Me nawahakikishia wakimfunga Mbowe kinanuka Tena kitanuka kweli mpaka wamuachie .Nilichokielewa, katika hii 'content' ni kuwa inahitajika 'extra force' kukabiliana na ukiukwaji mkubwa wa KATIBA unauvunjwa na Hangaya.
Machinga wawe kichocheo tu, wengine tufuate.
Mkuu kitanuka kwenye computer yako au simu? Please wengine wanatumia perfum kwenye computer zao na simu ili hata wakinukisha huko zisinuke. Kweli kabisa hakuna polisi wa kuzuia computer na simu yako isinuke. Ni wewe tu unaamua. Hata leo watumiaji wanaweza kukinukisha kwenye computer zao wakiamua. Tusibiri spaces au ile club yetu pendwa pengine kitanuka huko.Me nawahakikishia wakimfunga Mbowe kinanuka Tena kitanuka kweli mpaka wamuachie .
Sioni Polisi wa kuzuia hili wacha wajichanganye kinuke
Hawatafuta mkuuHakuna shida soon wanafuta Hilo Shauri.Limekuwa mwiba na laana kubwa kwa taifa.
Tupo wengi mkuuThe situation is very terrible,Cha msingi si kuinua mikono Tena na kuomba dua Bali Ni kubadilisha staili,staili ambayo Kila mtu hataweza kuisahau katika maisha yake.mnyika ongoza jahazi,Machinga wanasubiri betri ichomolewe .
Fact mkuu.The situation is very terrible,Cha msingi si kuinua mikono Tena na kuomba dua Bali Ni kubadilisha staili,staili ambayo Kila mtu hataweza kuisahau katika maisha yake.mnyika ongoza jahazi,Machinga wanasubiri betri ichomolewe .
Kama una chuma weka hiyo extra force uone moto wake.Nilichokielewa, katika hii 'content' ni kuwa inahitajika 'extra force' kukabiliana na ukiukwaji mkubwa wa KATIBA unauvunjwa na Hangaya.
Machinga wawe kichocheo tu, wengine tufuate.
Chuma kinayeyushwa wewe, hujafikiria kitu kingine?Kama una chuma weka hiyo extra force uone moto wake.