John Mnyika ndani ya Kikao cha Kamati kuu kinachoendelea

John Mnyika ndani ya Kikao cha Kamati kuu kinachoendelea

anatakiwa awe na maamuzi yake pamoja na kuwa anamke je angekuwa Rais akipewa ushauri mmbaya angeamuaje sasa lazima ajue shida ya nchi cyo mtu ni mfumo
 
11705083_950504261674314_3464824027126095861_n.jpg

teh teh teh
Slaa yuko mateka twendeni tukamkomboe
 
Dr atavaa 😎 mama akimwachia mama kashusha upora dr kwa speed ya rocket
 
Chonde chonde chadema mshikamane msiwape nafasi ccm kuvuruga mipango yenu kumbukeni in mipango ya mungu mwaka huu kuidondosha ccm umoja wenu Na mshikamano wenu ndio utawapa ushindi viva mnyika viva slaa

Mpango wa MTU sio wa Mungu. Hata hesabiwa Hana hatia MTU alitajae jina lake bure.
 
Mh:mnyika tunakupenda sana lkn usisahau kuwa tunapenda na chadema pia
 
Hakuna lolote unaloweza kutuaminisha kwa huo uongo wako,wanaofanya hizo propaganda ni ccm

Hahah hamuwezi kujificha..mmenunua chama ila wazalendo hamjatununua..we shall stand
 
Endelea kubebeshwa mizigo kama punda

Ni ngumu kwa sasa kubishana na vijana wa team lowassa sababu wao tayari ni victims..lakini mi kura yangu hainunuliwi kwa pesa..kwa sasa magufuli atakuwa bora zaidi kwangu..
 
MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika, ameibuka jijini Dar es Salaam na kuhudhuria kikao cha Kamati Kuu (CC) ya chama chake. Anaandika Saed Kubenea (endelea).

Taarifa kutoka ndani ya kikao cha CC kinachofanyika katika hoteli ya Bahari Beach zinasema, Mnyika amehudhuria mkutano huo na kueleza kuwa kutoonekana kwake, kumetokana na matatizo ya familia.

Mnyika ambaye ni naibu katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amekuwa haonekani tangu Edward Lowassa alipojiunga na chama chake, Jumapili iliyopita.

Mbali na Mnyika, katibu mkuu wa chama hicho, Dk. Willibrod Slaa, hajaonekana katika ofisi za chama hicho, tangu Lowassa ajiunge na Chadema; jambo ambalo limezua taharuki kwamba huenda amejiuzulu wazifa wake.

Dk. Slaa ambaye alishiriki vikao vyote muhimu na majadiliano vilivyomkaribisha Lowassa ndani ya Chadema, anadaiwa kuzuiwa na mkewe, Josephine Mushumbuzi, kushughulika na chama hicho.

Mwanasheria mkuu wa Chadema, Tundu Lissu amethibitisha Mnyika kuhudhuria mkutano huo.

Amesema, Mnyika yupo ndani ya ukumbi wa mkutano. Anashiriki kikao cha kamati kuu. Waliokuwa wanadhani chama chetu kimepata mpasuko kutokana na ujio wa Lowassa, walikuwa wanajidanganya.

Lissu amesema, ndani ya Chadema wako wamoja, yote yaliyotokea yalikuwa mapambano yanayotokana na ukomavu wa kidemokrasia uliyopo.

KAMA KIONGOZI , ENDAPO UNAWEZA KUWA RULED NA WIFE!
JE UTAKAPOKUWA RAIS HALI ITAKUWAJE?

::::::YA MZEE WETU ALLY HASSAN MWINYK::::::::
ii
 
Ni ngumu kwa sasa kubishana na vijana wa team lowassa sababu wao tayari ni victims..lakini mi kura yangu hainunuliwi kwa pesa..kwa sasa magufuli atakuwa bora zaidi kwangu..

Kuvamia ngoma ya gizani ni hatari
 
Kikakao kimefanyika mchana, lakini picha imechukuliwa usiku duuu.
picha ya usiku hiyo na kikao mchana. Kwi kwi kwi
 
Ni ngumu kwa sasa kubishana na vijana wa team lowassa sababu wao tayari ni victims..lakini mi kura yangu hainunuliwi kwa pesa..kwa sasa magufuli atakuwa bora zaidi kwangu..

Makomeo kawadodea,ni heri kufanya biashara ya juice masika kuliko kumnadi mgombea wa ccm,watanzania watakucheka
 
Ni ngumu kwa sasa kubishana na vijana wa team lowassa sababu wao tayari ni victims..lakini mi kura yangu hainunuliwi kwa pesa..kwa sasa magufuli atakuwa bora zaidi kwangu..

Makomeo kawadodea sasa mtambeba tu
 
To you the younger generation and leaders of tomorrow, I must tell you, that, Pioneers never live to see or enjoy fruits of their labor, they establish new trails so you can all safely pass through.

We are living in a new era. Era of "New World Economic Order" an era whereby where only the strong survive!

Even though my days have numbered, my struggle for equality between stronger and weaker nations will never stop. My struggle for fairness between nations will never stop. My Struggle for comparative Economic Advantage, and social justice will live on. My fight against corruption will never stop. I will never compromise these principles as long as I live.

I may never live to see my beautiful country enjoy its comparative economic advantage, but my children, my grandchildren and millions of young people in my country, fed-up with lifelong corruption, mismanagement and social injustice will. This is what, I m living for. I am living for Economic and social liberation

Well, this is what pioneers do!


Dr. Wilbrod Peter Slaa,
Keynote Adress: Purdue University,
April, 2015
 
Back
Top Bottom