luvcyna
JF-Expert Member
- Feb 24, 2009
- 1,848
- 1,940
Kopi kwa THE BIG SHOWKwa maoni yangu binafsi, yukiacha mawazo mgando na ego spirit, Hapa Mbunge anatupa kitu makini. Nahii sio kwa mtwara tu bali kwa Tanzania nzima. Can we chew this up.
Kopi kwa THE BIG SHOWKwa maoni yangu binafsi, yukiacha mawazo mgando na ego spirit, Hapa Mbunge anatupa kitu makini. Nahii sio kwa mtwara tu bali kwa Tanzania nzima. Can we chew this up.
Nakubaliana na wewe, kwa sababu CCM wana hila sana. Hii waraka ni ilimu tosha kabisa.Kuna umuhimu wa kueneza elimu kwa wananchi ili waijue vizuri sera ya majimbo jinsi ilivyonyambulishwa hapa nami najikuta nikielimika kwa kiasi kikubwa sana
Kwa maoni yangu binafsi, yukiacha mawazo mgando na ego spirit, Hapa Mbunge anatupa kitu makini. Nahii sio kwa mtwara tu bali kwa Tanzania nzima. Can we chew this up.
Tupambane kwa nguvu zote hii sera ipite katika katiba.Sera ya majimbo ni mwiba kwa CCM kwa kuwa inaziba mianya mingi ya rushwa na ufisadi. Kwenye katiba mpya nilitoa maoni yangu kuhusu majimbo sijui kama wataconsider
Eti CCM wanasema majimbo yatagawa nchi. Kwani vijiji, vitongoji, kata, wilaya, mikoa haigawi nchi. Yaani hawa jamaa wamejaa hila tupu. Hawataki majimbo kwa sababu yatakuwa nguvu na uelewa.Sera ya majimbo ni mwiba kwa CCM kwa kuwa inaziba mianya mingi ya rushwa na ufisadi. Kwenye katiba mpya nilitoa maoni yangu kuhusu majimbo sijui kama wataconsider
Tupambane kwa nguvu zote hii sera ipite katika katiba.
Waliweza zamani kutufubaza akili sasa hivi tunaona vijiji vinaingia mikataba na wawekezaji na kwa sababu usimamizi unatokea Dar es Salaam unakuta kuna makosa lakini sera ya majimbo ingekuwa jibuEti CCM wanasema majimbo yatagawa nchi. Kwani vijiji, vitongoji, kata, wilaya, mikoa haigawi nchi. Yaani hawa jamaa wamejaa hila tupu. Hawataki majimbo kwa sababu yatakuwa nguvu na uelewa.
Hawa jamaa, naomba Mungu ashughulike nao.Waliweza zamani kutufubaza akili sasa hivi tunaona vijiji vinaingia mikataba na wawekezaji na kwa sababu usimamizi unatokea Dar es Salaam unakuta kuna makosa lakini sera ya majimbo ingekuwa jibu
My God in Heaven, For Gad sake. Please this people should rest to have sober mind, they are just talking. A professor, is it true?Kweli mfa maji haachi kutapatapa, Prof. Muhongo anaposema sera ya majimbo haitumiki kokote duniani inasikitisha sana!
Tabora ni mfano mzuri wa mfumo huu uliopo!Magamba hawatakubali. Ukiwa na sera ya majimbo hakuna sehemu ya nchi itakayosubiri kwa miaka 51 kupata barabara ya Lami kama watu wa kusini. Ukienda South Africa utagundua kuwa kama sio sera ya majimbo kuna baadhi ya maeneo yangekuwa kama katika ujima. Kuna baadhi ya wilaya hapa Tanzania zimetelekezwa na CCM wananchi wanaishi kama kwenye ujima. Eti mtu ukiajiriwa kama Mwalimu kwenye hizo wilaya lazima ununue PUNDA wa kuchotea maji maana maji yanapatikana 10 Km. Vijana wakifikisha miaka 16 wanaoa kupata wanawake wa kuwatumikisha kuchota maji. CCM kamwe hawatakubali majimbo maana hawana maslahi na kugawa maendeleo sawa kwa nchi nzima. Maendeleo sio lazima muwe na natural resources tu
Ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni. Mmeshasahau kuwa muungano wa Tanzania ni 'Zimbabwe na Pemba'?Kweli mfa maji haachi kutapatapa, Prof. Muhongo anaposema sera ya majimbo haitumiki kokote duniani inasikitisha sana!
Mmmmm, zidumu mgando.Mie nilishatoa ushauri wangu kwa CHADEMA anzisheni TV station yenu ambayo watu watapa fulsa ya kupata hii elimu na kuwa na mijadala mbalimbali. Tumekua tayari hata kutoa mali zetu kwa ajili ya hilo lakini tatizo sijui ni nini? na pia kama chama hata hamtoi ufafanunuzi kama mnakutana na vikwazo katika kutekeleza hilo. Mnyika hiyo document inatakiwa kuwekwa makumbusho/maktaba maana ni nondo tosha kwa wale wasio elewa maana ya sera ya majimbo na falsafa ya nguvu ya umma. Tatizo watu wana mawazo mgando na kutokuwa na uthubutu wa kuruhusu akili zao kufikiri kwa mapana zaidi ya waliyo yazoea na kuyafahamu.
Big up