mkuu huyo ni chawa wa wenje na odero ....asikusumbue kichwaPumzika tu ignore, mimi na watu aina ya chawa hapana.
mkuu huyo ni chawa wa wenje na odero ....asikusumbue kichwaPumzika tu ignore, mimi na watu aina ya chawa hapana.
Nisha throw away the trush ,kitambo sana.mkuu huyo ni chawa wa wenje na odero ....asikusumbue
hio ndio kazi ccm wamewapa mpambane kuiuwa chadema?bado hamuamin kama TAL ni mwenyekiti wa chadema?mtapata tabu sanaSiyo CDM pekee kulikuwa na vyama imara zaidi kama NCCR, CUF lakini leo viko hoi bin taabani kwa hiyo usishangae miaka ijayo CDM ikawa kama vyama hivyo!!
Mauaji haya ndio ya mwanzo kabisa aliyohusika nayo moja kwa moja Samia Suluhu Hassan; kwa sababu yalimuhusu yeye mwenyewe na familia yake binafsi. Hili jambo lipo wazi.Ali Mohamed Kibao alitekwa Septemba 6, 2024, na mwili wake kupatikana Ununio siku iliyofuata ukiwa umeharibiwa vibaya, tukio ambalo lilizua mshtuko mkubwa nchini na kimataifa.
Fikra za namna hii anza kuzielekeza kwa mhusika mwenyewe, Samia Suhu Hassan; kwa maana maovu yote yanayomhusu yeye sasa yanaanza kujiweka wazi kwa pamoja.Akiingizwa spoku ya baiskeli kwenye njia ya mkojo atasema tuu
Mtamnunu kwa tsh ngapi?Akili itakurudia siku ukimwona Mnyika yupo CCM tena!! Chezea wanasiasa wewe!! Wakina Esther Matiku na Bulaya wako wapi vile??!!
Halafu itakusaidia nini sasa akihamia kwenye hicho chama chenu cha majambazi!Akili itakurudia siku ukimwona Mnyika yupo CCM tena!! Chezea wanasiasa wewe!! Wakina Esther Matiku na Bulaya wako wapi vile??!!
Huu utabiri kuhusu cdm ni kama umeshindwa kufikia matamanio ya kila mwanaccm. Hiki ni kizazi kingine boss. Kwa sasa ccm inabidi ijiangalie itaweza kuendelea kuisha kwa muda gani, kwani uwezekano wa kuuia cdm umefikia mwisho, na hakuna namna nyingine bali kutegemea mbeleko ya dola wazi wazi.Siyo CDM pekee kulikuwa na vyama imara zaidi kama NCCR, CUF lakini leo viko hoi bin taabani kwa hiyo usishangae miaka ijayo CDM ikawa kama vyama hivyo!!
Kwa hili la Lissu tumtafute Kalemani aliyekuwa jirani yake kwanini aliruhusu camera zitolewe.Waliompiga lisu risasi mpaka Leo hawajajulikana na CCTV camera zilikuwepo wakazing'oa mpaka Leo hawataki kuzitoa je nani atawaamini watu hawa policcm?
Siyo miaka ni miezi sita ijayo baada ya ile hati ya ukamataji kutoka kule Netherland kutua kisimkazi!Kabisa. Pia usishangae miaka michache tu ijayo CCM kupoteana na kufa kama KANU ya Kenya.
Haya.Huu utabiri kuhusu cdm ni kama umeshindwa kufikia matamanio ya kila mwanaccm. Hiki ni kizazi kingine boss. Kwa sasa ccm inabidi ijiangalie itaweza kuendelea kuisha kwa muda gani, kwani uwezekano wa kuuia cdm umefikia mwisho, na hakuna namna nyingine bali kutegemea mbeleko ya dola wazi wazi.
Labda CCM igawanyike kama alivyosema Baba wa Taifa Nyerere lakini siyo vyama hivi vilivyopo sasa. Kanu iligawanyika na vyama vinavyoogoza sasa hivi Kenya nikutoka kwenye hiyo Kanu.Mambo ya kutarajia tarajia siyapendi sana. Kafatilie sababu za hivyo vyama kufa utaelewa kwanini CDM ipo na Mwenyekiti wao yupo jela. Inakijua chama cha ukombozi Kenya?! Cha Jomo Kenyata? Kinaitwa KANU, unakisikia leo, basi usishangae miaka ijayo CCM kupotea, na mali zote wana,odai zao zikarudishwa kwenye halmashauri husika.
Umepiga kauta ataki hapa na kufungu dk ya 96. Refa amemaliza mpira.Mambo ya kutarajia tarajia siyapendi sana. Kafatilie sababu za hivyo vyama kufa utaelewa kwanini CDM ipo na Mwenyekiti wao yupo jela. Inakijua chama cha ukombozi Kenya?! Cha Jomo Kenyata? Kinaitwa KANU, unakisikia leo, basi usishangae miaka ijayo CCM kupotea, na mali zote wana,odai zao zikarudishwa kwenye halmashauri husika.
siasa ni michezo, ukiwa maskini utaendeshwa na siasa kama dini ila waliopo ndan ya siasa wanahama mda wowote wakitakani kweli kabisa...mfano yule tapeli wenje ,odero hawa malaya wa siasa wangeitumbukiza gizani chadema