Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 13,321
- 7,392
Sasa mbona analia tena bado tutatia kibiriti mpaka ya huyo fisadi aliyekuweka kinyumbaFanyakazi kwa bidii mkuu na wewe upate chako acha kulalamika huku umekaa unacheza karata vijiweni.
Sasa mbona analia tena bado tutatia kibiriti mpaka ya huyo fisadi aliyekuweka kinyumbaFanyakazi kwa bidii mkuu na wewe upate chako acha kulalamika huku umekaa unacheza karata vijiweni.
imekaa vizuri, kama ilivyokuwa ckivu chadema, naamini hawataiacha ipite bure hii kauli mbiu
Kajifunze kuandika NyambafWengine mnafuata mkumbo, siri ya sera ya majimbo wanaijua waazi wa kanda ya kaskazini na hasa kilimanjaro, NINGALIJUA itafuata pale adhari za sera hii itakapokuja kujionesha.
Sasa mbona analia tena bado tutatia kibiriti mpaka ya huyo fisadi aliyekuweka kinyumba
Lile jangili lenu Kinana lipo Kigoma linawinda SokweNadhani wangeanza ndani ya chama chenyewe, kila wabunge wa chama hicho wajitegemee kulingana na mjimbo wanayoyaongoza
Matusi wanayotukanana wazazi wako usiyalete hapa JF.Kajifunze kuandika Nyambaf
Hakuna mikoa isiyo na ralimali ni uchovu wenu na ccm katika kutambua opportuntities ,Singida na dodoma ambapo wengi wenu manona pakame kuna umeme wa upepo ambao uzalishaji wake unaweza kuuzwa ndani na nje ya nchi, mtwara na Lindi ndio penyewe wazee wa gesi, Ziwa usiseme milango ya kuingia nchin ,ziwa victoria,mbuga serengeti 75% ipo mkoa wa mara, madini ya dhahabu, kanda ya kaskazini ni utalii, mlima, kilimajaro, mbuga za tarangire,manyara,ngorongoro, arusha,momella, nk. Dar Napo usiseme, bandari, biashara,reli,viwanda nk.kwa ujumla hakuna mkoa maskini yote ipo ok ni uvivu wa viongozi kushindwa kuweka brain zao kwenye assignment sahihi.Mbona haujaeleza sera ya majimbo itakavyowanufaisha watanzania kama siyo kuwagawa? Umeishia tu kusema nchi fedha nyingi na Chadema ksimamia sera ya majimbo, sema itakavyowanufaisha watanzania wote wale walio na rasilimali na wasio na rasilimali katika majimbo yao.
Mbona haujaeleza sera ya majimbo itakavyowanufaisha watanzania kama siyo kuwagawa? Umeishia tu kusema nchi fedha nyingi na Chadema ksimamia sera ya majimbo, sema itakavyowanufaisha watanzania wote wale walio na rasilimali na wasio na rasilimali katika majimbo yao.
Hakuna mikoa isiyo na ralimali ni uchovu wenu na ccm katika kutambua opportuntities ,Singida na dodoma ambapo wengi wenu manona pakame kuna umeme wa upepo ambao uzalishaji wake unaweza kuuzwa ndani na nje ya nchi, mtwara na Lindi ndio penyewe wazee wa gesi, Ziwa usiseme milango ya kuingia nchin ,ziwa victoria,mbuga serengeti 75% ipo mkoa wa mara, madini ya dhahabu, kanda ya kaskazini ni utalii, mlima, kilimajaro, mbuga za tarangire,manyara,ngorongoro, arusha,momella, nk. Dar Napo usiseme, bandari, biashara,reli,viwanda nk.kwa ujumla hakuna mkoa maskini yote ipo ok ni uvivu wa viongozi kushindwa kuweka brain zao kwenye assignment sahihi.
nilidhani imetangazwa rasmi
Mbona haujaeleza sera ya majimbo itakavyowanufaisha watanzania kama siyo kuwagawa? Umeishia tu kusema nchi fedha nyingi na Chadema ksimamia sera ya majimbo, sema itakavyowanufaisha watanzania wote wale walio na rasilimali na wasio na rasilimali katika majimbo yao.
Well Said comredHii ndio sera inayoweza kusambaza maendeleo sawa kwa wote Tanzania. sio kulundika kila kitu Dar. Hata Dodoma wameshindwa kuhamia.
Sera ya majimbo ni suluhisho bt watawala wanaiogopa kinafk.Napata wasiwasi na uelewa wa hawa wanaopinga umuhim wa sera ya majimbo kamba ambavyo john mnyika na cdm walivopendekeza mbele ya tume ya maoni ya katiba.
Ni ukweli ulio wazi kuwa utaratibu wa umeshindwa kuleta maendeleo ambayo kila mtanzania anahitaji hasa kwa kuzingatia uwingi wa rasilimali zilizopo kila kona ya nchi hii.
Hata kama si mwanachama wa cdm kwa hili la majimbo wanastahili pongez na uungwaji mkono.