John Mnyika: Sihusiki na mauaji ya Ali Kibao

John Mnyika: Sihusiki na mauaji ya Ali Kibao

Labda CCM igawanyike kama alivyosema Baba wa Taifa Nyerere lakini siyo vyama hivi vilivyopo sasa. Kanu iligawanyika na vyama vinavyoogoza sasa hivi Kenya nikutoka kwenye hiyo Kanu.
Ni suala la muda sio suala la 'Labda'. Haijalishi nini kitatokea ila watapoteana na umaarufu utatoweka mazima. Na nakuahidi muda sio mrefu, Watanganyika sio Misukule.
 
Yani Jinsi serikali inavo tafuta kesi ya kuwwpa hao jamaa, ingekua ni kweli alihusika.

Wangefurahi saana, maana hii ilikua ni black and white mvua za kutosha + instituition Damage kwa CDM

Hawa wahuni tu. Yaani wameshindwa kuchunguza kwa miaka 2 sasa halafu wanakuja na story za mtaani. Yaani kama huyo Yona sijui anaweza kuwa na ushahdi mzito kama huo then kuna haja gani ya kuwa na akina MRILO kazini kama Makamishina wanakula posho za bure tu....!!?
 
Back
Top Bottom