John Mnyika ndani ya Kikao cha Kamati kuu kinachoendelea

John Mnyika ndani ya Kikao cha Kamati kuu kinachoendelea

Huyu mama alijua anakuwa first lady sasa ghafla anaona hali imebadilika basi kaamua kususa, nadhani Kamanda Slaa pamoja na kumpenda sana mkewe lkn vitu vibgine aangalie maslahi ya chama, ss kwa hali hii inngekuwaje kama kweli angekuwa first lady, tungejua amemshauri nini Rais kwa staili hii.
kuna mtu mmoja alipost kwenye ule uzi wa mungi kuwa kama angekuwa first lady kuanzia mlinzi wa getini pale ikulu mpaka mkuu wa majeshi wangetoka kagera.
 
[h=3]MYIKA AIBUKIA KAMATI KUU[/h]

MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika, ameibuka jijini Dar es Salaam na kuhudhuria kikao cha Kamati Kuu (CC) ya chama chake.
Taarifa kutoka ndani ya kikao cha CC kinachofanyika katika hoteli ya Bahari Beach zinasema, Mnyika amehudhuria mkutano huo na kueleza kuwa kutoonekana kwake, kumetokana na matatizo ya familia.
Mnyika ambaye ni naibu katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amekuwa haonekani tangu Edward Lowassa alipojiunga na chama chake, Jumapili iliyopita.
Mwanasheria mkuu wa Chadema, Tundu Lissu amethibitisha Mnyika kuhudhuria mkutano huo.
Amesema, “…Mnyika yupo ndani ya ukumbi wa mkutano. Anashiriki kikao cha kamati kuu. Waliokuwa wanadhani chama chetu kimepata mpasuko kutokana na ujio wa Lowassa, walikuwa wanajidanganya.”
Lissu amesema, ndani ya Chadema wako wamoja, yote yaliyotokea yalikuwa mapambano yanayotokana na ukomavu wa kidemokrasia uliyopo.

Posted by Chadema Blogtz at 6:52 PM No comments:

SOURCE; Chadema Blog: 2015
 
Prof Baregu huyo...Hawa hawana tatizo..shida iko kwa padre na mkewe josephina..ni sheeedaaaa
Mkuu sasa napata shida kama padre angeshhika madaraka mama si ndo angeendesha nchi hii???
Hebu nile zangu kyepe yai hapa nigide na bapa dogo moja nilale
 
11705083_950504261674314_3464824027126095861_n.jpg

Mpola kaziro Slaa. Okashwel'eiyembe ly'omwamutage! Katali Munyaihangirokazi, Muhambakazi.
 
Makamanda twendeni tukamkomboe Dr.W.Slaa ametekwa na inawezekana anapata mateso makali kutoka kwa Josephine au amegeuzwa yaya....!

Makamanda tukamkomboe Slaa.
 
Last edited by a moderator:
"Dk. Slaa ambaye alishiriki vikao vyote muhimu na majadiliano vilivyomkaribisha Lowassa ndani ya Chadema, anadaiwa kuzuiwa na mkewe, Josephine Mushumbuzi, kushughulika na chama hicho.."
Anadaiwa na nani mkuu?na ww umepata wap hizi taarifa?au ndo porojo za kuondolea mawazo?
 
MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika, ameibuka jijini Dar es Salaam na kuhudhuria kikao cha Kamati Kuu (CC) ya chama chake. Anaandika Saed Kubenea … (endelea).

Taarifa kutoka ndani ya kikao cha CC kinachofanyika katika hoteli ya Bahari Beach zinasema, Mnyika amehudhuria mkutano huo na kueleza kuwa kutoonekana kwake, kumetokana na matatizo ya familia.

Mnyika ambaye ni naibu katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amekuwa haonekani tangu Edward Lowassa alipojiunga na chama chake, Jumapili iliyopita.

Mbali na Mnyika, katibu mkuu wa chama hicho, Dk. Willibrod Slaa, hajaonekana katika ofisi za chama hicho, tangu Lowassa ajiunge na Chadema; jambo ambalo limezua taharuki kwamba huenda amejiuzulu wazifa wake.

Dk. Slaa ambaye alishiriki vikao vyote muhimu na majadiliano vilivyomkaribisha Lowassa ndani ya Chadema, anadaiwa kuzuiwa na mkewe, Josephine Mushumbuzi, kushughulika na chama hicho.

Mwanasheria mkuu wa Chadema, Tundu Lissu amethibitisha Mnyika kuhudhuria mkutano huo.

Amesema, “…Mnyika yupo ndani ya ukumbi wa mkutano. Anashiriki kikao cha kamati kuu. Waliokuwa wanadhani chama chetu kimepata mpasuko kutokana na ujio wa Lowassa, walikuwa wanajidanganya.”

Lissu amesema, ndani ya Chadema wako wamoja, yote yaliyotokea yalikuwa mapambano yanayotokana na ukomavu wa kidemokrasia uliyopo.

Mbona kichwa cha habari na kilichomo ni vitu viwili tofauti?
 
Man may have discovered fire, but women discovered how to play with it big up Josephine bt kaa ukijua unampoteza mzee wa watu na watanzania tulimweshimu sana mzee wetu bt wewe uko busy kushusha heshima aliyoitafuta kwa miaka 5 toka 2010 wewe unaishusha kwa miezi miwili iliyobaki kabla ya uchaguzi

Bado sijaamini kama hilo jambo linawezekana la mama slaa amkataze mumewe kwenda kazini,hizi habari zimeletwa kishabiki sana na ni ptopaganda za ccm
 
Nassari anasema Mnyika alikuwa anaumwa malaria wewe unasema alikuwa na matatizo ya kifamilia???

Source:facebook ya nassari

Naona gt sasa hivi imegeuzwa jukwaa la udukuzi wa maisha ya watu
 
Bado sijaamini kama hilo jambo linawezekana la mama slaa amkataze mumewe kwenda kazini,hizi habari zimeletwa kishabiki sana na ni ptopaganda za ccm

Kwa hiyo wewe unambishia Mungi? Slaa amebakisha kuchapwa viboko akileta ukaidi...
Teh Teh..
 
Kama ni kweli basi huyo mama hana akili kabisa. Na pia kama ni kweli Dr Slaa kazuiliwa na huyo mama basi kuna walakini katika kuhudumu kwenye ofisi za umma....manake ataleta mambo ya chumbani wanayoshauriana na mke kwenye masuala ya kitaifa. Kwa hili Dr umeonyesha udhaifu mkubwa. Na Kwa hili Josephine umeonyesha wewe ni mwanamke mpumbavu.
 
Mama Mwai Kibaki naye alikuwa na tabia ya kuingilia press conference ya Prezidaa...... Utasikia Mwai Kibaki akisema "Wee hiyo Pumbafu mafi ya kuku kabisa"
 
Back
Top Bottom