John Mnyika: Sera ya Majimbo ya CHADEMA siri ya Maendeleo

Kuna decentralization za aina nne ndugu yangu hata ile iliyo fail Tanzania mwaka 1972 ilikua ni Decentralization by centralization ambayo ni kama hadi leo ipo kwani wananchi wanapanga ila maamzi yote yanatoka juu (Katika Central Government), hebu angalia D by D (Decentralization by Devolution) ina faa na itakuwa implemented vilahisi katika mazingira gani? Jibu utakalo pata ni kupitia majibu. Karibu kwa mjadala

The main concerns to many here is the need to devolve some decisions into local governments and thereby giving them a say into politics or policies that have a direct impact on them (that is an obvious problem in Tz and i do not dispute the argument). What is confusing is how this process must be implemented only by following a federal governance system?

So far the proponents of this thinking have yet to bring evidence that the current administrating ways have failed beyond reasonable doubt and can not be improved; therefore we need to find a new method of doing things.

I think if people are to have a discussion on this matter we should start from there, here comes the question what is exactly wrong with the current system?
 
The main concerns to many here is the need to devolve some decisions into locals and thereby giving them a say into politics or policies that have a direct impact on them (that is an obvious problem in Tz and i do not dispute the argument). What is confusing is how this process must be implemented only by following a federal governance system?

So far the proponents of this thinking have yet to bring evidence that there is no way the current administrating ways have failed beyond reasonable doubt and can not be improved therefore we need to find a new method of doing things.

I think if people are to have a discussion on this matter we should there, here comes the question what is exactly wrong with the current system?

we emancipate ourselves to form any matter which will befitted and concerning with our life,we failed on socialism,we failed on Arusha Declaration so hence its time to formulate a new system which we'll be circled in and interrogate the negative consequences.Vinginevyo tusiposimama kidete kila mfumo utakuwa ni deal
 
Uoga ni dhambi,whats lead Tanzanian is fearfulness amongst us, hapo kwenye red inadhihirisha how we are.blue inaonyesha jinsi gani tunakimbilia kwenye udini na ukabila lakini kwenye hayo majimbo hakuna mchanganyiko?Uoga huo wa nini ikiwa Watanzania intermarriage ni kubwa sana bila kujali dini zetu wala makabila yetu.Cha msingi rasilimali za Watanzania lazima zitumike kwa Watanzania.
Why fix it, if its not broken; that is the concern of others na si uoga kwa namna mnavyo lichukulia hili neno.

Uoga unakuja pale unapo mwona bwana sammoses anaranda randa mitaa ya serengeti bila ya silaha kisa mbona wamasai huwa wanafanya hivyo. Aina maana, lazima awe kiteo cha simba on that day, but what measure has he taken if he is ever attacked (hapo ndipo uoga unapo ingia).

Maana masai anaweza fanya hivyo kwakuyajua mazingira yake wapi simba ndio mitaa yake mara nyingi, au apite njia zipi kwa kujua simba anavyo jibanza banza hivyo aweze kuona hatari mapema not to mention sime hipo somewhere ready for the surprises.

Sera ya majimbo inachangamoto nyingi sana na inaweza zua mambo mengi sana kwenye nchi za ukabila, hii sera hipo succesful only on liberal democracies, na unajua kwanini? ngoja nikusaidie mataifa mengi yaliyopo hapo kwa sasa wananchi wanajitambulisha kama raia wa nchi hiyo tu, there is no such thing as tribes na dini yao ni moja (the dominant).

Halafu chunguza kwenye matatizo ya serikali hizi (za majimbo) utagundua ni nchi zenye different people's identification. Hivi vitu sio rahisi, kama mnavyochukulia.
 
we emancipate ourselves to form any matter which will befitted and concerning with our life,we failed on socialism,we failed on Arusha Declaration so hence its time to formulate a new system which we'll be circled in and interrogate the negative consequences.Vinginevyo tusiposimama kidete kila mfumo utakuwa ni you deal
Your talking about about failed policies, i am trying to understand the benefit of the governance style that you're selling to us?

What is wrong with the current one that it can not be improved to meet the efficient levels of the one you see fit?
 
wapinga sera ya majimbo mara zote hawana hoja ya msingi, hoja yao kubwa ni ubaguzi, ukanda etc ...
 
sio hoja zao, hayo ni madhara ambayo realistically yanaweza ibuka je yatazibitiwa vipi?
 
RITZ Umekula Ban Mjeda kweli Mods Noma!upumzike kwa amani.:rockon:
 
Chama kaza mwendo ile ndoto ya uwaziri mkuu inanukia?Harakati za kuishambulia CDM zimekupatia Cheo.Time will Tell:rockon:
 
mawazo ya watu wengine nyie, hivi kwani watu wakitaka ulaji mpaka waitete CCM au watu wakikosoa CDM wanamaslahi na CCM katika hili jukwaa.

Mimi namjua mtu wala hakanyagi hapa JF na wala anashida ya kutokea kwenye ma-blog, lakini sasa anaoneshwa namna ya kubadili mboga tena kwa kutafutwa ni yeye tu kuamua. Mjomba kuna njia nyingi za kudandia band-wagon kama watu wana agenda hizo. CCM Afrika inawanachama luluki hadi JK akujue leo, we uoni jamaa wa diaspora wakitokea tu na raisi wanakutana nae, umewahi jiuliza kuna wanachama wanagapi ndani ya Tanzania wamekutana na JK au kukaribishwa mlo.

Isitoshe viongozi wakuu wakija kukutana nao kwa walio ulaya wa sio big deal, si unaona Mnyika kesha sema anakuja drinks bure kwa mtu mwenye tamaa za siasa hapo ndio pa kujitambulisha.

Acha ushamba wewe, waliokaa kisiasa ni wanasiasa na ambao wanakwambia hawapo kisiasa jua ni commentators tu (kwani tabu kuchukua form ya CDM au CCM kama kweli mtu ana nia, halafu umesoma hule ujumbe wa Ikulu wa kutaka diaspora wachangie taifa kwa mawazo, hata kwa kazi za mikataba kama bado hawataki kurudi) watu wanandoto za kuingia sehemu ambazo siasa za bongo hazilipi kabisa wewe unafikiria kujikomba-komba tu. Akili ya mtu mpuuzi bwana.
 
The main concerns to many here is the need to devolve some decisions into local governments and thereby giving them a say into politics or policies that have a direct impact on them (that is an obvious problem in Tz and i do not dispute the argument). What is confusing is how this process must be implemented only by following a federal governance system?

So far the proponents of this thinking have yet to bring evidence that the current administrating ways have failed beyond reasonable doubt and can not be improved; therefore we need to find a new method of doing things.

I think if people are to have a discussion on this matter we should start from there, here comes the question what is exactly wrong with the current system?

Kaka tatizo moja wapo la system ya sasa ni swala la kodi na ushuru,LGA,s sasa ivi wao wana mandate ya kukusanya ushuru tu kama stand levy,guest levy,ushuru wa mazao hizi ni baadhi ushuru wanazokusanya kama ndio vyanzo vya matapo vya kuendeshea halmashauri husika na kodi kubwa kubwa zinazokusanywa kutoka katika biashara kubbwa ziko chini ya TRA ambayo ipo chini ya Central government hili linafanya LGA's zisiwe na mapato ya kutosha kuweza kujiendesha so kupitia sera ya majimbo tatizo hili litatatuliwa.

Kama nilivyosema hapo mwanzo kuna local government policy paper ya mwaka 1992 ambayo inaelekeza serikali kugatusha madaraka kwa wananchi moja kwa moja hapo ni decentralization by devolution,hapa ikapendekezwa mfano katika LGA's kuwe na mpango unaitwa Opportunity and Obstacle to development (O & OD) hapa wananchi moja kwa moja wao wanasema kwa timu ya wataalam nn ni kipa umbele chao katika maendeleo ktk mwaka husika na vikwazo vya maendeleo na wanapendekeza nn kifanyike lakn hayo hayajawahi kufanyika kutokana na ufinyu wa budget na pesa inayootolewa kutoka serikali kuu kuja kutekeleza budget,so kwa sera ya majimbo itasaidia kwani kila jimbo litakua na uwezo wa kupanga budget zao kupitia LGA's husika hivo kuweza kutekeleza huo mfumo wa O&OD kwa vitendo.

Kaka natumia sim so inaniwia vigum ku type vitu vingi but ntajitahidi ili tuweze kupeana elimu. Karibu
 
Huyo aliekuwa anauliza elimu ya Mnyika alete sera ya CCM hapa.
 
Kaka tatizo moja wapo la system ya sasa ni swala la kodi na ushuru,LGA,s sasa ivi wao wana mandate ya kukusanya ushuru tu kama stand levy,guest levy,ushuru wa mazao hizi ni baadhi ushuru wanazokusanya kama ndio vyanzo vya matapo na kodi kubwa kubwa zinazokusanywa kutoka katika biashara kubbwa ziko chini ya TRA ambayo ipo chini ya Central government hili linafanya LGA's zisiwe na mapato ya kutosha kuweza kujiendesha so kupitia sera ya majimbo tatizo hili litatatuliwa.

Kama nilivyosema hapo mwanzo kuna local government policy paper ya mwaka 1992 ambayo inaelekeza serikali kugatusha madaraka kwa wananchi moja kwa moja hapo ni decentralization by devolution,hapa ikapendekezwa mfano katika LGA's kuwe na mpango unaitwa Opportunity and Obstacle to development (O & OD) hapa wananchi moja kwa moja wao wanasema kwa timu ya wataalam nn ni kipa umbele chao katika maendeleo ktk mwaka husika na vikwazo vya maendeleo na wanapendekeza nn kifanyike lakn hayo hayajawahi kufanyika kutokana na ufinyu wa budget na pesa inayootolewa kutoka serikali kuu kuja kutekeleza budget,so kwa sera ya majimbo itasaidia kwani kila jimbo litakua na uwezo wa kupanga budget zao kupitia LGA's husika hivo kuweza kutekeleza huo mfumo wa O&OD kwa vitendo.

Kaka natumia sim so inaniwia vigum ku type vitu vingi but ntajitahidi ili tuweze kupeana elimuu. Karibu

You have a valid argument and there is the need of improving local governments source of money to be able to operate efficiently and giving quality services to the locals. But i can not tie this argument directly into federalism as being the efficient way to deliver those services or bringing more revenue at local politics.

Yes there is the need of finding a mechanism that would generate more income to LGA, and that requires more decentralization from the central government and more powers and responsibilities on running local services following local initiatives.

I am for seeing local authorities given the responsibilities with many local issues and the current national governance has democracy deficiency, but that is a combination of lacking creativity (from all levels of governance), less pressure from local authorities and other responsible organs such as farmers association, local business association, educational pressure groups and other vital organisations that are not demanding from their government.

The same problems of creativity would occur even if we adopt into the federal way of doing things, as the problem starts with people and understanding their roles in making demands.

Lakini kusema sera ya majimbo ndio muarobaini sikubaliani nalo maana hata kwa sasa local government can achieve those goals if empowered to do so.

Kinachoitajika ngazi za senior regional position ziwe za kuchaguliwa na wananchi hili kuwe na uwakilishi wa watu na local democracy houses for debating local issues hili matatizo ya kila sehemu yaeleweke na viongozi kupanga strategy za kutatua hayo matatizo kupitia budget zao, therefore its matter of negotiating more powers and sources of revenue kuliko kusema tubadilishe mfumo wote kitu ambacho kina weza zua mengine (kutokana na fikra za wengi kwa sasa na akitokea mchocheaji).
 
Kaka tukubaliane kutokukubaliana,tafta sababu za ku fail kwa local gvt mwaka 1972 utaona tatizo liko wapi,pia tafta local gvt policy paper ya Tanzania soma malengo yake na kwa nini hadi leo yanakwepwa kutekelezwa then tafta doccument ya local government reform program uisome vizuri,kisha tafta weakness za local government system in Tanzania utaona tatizo liko wapi na utakuja kukubali kuwa wanaosema sera ya majimbo kuna kitu wanafikilia. Ukiona kuna ugumu wa kuzipata izo documents ni PM ua email then nikiwa karibu na PC utazipata.
 
Mkuu, politic is pervasive and never constant, people demand and question all the time. Its the job of politicians to find solutions to questions asked by their societies and answering them.

That it to say those failed tried methods are not something of a shock in the political world, it is only viewed as those methods are no longer fit for today's purposes anymore. Hence new mechanism needs to be drawn to include social demands.

Sasa kufeli kwa hizo sera aina maana ndio mwisho wa unitary states, maana the way Tanzania does things is not the same as UK or anyother unitary state, nor the way China does thing is not the same as USA or Russia both being federal states.

Kuna influence nyingi ambazo zinachangia ku-fail kwa governance systems, the way politicians behave being central to many governance problems. Hivyo Ku-fail kwa hayo maazimio ya kale aina maana mfumo auwezi boreshwa au hiwe sababu ya kuukimbia mfumo mzima things dont work like that, hata huko mnakotaka kwenda kutakuwa na matatizo (only kwa muundo wa taifa letu yanaweza kuwa zaidi), that is politics.

Jioni njema, Ciao.
 
mkuu chama.

Kwa muda mrefu tangu ukoloni almasi za mwadui zimechimbwa na kuuzwa nje ya nchi, mapato yatokanayo yameingia kwenye mfuko wa nchi na kutumika kwa manufaa ya wananchi wote.

tunaomba takwimu za mapato yanayotokana na almasi (kwa awamu zote nne za utawala wa tanzania) na namna ambavyo tanzania (kama nchi) imefaidika na almasi za mwadui.
 
Mkuu hili swali halitakaa na kamwe haliwezi kujibiwa na magamba asilani na kama wakitoa majibu basi ni blah blah zisizo na mashiko; zisizo na kichwa wala miguu. Magamba wakupe "mapato na matumizi" sahihi ya mgodi; ha ha ha ha! Kwanza hizo data hazipo.
 
Mkuu, politic is pervasive and never constant, people demand and question all the time. Its the job of politicians to find solutions to questions asked by their societies and answering them.

That it to say those failed tried methods are not something of a shock in the political world, it is only viewed as those methods are no longer fit for today's purposes anymore. Hence new mechanism needs to be drawn to include social demands.

Sasa kufeli kwa hizo sera aina maana ndio mwisho wa unitary states, maana the way Tanzania does things is not the same as UK or anyother unitary state, nor the way China does thing is not the same as USA or Russia both being federal states.

Kuna influence nyingi ambazo zinachangia ku-fail kwa governance systems, the way politicians behave being central to many governance problems. Hivyo Ku-fail kwa hayo maazimio ya kale aina maana mfumo auwezi boreshwa au hiwe sababu ya kuukimbia mfumo mzima things dont work like that, hata huko mnakotaka kwenda kutakuwa na matatizo (only kwa muundo wa taifa letu yanaweza kuwa zaidi), that is politics.

Jioni njema, Ciao.

Dats why nikasema utafte/u download hayo maandiko usome bro hata local government reform program unasema ni ya zamani? Civil services reform program,legal sector reform program and local gvnt reform program ni vitu current sana na ndo baadhi zimetoka kufanyiwa evaluation last year tu kaka.
 
Back
Top Bottom