Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,655
- 33,650
Nani atamfunga paka kengele!
Hapo sasaaaaa 😁😭😊
Nani atamfunga paka kengele!
Uliwahi kuuuliza wenye macho tukutajie yafanywayo? Huenda ukawa kipofu hujionei, tukusaidie, Eti tukusaidie kukutajia?Hafu tunasubiria mpaka miaka mitano yake iishe while tukijua hakuna jipya atakalofanya ndani ya hio miaka mitano sadly atajikomba na kujipendekeza tena inakua miaka 10 ,something must be done kwa kweli. .....
Hata hao waliokuwepo si walianza bila experience???? Wakapata experience ya kutunyonya watanzania,... tunataka viongozi wasichaguliwe kwa teuzi za kujuana, muda wa kutumikia uwe mfupi na uwe performance based, performance yako ndio itakuweka kazini,sio bimkubwa kaamkaje anateua tuu...Wana experience???
Bwana weeee lipi mnalofanya? Hunitishi atiii...lipi mnalojivunia?? Tozo? Au kumuita Mbowe gaidi?Uliwahi kuuuliza wenye macho tukutajie yafanywayo? Huenda ukawa kipofu hujionei, tukusaidie, Eti tukusaidie kukutajia?
Vipaumbele vya serikali ni CCM kuendelea kubaki madarakani😅!
Mwaka wa kwanza baada ya uchaguzi ni kusisitiza ilani mwaka wa pili utekelezaji wa miradi kadhaa kuanzia mwaka wa 3 ni kampeni tu mpaka mwaka wa 5!
And the Cycle goes on hapo maendeleo hata Chama kikitawala miaka 500 mtabaki kuyasikia bombani tu! Story ni ujenzi wa madarasa lami na mabomba ya maji ndio vitakuwa vipaumbele tu😅 na wao ni kubadilishana vijiti na kujineemesha kifisadi tu!
Hujamueleza anachotakaUtawala wa majimbo utaondoa dhana ya kuwa na utitiri wa viongozi katika mikoa, wilaya, kata, tarafa, kijiji, mtaa. Fedha nyingi zitaokolewa na kutumika katika kuleta maendeleo kwa wananchi. Sasa hivi kuna lundo la viongozi ambao wanalipwa mishahara mikubwa na kuishi kama miungu na wanapostaafu wanalipwa hela nyingi za pensheni. Kutokana na kupoteza hela hizi ndio maana tunashindwa kujenga madarasa na vyoo hadi tukakope.
Majimbo ni suluhisho la maendeleo kwa Taifa letu
Nakubaliana nawe. Nipo upande wa Majimbo..kuna nchi hazina majimbo zimeendelea kupita Tz.
..kuna nchi zina majimbo zimeendelea kuliko Tz.
..tunatakiwa kutetea au kupinga majimbo kwa kutumia vigezo na sababu zetu wenyewe Watz.
Maeneo yetu ya asili nayo yalikuwa na uwezo huo huo kama Zanzibar... Fuatilia himaya za machifu!Zanzibar haijapewa uwezo, ilikuwa na inao huo uwezo maana ilikuwa taifa kamili kama uonavyo rwanda, kenya etc
Kama una shida binafsi na ccm sema, sio kutolea kashfa kwa Chama hicho
Kwanza mifumo ya nchi uwa haifanani. Na hakuna anaewalazimisha muwe kama nchi fulani.Kwani mfumo wetu wa uongozi una kasoro gani za kushangaza hata tupapatikie huo umajimbo? Nchi ngapi duniani hazina majimbo na zimeendelea kuliko tz mfano, uingereza, ufaransa, Japan, China, South Korea, hazina hayo majimbo mnayotaka tuyashadadie
Mkuu unafikiri nilileta mada hii bila kuwa na uelewa? Ninschozungimza ni maUshawahi kuwa uliza wizara ya fedha kodi inaridisjwaje iliklpokusanywa?? Ama unafikiria tu kodi yooote inaenda makao makuu?
U natakiwa ujue kuna kodi aina nyingi,
Mfano ushuru wa masoko, mazao parking za magari hizo mara nyingi hubebwa na halmashauri husika, kodi za mishahara ya wafanyakazi hizo kweli huenda serikali kuu moja kwa moja, pia za faida ya biashara ila nadhani kodi ya leseni ya biashara hikusanywa na halmashauri husika
Kwahiyo si kweli kuwa kodi yooote hairudishwi kwenye halmashauri za mahala husika nadhani TRA hawajatoa elimu ya kutosha juu ya suala hilo, ndipo hapo magaidi wanatumia mwanya huo kuwa nchi inahitaji 'majwimbwo', utafikiri walizaliwa kwenye majimbo
Mkuu sijaandika bila kujua nikiandikacho. Ninachozungumzia ni GNI. Nenda utafute hiyo ni nini badala ya kuanza kunirudisha darasani. Inawezekana.Ushawahi kuwa uliza wizara ya fedha kodi inaridisjwaje iliklpokusanywa?? Ama unafikiria tu kodi yooote inaenda makao makuu?
U natakiwa ujue kuna kodi aina nyingi,
Mfano ushuru wa masoko, mazao parking za magari hizo mara nyingi hubebwa na halmashauri husika, kodi za mishahara ya wafanyakazi hizo kweli huenda serikali kuu moja kwa moja, pia za faida ya biashara ila nadhani kodi ya leseni ya biashara hikusanywa na halmashauri husika
Kwahiyo si kweli kuwa kodi yooote hairudishwi kwenye halmashauri za mahala husika nadhani TRA hawajatoa elimu ya kutosha juu ya suala hilo, ndipo hapo magaidi wanatumia mwanya huo kuwa nchi inahitaji 'majwimbwo', utafikiri walizaliwa kwenye majimbo
Mbona husemi kwamba kuna gawio linaenda serikali kuu?kiLa halmashauri kujitegemea mapato
Hii kuamua asilimia ngapi zibaki wapi ni just makubaliano.Kwa ufupi ni utawala wa serikali za shirikisho.
Mfano mfuri TFF kabla iliitwa fat. Fat taiga ndio iliyokuwa ma mamlaka na maamuzi yalitoka taifa. TFF kila mkoa una mamlaka na nguvu za kujiamulia mambo yao wenyewe.
Hivyo serikali za Majimbo au federal gov inatoa Uhuru zaidi kwa kila jimbo/kanda kujiamulia mambo yao wenyewe.
Mfano rahisi ni serikali ya sasa ya ccm. Kwa uhalisia ni serikali ya jimbo moja.
Ambapo jimbo LA znz limepewa Uhuru zaidi kwa baadhi ya mambo kujiamulia wenyewe.
Na rais wa znz si rais. Nguvu alizonazo ni zile za gavana ktk serikali za majimbo.
Mfano mradi wa basi za mwendo kasi au daraja la juu, haikupaswa kuzinduliwa na rais. Kwani miradi ile si wa taifa. Mradi ule unapaswa kuzinduliwa na gavana wa dar.
Kwa ufupi serikali za majimbo huendeshwa zaidi na mamlaka za majimbo husika.
Kwa maana hiyo zinakuwa na idadi chache za mawaziri.
Mfano wizara ya utalii itakuwa chini ya mamlaka za mikoa ambayo utalii upo.
75% ya mapato hubaki jimbo husika
25% huenda serikali kuu
Hakuna nchi ambayo mkuu wa nchi anateua wakuu wa mikoa/wilaya/majimbo iliyoendelea, haipo, kama ipo itaje hata moja.Na kuna nchi hazina hayo majimbo nazimeendelea kuliko tanzania Msitake kujikuta mnayajua sana mambo,
Tuanzie kwako jieleze unachokijua.Sisi CCM hatuamini katika sera ya majimbo.
Ila baadhi ya vyama vya upinzani wana hii sera ya majimbo, so naomba mnielimishe nini maana ya sera ya majimbo kiutawala na hasa kisiasa.
Ni hilo tu.
Kwani aliyoyatanabaisha kwenye andiko lake ni ya uongo......??Kama una shida binafsi na ccm sema, sio kutolea kashfa kwa Chama hicho
Nadhani huyu ndugu ni wale wana CCM wa kwenye vijiwe vya kahawa wanaoamini katika MSAMIATI WA ndio mzee......Shida binafsi ipi mlisema Magufuli ananyima uhuru wa kuongea! Hayupo sasa acheni tuongee mawazo yetu.
Hoja ijibiwe kwa hoja
Nchi zote za kidemokrasia ulizozitaja hapa japo sio serikali za majimbo(states) zina wakuu wa mikoa/counties/provinces ambao wanachaguliwa kwa kura na wananchi, na pia wanaweza kuondolewa kwa kura na wanachi. Hata China ambalo ni taifa la kidikteta makatibu wa chama cha kikomunisti ambao ndio wasimamizi wakuu wa serikali za mikoa wanachaguliwa na wajumbe wengi katika chama katika mikoa yao.Kwani mfumo wetu wa uongozi una kasoro gani za kushangaza hata tupapatikie huo umajimbo? Nchi ngapi duniani hazina majimbo na zimeendelea kuliko tz mfano, uingereza, ufaransa, Japan, China, South Korea, hazina hayo majimbo mnayotaka tuyashadadie
Kasoro za mfumo wetu ni kwamba hakuna jambo lolote kubwa la kimaendeleo linaweza kufanywa mahali bila Rais kupenda pia kasoro nyingine kubwa ni viongozi wote muhimu katika serikali kuteuliwa na mtu mmoja.Kwani mfumo wetu wa uongozi una kasoro gani za kushangaza hata tupapatikie huo umajimbo? Nchi ngapi duniani hazina majimbo na zimeendelea kuliko tz mfano, uingereza, ufaransa, Japan, China, South Korea, hazina hayo majimbo mnayotaka tuyashadadie
Kweli tupu ambayo wao hawataki kuisikiaVipaumbele vya serikali ni CCM kuendelea kubaki madarakani😅!
Mwaka wa kwanza baada ya uchaguzi ni kusisitiza ilani mwaka wa pili utekelezaji wa miradi kadhaa kuanzia mwaka wa 3 ni kampeni tu mpaka mwaka wa 5!
And the Cycle goes on hapo maendeleo hata Chama kikitawala miaka 500 mtabaki kuyasikia bombani tu! Story ni ujenzi wa madarasa lami na mabomba ya maji ndio vitakuwa vipaumbele tu😅 na wao ni kubadilishana vijiti na kujineemesha kifisadi tu!