Dumbuya
JF-Expert Member
- Jan 23, 2014
- 596
- 881
Wana Chadema mpo wapi kuelezea hii sera???Mbona kwenye mada zonazodai facts na maelezo ya kina mnakuwa mnakimbia???
Bring the facts lads..siyo kila siku ohh ccm,ohh ccm..Acheni propaganda hamtaitoa madarakani ccm kwa propaganda,njooni muelezee sera ya majimbo na ni vipi italeta chachu ya maendeleo inayodaiwa na wananchi??