PreGE2025 John Mrema avuliwa uanachama wa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kupitia Tawi lake la Bonyokwa mkoani Dar es Salaam, kimemvua rasmi uanachama, John Mrema, kwa kile kilichoelezwa kuwa ni utovu wa nidhamu, dharau kwa mamlaka halali za chama, na kukaidi misingi na maadili ya chama.

Kwa mujibu wa barua rasmi iliyoandikwa na kusainiwa Aprili 30, 2025 na Katibu wa Tawi, Solomini Kagaruki, ambayo Jambo TV tumepata kuiona, na ambayo ilitolewa na tawi hilo, Kamati Tendaji ya tawi hilo ilikutana Aprili 29, 2025 na kupitia tuhuma dhidi ya Mrema, kisha kufikia uamuzi wa pamoja wa kumvua uanachama wake kwa mujibu wa Katiba ya CHADEMA ya mwaka 2006, toleo la 2019, ibara ya 5.4.3.

Miongoni mwa tuhuma zilizomkabili Mrema, aliyekuwa Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa chama hicho, ni pamoja na dharau dhidi ya mamlaka za chama ambapo imeelezwa kuwa alisambaza barua ya wito ya kufika mbele ya kamati ya nidhamu kwenye mitandao ya kijamii badala ya kuitikia kwa utaratibu wa chama, jambo lililotafsiriwa kuwa ni dharau kwa mamlaka husika.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Tuhuma nyingine ni kukaidi maadili na misingi ya chama, ikielezwa kuwa akiwa bado katika mchakato wa kujieleza, alifanya mkutano na waandishi wa habari Aprili 22, 2025 na kutoa tuhuma hadharani dhidi ya chama chake, akibeza misimamo na programu za CHADEMA kinyume cha utaratibu wa ndani wa chama.

Barua hiyo imeeleza kuwa, kutokana na mienendo hiyo, Mrema amepoteza sifa za kuendelea kuwa mwanachama wa CHADEMA kuanzia tarehe 30 Aprili, 2025. Hata hivyo, amepewa haki ya kukata rufaa kwa ngazi ya juu endapo hataridhika na uamuzi huo.

View attachment 3320972

View attachment 3320871

Source: Jambo TV
Wanahubiri demokrasia huku wameficha mapanga. Chama cha Braza K kila siku matamko.
 
Aelekee CCM huko na timu nzima ya wale vijana wa hovyo wapenda nyama na pombe za bure itapendeza zaidi.
 
Wanahubiri demokrasia huku wameficha mapanga. Chama cha Braza K kila siku matamko.

Kwani wewe ni yupi hapo?

1744224725751.png
 
AYAAAAAAAASAA............
MZEE WA "TWENDE TU" AU "TWENDENI TU KWENYE UCHAGUZI" KALIWA KICHWA
 
cHADEMA ASILIA hatukubali. hakyanani Patachimbika! Mrema kalelewa na Mhe. Mbowe tangu ujana wake anakitumikia chama hadi anazeekea kwenye chama?!
Subirini, JOhn Henche, John Mnyika na Lissu wameamua kuwaondoa kanda ya kaskazini.
Bado Lema tu
 
Baada ya kuondolewa Nafasi ya msemaji wa chama kwa kuzubaa, saaa ndo anastuka,

Press Kila kukicha!
 
Naomba niende moja kwa moja,Huyu mtu anayeitwa John mvivu,,hana shughuli zingine za kufanya? Kwan nilazima uwe na chama,hapo ndio nipo jifunza kuwa unapokuwa kiongoz wa chama huende kunaupgaji mwingi,haiwezekan mtu unafukuzwa uanachama unakuwa KiNG'ANG'A,shida nn mbona unatuaibisha sisi wanaume?mm ni mwananchi wa kawaida, nipo zangu mwanza nalima nyanya, njoo tuungane,Kwan maisha bila siasa hayaendi😁😁?au hukujiandaa maisha ya kustaafu?mbona wenzako wapo kimya wamesoma upepo?😝😝,Tulia lea familia unapoteza muda mwingi kwenye vyombo vya habar, muda HUO wote, miez umepita ingekuwa umenunua vifaranga ya kuku hata ufugaji ingekuwa mbali xna kuliko kupoteza muda kwenye vyombo ya habari,
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kupitia Tawi lake la Bonyokwa mkoani Dar es Salaam, kimemvua rasmi uanachama, John Mrema, kwa kile kilichoelezwa kuwa ni utovu wa nidhamu, dharau kwa mamlaka halali za chama, na kukaidi misingi na maadili ya chama.

Kwa mujibu wa barua rasmi iliyoandikwa na kusainiwa Aprili 30, 2025 na Katibu wa Tawi, Solomini Kagaruki, ambayo Jambo TV tumepata kuiona, na ambayo ilitolewa na tawi hilo, Kamati Tendaji ya tawi hilo ilikutana Aprili 29, 2025 na kupitia tuhuma dhidi ya Mrema, kisha kufikia uamuzi wa pamoja wa kumvua uanachama wake kwa mujibu wa Katiba ya CHADEMA ya mwaka 2006, toleo la 2019, ibara ya 5.4.3.

Miongoni mwa tuhuma zilizomkabili Mrema, aliyekuwa Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa chama hicho, ni pamoja na dharau dhidi ya mamlaka za chama ambapo imeelezwa kuwa alisambaza barua ya wito ya kufika mbele ya kamati ya nidhamu kwenye mitandao ya kijamii badala ya kuitikia kwa utaratibu wa chama, jambo lililotafsiriwa kuwa ni dharau kwa mamlaka husika.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Tuhuma nyingine ni kukaidi maadili na misingi ya chama, ikielezwa kuwa akiwa bado katika mchakato wa kujieleza, alifanya mkutano na waandishi wa habari Aprili 22, 2025 na kutoa tuhuma hadharani dhidi ya chama chake, akibeza misimamo na programu za CHADEMA kinyume cha utaratibu wa ndani wa chama.

Barua hiyo imeeleza kuwa, kutokana na mienendo hiyo, Mrema amepoteza sifa za kuendelea kuwa mwanachama wa CHADEMA kuanzia tarehe 30 Aprili, 2025. Hata hivyo, amepewa haki ya kukata rufaa kwa ngazi ya juu endapo hataridhika na uamuzi huo.

View attachment 3320972

View attachment 3320871

Source: Jambo TV
Piga chini UCHAFU huu wa G 55 mmoja baada ya mwingine!!!

Takataka za kuchambiia hizi
 
Hao ndio wanadai demokrasia? Lissu ni dikteta kwl, ndio anadanganya watanzania kuwa anataka demokrasia? Afie huko gerezani
 
Huku nje wanasisitiza uhuru wa kutoa maoni wakati ndani ya chama ni madikteta mtu akitoa maoni mbadala anafukuzwa chama, tukiwapa nchi tutaweza kuwakosoa kweli nyie madikteta uchwara?
Dunia nzima principal ni moja ukiwa roma fanya kama aroma wafanyavyo ukishindwa toka.
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kupitia Tawi lake la Bonyokwa mkoani Dar es Salaam, kimemvua rasmi uanachama, John Mrema, kwa kile kilichoelezwa kuwa ni utovu wa nidhamu, dharau kwa mamlaka halali za chama, na kukaidi misingi na maadili ya chama.

Kwa mujibu wa barua rasmi iliyoandikwa na kusainiwa Aprili 30, 2025 na Katibu wa Tawi, Solomini Kagaruki, ambayo Jambo TV tumepata kuiona, na ambayo ilitolewa na tawi hilo, Kamati Tendaji ya tawi hilo ilikutana Aprili 29, 2025 na kupitia tuhuma dhidi ya Mrema, kisha kufikia uamuzi wa pamoja wa kumvua uanachama wake kwa mujibu wa Katiba ya CHADEMA ya mwaka 2006, toleo la 2019, ibara ya 5.4.3.

Miongoni mwa tuhuma zilizomkabili Mrema, aliyekuwa Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa chama hicho, ni pamoja na dharau dhidi ya mamlaka za chama ambapo imeelezwa kuwa alisambaza barua ya wito ya kufika mbele ya kamati ya nidhamu kwenye mitandao ya kijamii badala ya kuitikia kwa utaratibu wa chama, jambo lililotafsiriwa kuwa ni dharau kwa mamlaka husika.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Tuhuma nyingine ni kukaidi maadili na misingi ya chama, ikielezwa kuwa akiwa bado katika mchakato wa kujieleza, alifanya mkutano na waandishi wa habari Aprili 22, 2025 na kutoa tuhuma hadharani dhidi ya chama chake, akibeza misimamo na programu za CHADEMA kinyume cha utaratibu wa ndani wa chama.

Barua hiyo imeeleza kuwa, kutokana na mienendo hiyo, Mrema amepoteza sifa za kuendelea kuwa mwanachama wa CHADEMA kuanzia tarehe 30 Aprili, 2025. Hata hivyo, amepewa haki ya kukata rufaa kwa ngazi ya juu endapo hataridhika na uamuzi huo.

View attachment 3320972

View attachment 3320871

Source: Jambo TV
Nikishaona jila Mrema tu kwenye siasa namkumbuka Lyatonga. Sijui kwa nn...usaliti katika siasa za Tanzania ziko synonymous na jina Mrema
 
Back
Top Bottom