Hivi hakuna areas zitakua deprived sababu hamna natural resources?....
Asante mkuu,..serikali kuu bado itakuwa na jukumu ya kusaidia majimbo yenye umasikini au yaliyokumbwa na maafa.
..hata ktk mfumo uliopo yapo baadhi ya maeneo hayana natural resources na yapo mengine yamebarikiwa natural resources lakini wananchi wana hali mbaya.
..kinachoondoa umasikini kwa maeneo mbalimbali hapa Tz ni uwepo wa ARDHI YENYE RUTUBA ambayo itawezesha wananchi kuzalisha kwa mahitaji yao na kuuza ziada.
..kwa hapa Tz kila eneo lina uwezo wa kustawi au kuzalisha zao linaloweza kuondoa umasikini ktk eneo husika.
..kuna baadhi wamekuwa na imani kwamba kanda ya kati, Dodoma na Singida, ni eneo masikini lisilo na rasilimali au ardhi yenye rutuba. Jambo hilo sio kweli kwani mikoa hiyo inastawi zabibu, alizeti, na majuzi imegundulika kwamba korosho inaweza kustawi Singida.
..Kwa kifupi hakuna eneo hapa Tz ambalo halina uwezo wa kujiendesha au kujitegemea. Umasikini wa Watz unatokana na vipaumbele vibaya vya serikali zetu.
Na kuna nchi hazina hayo majimbo nazimeendelea kuliko tanzania Msitake kujikuta mnayajua sana mambo,..zipo nchi nyingi zina majimbo lakini hakuna vita, ukanda, au ukabila.
Zanzibar haijapewa uwezo, ilikuwa na inao huo uwezo maana ilikuwa taifa kamili kama uonavyo rwanda, kenya etcSera ya majimbo ni kama vile ccm mlivoipa Zanzibar uwezo wa kujiamulia sehemu kubwa ya mambo yake bila kuisubiri Dar/Dodoma.
Kwa hiyo ni jambo tu la kuongeza majimbo mengine!
Kwani mfumo wetu wa uongozi una kasoro gani za kushangaza hata tupapatikie huo umajimbo? Nchi ngapi duniani hazina majimbo na zimeendelea kuliko tz mfano, uingereza, ufaransa, Japan, China, South Korea, hazina hayo majimbo mnayotaka tuyashadadieHayo ni matokeo ya mahusiano, hulka na historia ya binadamu...
Tusiogope kuwapa wananchi madaraka na umiliki wa nchi yao!
Vipaumbele vya serikali ni CCM kuendelea kubaki madarakani😅!..serikali kuu bado itakuwa na jukumu ya kusaidia majimbo yenye umasikini au yaliyokumbwa na maafa.
..hata ktk mfumo uliopo yapo baadhi ya maeneo hayana natural resources na yapo mengine yamebarikiwa natural resources lakini wananchi wana hali mbaya.
..kinachoondoa umasikini kwa maeneo mbalimbali hapa Tz ni uwepo wa ARDHI YENYE RUTUBA ambayo itawezesha wananchi kuzalisha kwa mahitaji yao na kuuza ziada.
..kwa hapa Tz kila eneo lina uwezo wa kustawi au kuzalisha zao linaloweza kuondoa umasikini ktk eneo husika.
..kuna baadhi wamekuwa na imani kwamba kanda ya kati, Dodoma na Singida, ni eneo masikini lisilo na rasilimali au ardhi yenye rutuba. Jambo hilo sio kweli kwani mikoa hiyo inastawi zabibu, alizeti, na majuzi imegundulika kwamba korosho inaweza kustawi Singida.
..Kwa kifupi hakuna eneo hapa Tz ambalo halina uwezo wa kujiendesha au kujitegemea. Umasikini wa Watz unatokana na vipaumbele vibaya vya serikali zetu.
Kama una shida binafsi na ccm sema, sio kutolea kashfa kwa Chama hichoVipaumbele vya serikali ni CCM kuendelea kubaki madarakani[emoji28]!
Mwaka wa kwanza wa uchaguzi ni kusisitiza ilani mwaka wa pili utekelezaji wa miradi kadhaa kuanzia mwaka wa 3 ni kampeni tu mpaka mwaka wa 5!
And the Cycle goes on hapo maendeleo hata Chama kikitawala miaka 500! Bado ujenzi wa madarasa lami na mabomba ya maji ndio vitakuwa vipaumbele tu[emoji28] wao ni kubadilishana vijiti na kujineemesha kifisadi tu!
Shida binafsi ipi mlisema Magufuli ananyima uhuru wa kuongea! Hayupo sasa acheni tuongee mawazo yetu.Kama una shida binafsi na ccm sema, sio kutolea kashfa kwa Chama hicho
Hapa shida sio majimbo ni marekebisho ya katiba tu ili kuondoa Vilaza in real time! Kazi ya serikali ni wito sio shamba la kuvunia utajiri. Unalipwa ujira kutumikia watanzania.CCM haiamini katika serikali ya majimbo kwa kigezo kuwa mfumo huo utaligawa taifa kwa misingi ya kimaeneo, lakini CCM hiyo hiyo iko busy kuunda mikoa na wilaya kila mara huku wakuu wa hizo wilaya na mikoa wote wakiteuliwa na rais kuja kuwatawala watu. Kiufupi CCM hawana mantiki ya msingi kukataa mfumo wa serikali ya majimbo.
Kwa kweli vilaza wote waondoke, tumechoka kuona same faces, Luna watanzania kibao tu wako tayari kuitumikia TanzaniaHapa shida sio majimbo ni marekebisho ya katiba tu ili kuondoa Vilaza in real time! Kazi ya serikali ni wito sio shamba la kuvunia utajiri. Unalipwa ujira kutumikia watanzania.
Uingereza sidhani kama ni kweliKwani mfumo wetu wa uongozi una kasoro gani za kushangaza hata tupapatikie huo umajimbo? Nchi ngapi duniani hazina majimbo na zimeendelea kuliko tz mfano, uingereza, ufaransa, Japan, China, South Korea, hazina hayo majimbo mnayotaka tuyashadadie
Yah inauzi kuona mamlaka ya kutimua vilaza anayo amiri jeshi pekee wakati ilibidi yawe kwetu huku. Hata wao wangekuwa na adabu sahizi mtu akiwa cabinet anajihesabia ulaji hata kama hana output yeyote!Kwa kweli vilaza wote waondoke, tumechoka kuona same faces, Luna watanzania kibao tu wako tayari kuitumikia Tanzania
Na kuna nchi hazina hayo majimbo nazimeendelea kuliko tanzania Msitake kujikuta mnayajua sana mambo,
Ushawahi kuwa uliza wizara ya fedha kodi inaridisjwaje iliklpokusanywa?? Ama unafikiria tu kodi yooote inaenda makao makuu?Nchi ya Tanzania ni kubwa mno katika kuleta maendeleo ya haraka. System hiyo imetumika nchi nyingi za Ulaya kama Ujerumani nk. Hii ina maana kuwa badala ya kuomba ama kusema Rais ametufanyia, bla! bla! Au tunakuomba mweshimiwa Rais bla bla. Hiyo tabia inaondoka. Basi hela ama USHURU wote wa nchi kiasi fulani %fulani inaenda kufanya Maendeleo huko huko watu waliko maana wao ndo wanajua kero zao. Central goverment hawezi tena kutumia Hela inavyotaka bali kwa mujibu wa sheria na makubaliano.
Pia ni muhimu kujua kuwa si lazima kila mkoa uwe ni jimbo bali,mfano mikoa miwili hivi inakuwa jimbo moja, matokeo yake itaondoa ukanda na Ukandamizaji. Na pia kila rais anapoingia madarakani Hatafanya ayatakayo. Bali majimbo yataona nini kipaumbele cha jimbo lao.
Hii pia itaongeza ajira.
Hafu tunasubiria mpaka miaka mitano yake iishe while tukijua hakuna jipya atakalofanya ndani ya hio miaka mitano sadly atajikomba na kujipendekeza tena inakua miaka 10 ,something must be done kwa kweli. .....Yah inauzi kuona mamlaka ya kutimua vilaza anayo amiri jeshi pekee wakati ilibidi yawe kwetu huku. Hata wao wangekuwa na adabu sahizi mtu akiwa cabinet anajihesabia ulaji hata kama hana output yeyote!
Nani atamfunga paka kengele!Hafu tunasubiria mpaka miaka mitano yake iishe while tukijua hakuna jipya atakalofanya ndani ya hio miaka mitano sadly atajikomba na kujipendekeza tena inakua miaka 10 ,something must be done kwa kweli. .....
Wana experience???Kwa kweli vilaza wote waondoke, tumechoka kuona same faces, Luna watanzania kibao tu wako tayari kuitumikia Tanzania