John Mnyika ndani ya Kikao cha Kamati kuu kinachoendelea

John Mnyika ndani ya Kikao cha Kamati kuu kinachoendelea

Kama ni kweli basi huyo mama hana akili kabisa. Na pia kama ni kweli Dr Slaa kazuiliwa na huyo mama basi kuna walakini katika kuhudumu kwenye ofisi za umma....manake ataleta mambo ya chumbani wanayoshauriana na mke kwenye masuala ya kitaifa. Kwa hili Dr umeonyesha udhaifu mkubwa. Na Kwa hili Josephine umeonyesha wewe ni mwanamke mpumbavu.

Kwa maccm hizi ndio propaganda?
 
Kwa maccm hizi habari mnafikiri zitamfanya dr slaa akasilike ili aihame cdm,?
 
Kwa maccm hizi habari mnafikiri zitamfanya dr slaa akasilike ili aihame cdm,?

Mkuu mie siyo CCM. Kama kweli haya yametokea basi yanatakiwa kukemewa na kila mtu. Si mfano mzuri mambo haya kufanywa na kiongozi wa caliber ya Dr Slaa. Mke wake anatakiwa awe mfano. Dr Slaa mwenyewe anatakiwa awe mfano Kwa namna anavyohusiana na mke wake.
 
Na kama siyo ccm,basi ungejitofautisha nao mkuu,hakuna binadamu hasiye na mapungufu yake naamini hata wewe kuna mambo hujakamilika.
 
Na kama siyo ccm,basi ungejitofautisha nao mkuu,hakuna binadamu hasiye na mapungufu yake naamini hata wewe kuna mambo hujakamilika.

Mkuu yanakera haya. Siyo picha nzuri Kwa public. Wajirekebishe.
 
Toa kura yako kwa kutaja jina la Mgombea unaemhitaji awe rais Kati ya Magufuli na Lowasa, taja jina tu.
 
wale tomaso wakatae na hiyo

John-Mnyika-620x308.jpg

Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Bara, John Mnyika (wa kwanza kushoto) akiwa na viongozi wenzake katika kikao cha Kamati Kuu ya Chadema kilichofanyika leo jijini Dar es Salaam​
 
niliwahi kutabiri tatizo sio Padre wa watu tatizo ni yule Gelofriend wake
 
niliwahi kutabiri tatizo sio Padre wa watu tatizo ni yule Gelofriend wake

1. Josephine ana haki kama mwanandoa kuonyesha feelings zake kwa mumewe.

2. Huenda amekosa busara lakini hastahili kutukanwa wala kubezwa. Ni mwana ndoa, apewe heshima yake

3. Tuwatendee haki kwa kuvuta subira tuwasikilize wao wameamua kususa kwa sababu zipi. Na kwa nini wasuse sasa na si kabla au baada ya uchaguzi

4. Nguvu ya Slaa kwenye uhai wa chama ni kubwa na nguvu hii ina mchango mkubwa wa Josephine.

5. Wito wangu kwa Josephine na kwa Dr. Slaa, wajue kuna message wameipeleka Chadema na kwenye public. Waruhusu reconcilliation wakae wapatane kwa manufaa ya vizazi vijavyo.

6. Slaa anaweza ajitoe Chadema (inawezekana ameshajitoa) lakini busara zake, uzoefu wake, ushauri na nguvu yake vikikosekana sasa kuna hatari naiona inakuja. Ni vizuri Slaa akatambua umuhimu wake kwa wakati huu
 
Last edited by a moderator:
Huyu mama alijua anakuwa first lady sasa ghafla anaona hali imebadilika basi kaamua kususa, nadhani Kamanda Slaa pamoja na kumpenda sana mkewe lkn vitu vibgine aangalie maslahi ya chama, ss kwa hali hii inngekuwaje kama kweli angekuwa first lady, tungejua amemshauri nini Rais kwa staili hii.

Labda yakeina dhahabu
 
dr slaa na mkewe Josephine ni viungo muhimu sana katika uhai wa chadema wamejitolea wamefanya kazi na wamejenga chama tunawaomba waweke maslahi mbele ya taifa wajuwe wananchi wanangoja neno moja roka kwao wandungu tunawapenda endeleeni na jukumu lenu la kumng,oa CCM
 
Back
Top Bottom