Ahsante mkuu!Ni kufuata utaratibu kama unaotumika Kenya.
Uwepo wa serikali za majimbo unaondoa nafasi za kuteuliwa za wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya na badala yake wanakuwepo magavana ambao huchaguliwa na wananchi.
Kwa mfano tunasema Jimbo la Arusha lenye Wilaya zake zote linakuwa na Gavana wake ambaye anachaguliwa na wananchi wa wilaya zote za Mkoa wa Arusha.
Kwa hiyo kama nchi kunakuwa na mabunge mawili yaani lile la Magavana na lile la wabunge wa majimbo.
Taratibu za kodi na rasilimali zilizopo kwenye majimbo yanakuwa yanatamkwa mgawanyo wake kwenye katiba.
Mathalani kiasi cha percent fulani kiende serikali na nyingine ibaki kwa wenye jimbo.
Nk nk
Kwa ufupi ni utawala wa serikali za shirikisho.Sisi CCM hatuamini katika sera ya majimbo.
Ila baadhi ya vyama vya upinzani wana hii sera ya majimbo, so naomba mnielimishe nini maana ya sera ya majimbo kiutawala na hasa kisiasa.
Ni hilo tu.
Kwa kifupi ni utawala wa ndani kama ilivyo Zanzibar hivi sasa. Kwamba majimbo/mikoa/wilaya zinakuwa na uhuru wa kuchagua viongozi wao na kujiendesha.Sisi CCM hatuamini katika sera ya majimbo.
Ila baadhi ya vyama vya upinzani wana hii sera ya majimbo, so naomba mnielimishe nini maana ya sera ya majimbo kiutawala na hasa kisiasa.
Ni hilo tu.
Serikali ya majimbo ni pana zaidi ya ile ya Kenya.Ni kufuata utaratibu kama unaotumika Kenya.
Uwepo wa serikali za majimbo unaondoa nafasi za kuteuliwa za wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya na badala yake wanakuwepo magavana ambao huchaguliwa na wananchi.
Kwa mfano tunasema Jimbo la Arusha lenye Wilaya zake zote linakuwa na Gavana wake ambaye anachaguliwa na wananchi wa wilaya zote za Mkoa wa Arusha.
Kwa hiyo kama nchi kunakuwa na mabunge mawili yaani lile la Magavana na lile la wabunge wa majimbo.
Taratibu za kodi na rasilimali zilizopo kwenye majimbo yanakuwa yanatamkwa mgawanyo wake kwenye katiba.
Mathalani kiasi cha percent fulani kiende serikali na nyingine ibaki kwa wenye jimbo.
Nk nk
Sisi CCM hatuamini katika sera ya majimbo.
Ila baadhi ya vyama vya upinzani wana hii sera ya majimbo, so naomba mnielimishe nini maana ya sera ya majimbo kiutawala na hasa kisiasa.
Ni hilo tu.
Kwahiyo Zanzibar ni sawa na jimbo?Kwa kifupi ni utawala wa ndani kama ilivyo Zanzibar hivi sasa. Kwamba majimbo/mikoa/wilaya zinakuwa na uhuru wa kuchagua viongozi wao na kujiendesha.
Mambo makubwa kama ulinzi, fedha, mambo ya kimataifa, madini, maji,mafuta gas nk vinakuwa chini ya serikali kuu.
Tuna walimu wa wito humu usihofu bwashee!Acha uvivu kasome serekali ya kenya na USA ndiyo utupe mapungufu badala ya kusubiri kulishwa maneno! Ndiyo maana kuna uongo mwingi kwenye mitandao
Ahsante mkuu!Serikali ya majimbo ni pana zaidi ya ile ya Kenya.
Walichofanya Kenya ni kipengele kimoja tu cha serikali ya majimbo. Ambacho huitwa ugatuzi.
Nigeria, Belgium na SA wamepiga hatua mbele sana.
Katiba zao zinathamini kutovurugwa tamaduni za majimbo kwa kile kinachoitwa lazima wafate utamaduni wa taifa.
Nchi ya Tanzania ni kubwa mno katika kuleta maendeleo ya haraka. System hiyo imetumika nchi nyingi za Ulaya kama Ujerumani nk. Hii ina maana kuwa badala ya kuomba ama kusema Rais ametufanyia, bla! bla! Au tunakuomba mweshimiwa Rais bla bla. Hiyo tabia inaondoka. Basi hela ama USHURU wote wa nchi kiasi fulani %fulani inaenda kufanya Maendeleo huko huko watu waliko maana wao ndo wanajua kero zao. Central goverment hawezi tena kutumia Hela inavyotaka bali kwa mujibu wa sheria na makubaliano.Sisi CCM hatuamini katika sera ya majimbo.
Ila baadhi ya vyama vya upinzani wana hii sera ya majimbo, so naomba mnielimishe nini maana ya sera ya majimbo kiutawala na hasa kisiasa.
Ni hilo tu.
CCM haiamini katika serikali ya majimbo kwa kigezo kuwa mfumo huo utaligawa taifa kwa misingi ya kimaeneo, lakini CCM hiyo hiyo iko busy kuunda mikoa na wilaya kila mara huku wakuu wa hizo wilaya na mikoa wote wakiteuliwa na rais kuja kuwatawala watu. Kiufupi CCM hawana mantiki ya msingi kukataa mfumo wa serikali ya majimbo.Sisi CCM hatuamini katika sera ya majimbo.
Ila baadhi ya vyama vya upinzani wana hii sera ya majimbo, so naomba mnielimishe nini maana ya sera ya majimbo kiutawala na hasa kisiasa.
Ni hilo tu.
Ndiyo ni jimbo ndani ya Tanzania!Kwahiyo Zanzibar ni sawa na jimbo?
Argentina amejaribu utawala wa majimbo ukamsumbua sana. Angalia Ethiopia, Mexico, Nigeria, DRC. Majimbo yanaleta vita na ukanda au ukabila.
Hayo ni matokeo ya mahusiano, hulka na historia ya binadamu...Argentina amejaribu utawala wa majimbo ukamsumbua sana. Angalia Ethiopia, Mexico, Nigeria, DRC. Majimbo yanaleta vita na ukanda au ukabila.
Hii nchi si ya wana CCM ni ya Watanzania wote bila kujali itikadi za vyama vyao. Kushupaza mishipa ni kuwaza maendeleo ya nchi. Nchi hii ni kubwa mno. Hata kama CCM wakikataa kuna mtu siku moja atainuka na ataibadirusha nchi hii for the better. Mambo ya Centralized goverment yakiendelea hivi Tanzania itabaki hivi hivi miaka nenda rudi.CCM haiamini katika serikali ya majimbo kwa kigezo kuwa mfumo huo utaligawa taifa kwa misingi ya kimaeneo, lakini CCM hiyo hiyo iko busy kuunda mikoa na wilaya kila mara huku wakuu wa hizo wilaya na mikoa wote wakiteuliwa na rais kuja kuwatawala watu. Kiufupi CCM hawana mantiki ya msingi kukataa mfumo wa serikali ya majimbo.