Serikali ya Majimbo ndo njia pekee ya kuiendeleza Nchi Hii... Ukijumuisha Ukubwa wa Nchi, Wingi wa Shida, Mfumo wa Uongozi Uliopo sasa na Aina ya Viongozi na Upatikanaji wao, KWAKWELI tunahitaji HII SERA...
Mfumo wa uchaguzi na uendeshaji wa serikali ya Kenya Ni GHALI mnooo.Asante mkuu,
Hili ni jambo zuri sana na huwezi amini nishawahi kuliandika humu, sema nilikua bado sijalifanyia utafiti..
Nimependa wazo la kuwaweka magavana ni la wananchi wenyewe,sio sasa hivi watu wanasubiri teuzi, mkiwa na conflict of interest na mtoa teuzi umeisha...