John Mnyika: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ajiuzulu kutokana na kashfa ya korosho

Mnyika a very genius

Ila toka nikue hadi sasa mawaziri wakuu na hata makamu wa Rais nafasi zao huwa km kivuli cha Rais

Ni sokoine pekee aliyeonesha jinsi kazi za waziri mkuu zinavyotakiwa kufanywa

Pinda yeye alikuwa analia bungeni

Majaliwa yeye ni bubu bungeni
 
Hapa bila kumungunya maneno serikali iliboronga,
Mawaziri wawili walifutwa kazi wakionekana wameshindwa kutatua mgogoro wa bei ya korosho,lakini hata alioteua hao tena walilamba magalasa tu.
Na pale busara za waziri mkuu zilipozuiwa na mkuu wa kaya,kuhusu wanunuzi waliojitokeza muda wa majeruhi,Waziri Mkuu hana kosa.
 
Hivi serikali hii inyojinasihu a wanyonge haina pesa hizo bilioni 500 za kuwalipa wakulima kama ni hasara ikawa juu ya seriali lakini ikaokoa maisha ya watu na wakulima??

Serikali ya kipumbavu sana hiii.
 
Majaliwa atakuwa anaonewa tu, huyu anaendeshwa na ngosha, hasemi wala hapumui juu yake.

Na ccm yote inaendeshwa na huyu ngosha, hawasemi wala hawapumui, hata akiwajambia mdomoni wao hawawezi kumfanya kitu.
 
Back
Top Bottom