Leo nimeona mnamuombea M7 afe eti ni dikteta said:
Dikteta hawafai kwenye dunia ya sasa sijui kwako unawapenda dikteta?

Mnapoomba madikteta wafe msimuache/msimsahau mwenyekiti wenu kwani nae anatakiwa afe.[/QUOTE said:
mwisho si kila Kiongozi ni dikteta bali matendo yao ndio huwabatiza udikteta kama kukaa mamlakani muda mrefu kwa Kiongozi ni udikteta basi hata viongozi wako wa dini utasema ni madikteta maana wao ni mpaka wafe tuu.
 
Vijana wa chadema uongo hautawasaidia kumsingizia Magufuli kila kitu.

Maelezo yako yanasema Munisi ni wahanga wa mwanzo kabisa wa utawala wa awamu ya 5 lakini pia unasema Sabaya alimtengenezea kesi ili kumkomoa.

Sasa unajiuliza ubaya wa awamu ya 5 ulianza mwaka 2019? Maana Sabaya aliteuliwa 2019. Kama huyo munisi ni miongoni mwa wahanga wa kwanza maana yake utawala wa awamu ya 5 ulianza kuwatendea ubaya watu mwaka 2019.

Vinana wa chadema tungeni uongo unaoendana na uhalisia.

Leo nimeona mnamuombea M7 afe eti ni dikteta, sasa kama ni kutaka madikteta wafe mbona hamumuombei mwenyekiti wenu afe maana na yeye ni dikteta. Kiongozi yeyote aliekaa madarakani zaidi ya miaka 10 hata kama anashinda uchaguzi ni dikteta anatakiwa kufa.

Mnapoomba madikteta wafe msimuache/msimsahau mwenyekiti wenu kwani nae anatakiwa afe.
Kweli wewe ni hakimu mfawidhi wa John Pombe maana huelewi unachobisha. Huyo dikteta muuaji aliyekufa kwa KOLONA ameumiza sana watu. Huko aliko atakuwa anapigwa mangumi na hao malaika wake.
 
Back
Top Bottom