Prince mimi
JF-Expert Member
- Jun 2, 2020
- 814
- 2,420
Tunataka KATIBA mpya kwanza kabla ya Uchaguzi wowote.
Kapige nae picha huyo mgombea wako alokutuma.
Mnyika bado, Mbowe na Lissu..kuna ulazima wa John Mnyika kupewa exposure na kuandaliwa kwa majukumu makubwa zaidi.
Huyu aliyeiua chadema na kuonyesha udhaifu wa kutisha kwenye maboresho ya chama! ? Hamtakuwa serious.Naunga mkono hoja
Kwahyo huyo Mnyika ndo atakuwa Rais nyumma ya keyboard?Katiba mpya haiwezi kupatikana nyuma ya keyboard mkuu wangu.
Mnyika adabu Hana,hawezi kuwa rais..kuna ulazima wa John Mnyika kupewa exposure na kuandaliwa kwa majukumu makubwa zaidi.
Kuna ulazima wa John Mnyika kupewa exposure na kuandaliwa kwa majukumu makubwa zaidi.
Yasemekana John Mnyika ni mwezi mchanga. Bora kujiridhisha kwanza na Afya yake ya akili kabla ya kumuamini kwa mambo makubwa.Habari Wakuu!
Ijapokuwa 2020 nilimpigia kura Tundu Lissu ila moyoni sikuwahi kuamini watu wa misimamo mikali like him wanaweza kumake as good President.
Tundu Lissu mbali na CV ya uadilifu iliyotukuka, misimamo yake juu ya demokrasia pamoja na uzalendo wake usioweza kutiliwa shaka; ila bado naamini sio Presidential material anayeweza kuuzika kwa makundi ya rika zote na akazuika vizuri.
Personal, naiona Kabisa nyota ya John John Mnyika ikiendelea kupaa, utulivu wake kwenye kujenga hoja, kiufupi sifa njema alizonazo Tundu Lissu Mnyika anazo ila huyu ana utulivu na atafaa sana kuwa mgombea Urais kwa tiketi ya Upinzani
Kwahiyo wakati Mnyika akiwa mgombea urais, upande wa Pili John Heche akiwa amebeba mikoba ya Ukatibu Mkuu wa Chama, hakika tunaweza kuona Chadema mpya inayoweza kuchukua hata dola au kuongeza wabunge wengi zaidi bungeni 2025.
Habari Wakuu!

Mara mia Salum MwalimuHabari Wakuu!
Ijapokuwa 2020 nilimpigia kura Tundu Lissu ila moyoni sikuwahi kuamini watu wa misimamo mikali like him wanaweza kumake as good President.
Tundu Lissu mbali na CV ya uadilifu iliyotukuka, misimamo yake juu ya demokrasia pamoja na uzalendo wake usioweza kutiliwa shaka; ila bado naamini sio Presidential material anayeweza kuuzika kwa makundi ya rika zote na akazuika vizuri.
Personal, naiona Kabisa nyota ya John John Mnyika ikiendelea kupaa, utulivu wake kwenye kujenga hoja, kiufupi sifa njema alizonazo Tundu Lissu Mnyika anazo ila huyu ana utulivu na atafaa sana kuwa mgombea Urais kwa tiketi ya Upinzani
Kwahiyo wakati Mnyika akiwa mgombea urais, upande wa Pili John Heche akiwa amebeba mikoba ya Ukatibu Mkuu wa Chama, hakika tunaweza kuona Chadema mpya inayoweza kuchukua hata dola au kuongeza wabunge wengi zaidi bungeni 2025.
Tunataka KATIBA mpya kwanza kabla ya Uchaguzi wowote.
Kapige nae picha huyo mgombea wako alokutuma.
Chadema bwana
Huyu aliyeiua chadema na kuonyesha udhaifu wa kutisha kwenye maboresho ya chama! ? Hamtakiwa serious.
Mara mia Salum Mwalimu