John Mnyika ndani ya Kikao cha Kamati kuu kinachoendelea

John Mnyika ndani ya Kikao cha Kamati kuu kinachoendelea

Kuingia kwenye kikao cha CC sio kukubaliana na maamuzi.. Ila kama ikitokea Mnyika nae akasaliti harakati na misingi aliyoipigania basi taifa litazidi kupoteza dira.. Maana wanasiasa vijana waliokuwa strong wote wanazidi kuonekana ni njaa njaa.

Alianza Zitto kutuangusha, sasa naona mnyika nae anaweza kutuangusha kwa maslahi ya chama chao.
 
Kama kweli Dr. ana shida basi CDM haitapafom kama tulivyotarajia. Busara zote za ndani ya chama zinahitajika
 
Tupatane na Slaa kwanza

Sawa kabisa,

Katika hili asibaki hata mmoja nyuma, Tumehangaika tukiwa wamoja, Tushinde tukiwa wamoja. Wakati huohuo watu waache kupuuza mchango na Ujenzi wa chama kwa Dr Slaa.. Waache Matusi, Kejeri na Dhihaka zisizokuwa na mpango, Kutoonekana kwa Dr Slaa hakuna anauejua kunatokana na nini... Unamtusi na kumsimanga, akitokea kesho na keshokutwa. utaweka wapi uso wako.??

Mkuu Mzito Kabwela, pamoja sana mkuu, Kila mmoja anahitaji faragha na staha ktk jamii kwa jambo lolote lolilojuu ya uamuzi wake. Ninasikitika na kuomboleza kuona watu humu wanamkosea heshima mtu aliyeipa Heshima Chedema mpaka kufikia hapa ilipo, Kwakweli inauma sana..!!!

BACK TANGANYIKA
 
Yule mwingine kama hataki basi atoke mapema.....

Team Lowasa, hamjawai kuumia kuhusu Slaa na Chadema.

Kwenu Chadema ni daraja la kutafutia madaraka,Mna uchu wa madaraka kuliko kitu kingine nyie mnawaza matumbo yenu tu.

Ama kweli Chadema imetekwa.
 
wewe umekuwa Mtoto wa Sheikh Yahaya? Tuliza mzuka
 
Chonde chonde chadema mshikamane msiwape nafasi ccm kuvuruga mipango yenu kumbukeni in mipango ya mungu mwaka huu kuidondosha ccm umoja wenu Na mshikamano wenu ndio utawapa ushindi viva mnyika viva slaa

Unalia nini sasa! vaa gwanda uitwe FISADI
 
Slaa anajiona mungu ntu ndani ya CDM! Nadhani wangeachana naye tu
 
John John Mnyika,leo katika kikao cha Secretarieti ya Kamati Kuu amejitokeza ndani ya ukumbi,huku akionekana mwenye utulivu wa akili na sura alilakiwa na baadhi ya Wazee wa View attachment 273026

Baada ya Kikao hiki,sisi kama wadau na wapenzi wa Chadema tunaomba ndugu JJ Mnyika uweze kuongea na waandishi wa habari kuondoa sintofahamu iliyojengeka kwa wananchi na hasa wafuasi na wapenzi wa Chadema
'akionekana mwenye utulivu wa akili' Inamaana siku zingine huwa ana utulivu wa akili?
 
Slaa anajiona mungu ntu ndani ya CDM! Nadhani wangeachana naye tu

Hatutathubutu kufanya hivyo kamwe! Tulikuwa pamoja kabla ya uchaguzi, vivyo hivyo tutakuwa pamoja baada ya uchaguzi! Wageni wasituvuruge tukaishia kwenye uchaguzi!
 
Back
Top Bottom