John Mnyika John, Mbatizaji anayetuhumiwa

John Mnyika John, Mbatizaji anayetuhumiwa

Hivi karibuni nitawaletea mkakati unaoendelea ya kuwaondoa wapambe wa Dr Silaa ktk Secretariat mpya ya chadema, na kwanini salum mwalimu alipandishwa ghafla toka vodacom na kuwa NKM cdm Mara baada ya kuondolewa channel ten kuna uhusiano ipi kati ya Chanel10 vodacom na Cdm
Peleka majungu Lumumba, uhusiano ni zote ni taasisi zilizoko Tanzania na watanzania ndio wanafanya huko kazi sasa uhusiano mwingine wa nini?
 
In that sense ni mhubiri yupi kwenye Biblia ambaye hakupendwa na Yesu? Ilitosha tu kusema kulikuwa na Mhubiri mmoja akiitwa YOHANA MBATIZAJI. Lakini Biblia yatamka waziwazi kwamba YULE MWANAFUNZI ALIYEMPENDA, na kwa bahati, naye aliitwa Yohana. Acha kuweka maneno mengi ambayo hayaongezi value yoyote!
Ndugu..,
Katika yooooote niliyoyasema, ukaona SUBJECT ni kupendwa kwa YOHANA..?
 
Sio tu huhitaji pongezi hustahili kupewa pongezi kwa lipi hasa, ww unatafuta kujulikana kwa jamii kwa kutumi majina ya watu na ubunge wa ganda la ndizi, kafanye kazi yaliyo yaako ya wengine waachie wenyewe musheshiwa mbunge, mkiitwa ndugu mbunge mnaona mnadharaulika duhh, any way leo kiapo vp?
Mkuu imempata shingoni hiyo!
 
Ndugu..,
Katika yooooote niliyoyasema, ukaona SUBJECT ni kupendwa kwa YOHANA..?
Mimi sina muda na mambo yenu ya siasa. Kazi yangu ilikuwa kuweka sawa Neno lisipotoshwe; usingali-refer maandiko kwa makosa wala usingaliniona kwenye uzi wako kama ambavyo huwa sina muda na nyuzi za aina hii. Hayo mengine mtajuana huko.

Labda kukusaidia tu SUBJECT ya uzi wako ulishaitoa wewe mwenyewe, ulipaswa kuuliza SUBSTANCE na sio SUBJECT. Chukua hiyo itakusaidia huko uendako.
 
Nilitarajia kuwa utakuwa na hoja ninayopaswa kuijibu lakini sioni maana umeongea kila jambo kwenye aya moja tu.

Nijibu nini sasa,
1. Sijui nafasi yangu kwenye siasa..?
2. Kuhusu Wananchi kunichagua Ubunge jimboni..?
3. Kuwa Baada ya Miaka 5, siasa Bye bye..?
4. Vuguvugu la Lowassa lilinisaidia ama laa..?
5. Kuwa CCM siwezi kudumu..?
6. Nijibu kuhusu Ndoa yangu..?
Au ni lipi hasa ulilenga kulisema kama hoja kuu katika mchanyato wako wa mambo hayo sita..?
Wewe ndio msomi? Kweli ndio maana cdm ilikukimbiza! Nenda huko ccm ambako chama kinajengwa kwa majungu na watu wenye akili fupi, wakuchague uwe msaidizi wa ole sendeka kabisa
 
Kweli ukiingia kwenye siasa bila Kujua unachokifanya ndio mambo kama haya hutokea, mchezaji wa simba kuwapa mbinu za kuimarisha kikosi cha yanga? Hivi wewe ungegombea ubunge wananchi wangekupa? Nakuhakikishia kisiasa baada ya hii miaka mitano andika maumivu! Vuguvugu la Lowassa liliwafanya watu wengi sana waliokuwa mizigo wakahongwa vyeo kudhoofisha upinzani na wewe ulipitia Tundu hilo hilo! Nimesoma bandiko lako nikajua kwanini huko ccm huwezi kudumu! Ndoa yako imening'inia na uzi wa kamba ya katani unahangaika kwenda kumsaidia mwenye ndoa iliyofungwa kwa mnyororo wa chuma?
Haaaaaaaa siasa bhana ina raha yake, bila kuwa mvumilivu utakufa na vijembe.
 
Kama unampenda Mnyika kamtengenezee mkata wa yai umpelekee sio kuja kujambajamba hapa.
Ukiona mtu ameolewa halafu anakusifia sana kwa majirani, ujue anakutaka.
Mnyika ni mtu smart, japo hawezi kukubali ombi lako, we tupa ndoano tu ili utulize roho yako.
 
Peleka majungu Lumumba, uhusiano ni zote ni taasisi zilizoko Tanzania na watanzania ndio wanafanya huko kazi sasa uhusiano mwingine wa nini?

Acha uvivu fikiria nje ya boks usipende kutafuniwa na kumezeshwa pia
 
Siasa za nchi hii vijana
Acha uvivu fikiria nje ya boks usipende kutafuniwa na kumezeshwa pia
Unahisi nafikiri ndani ya boksi? Acheni siasa za majitaka za kwenye mitandao ya kijamii! Siasa za kujenga majungu, kuleta uchonganishi, hizo ni siasa muflisi na Kijana hapaswi kuendekeza kwani zinatabia ya kudumaza akili na matokeo yake Tunakuja kupata watu kama Olesendaka na kina makamba Sr
 
Hivi karibuni nitawaletea mkakati unaoendelea ya kuwaondoa wapambe wa Dr Silaa ktk Secretariat mpya ya chadema, na kwanini salum mwalimu alipandishwa ghafla toka vodacom na kuwa NKM cdm Mara baada ya kuondolewa channel ten kuna uhusiano ipi kati ya Chanel10 vodacom na Cdm

kuna uhusiano gani kati ya Dereva wa meli msomali, jangili wa meno ya tembo na ccm
 
Una
Mnyika angehamia CCM on time angekuwa mbali sana kisiasa, sasa ni too late. Chama kimeshanunuliwa na kina Mnyika wote wamegeuzwa bidhaa.

Unaona kina Shonza na Mtela walishtuka mapema sasa hivi wanashine. Ben Saanane sasa hivi anajuta kwanini hakushirikiana na vijana wenzake.
maana gani unaposema wana shine? wamepata nini cha ziada kuliko Mnyika? Watanzania wengi tumekuwa na kaujinga fulani kushindwa kufahamu faida ya upinzani nchini..Kama upinzani usingekuwepo serikali yetu ingefanya madudu makubwa sana.Kama wameweza kufanya ukiwapo upinzani sembuse wangekuwepo wenyewe? Hata juhudi zote anazofanya Magufuli leo ni kutokana na kuwa na mpinzani mwenye ushawishi mkubwa nchini...tusifikirie upinzani ni kitu cha kubeza upo kwa ajili ya faida ya Watanzania wote
 
Mimi sina muda na mambo yenu ya siasa. Kazi yangu ilikuwa kuweka sawa Neno lisipotoshwe; usingali-refer maandiko kwa makosa wala usingaliniona kwenye uzi wako kama ambavyo huwa sina muda na nyuzi za aina hii. Hayo mengine mtajuana huko.

Labda kukusaidia tu SUBJECT ya uzi wako ulishaitoa wewe mwenyewe, ulipaswa kuuliza SUBSTANCE na sio SUBJECT. Chukua hiyo itakusaidia huko uendako.
Huyu elimu yake ina shida! Ukiona anavyokurupu huku utagundua tu ana akili za mwendokasi
 
Siasa za nchi hii vijana
Unahisi nafikiri ndani ya boksi? Acheni siasa za majitaka za kwenye mitandao ya kijamii! Siasa za kujenga majungu, kuleta uchonganishi, hizo ni siasa muflisi na Kijana hapaswi kuendekeza kwani zinatabia ya kudumaza akili na matokeo yake Tunakuja kupata watu kama Olesendaka na kina makamba Sr
Alokuambia siye vijana nani?
 
Una

maana gani unaposema wana shine? wamepata nini cha ziada kuliko Mnyika? Watanzania wengi tumekuwa na kaujinga fulani kushindwa kufahamu faida ya upinzani nchini..Kama upinzani usingekuwepo serikali yetu ingefanya madudu makubwa sana.Kama wameweza kufanya ukiwapo upinzani sembuse wangekuwepo wenyewe? Hata juhudi zote anazofanya Magufuli leo ni kutokana na kuwa na mpinzani mwenye ushawishi mkubwa nchini...tusifikirie upinzani ni kitu cha kubeza upo kwa ajili ya faida ya Watanzania wote
Unamfahamu Sokoine na Augustine Lyatonga Mrema?
 
Huyu asitafute kick kwa ubunge ambao huwezi kupigwa mahakamani, halafu anamjadili mbunge anayeweza kupigwa mahakamani? CCM wenyewe wanamjua Mnyika ni nani maana kapigana na anaubunge wa kuchaguliwa sio huu wa ganda la ndizi, akafanye yake na mwenzake
 
Lakini sijui ni lini mnyika ataacha tabia ya kukimbia majimbo..
 
Unapokuta anayejiita msomi wa PHD anajadili mtu badala ya issue nawasiwasi hata aliyemsahili kumpa fursa adimu ya kusomea PHD sidhani kama alijiridha hasa hasa. We are suppose to discuss ISSUES not PEOPLE kama huyu Muheshimiwa Mbunge wa ganda la ndizi
 
Back
Top Bottom