John Mnyika awatembelea gerezani Viongozi wa CHADEMA waliofungwa Maisha huko Bariadi

Poleni sana hakiyenu itachelewa tu nitapita poleni sana kupotezewa muda na maumivu makali sana mtalipwa hapa hapa duniani ...wakitoka tuwachangie mtaji....kuanza maisha upya
Akili zitawarudi, Chadema hawawekei hata wakili, wanamuwea Mbowe tu
 
Hiyo umevuruga; kubambikwa makosa ya uwongo siyo lugha sahihi inaondoa objectivity ya hoja yako. Kuna rufaa, na CHADEMA ina jopo la mawakili wazuri akina Kibatala na Lissu wangewakatia rufaa. Kufungwa maisha ni kosa kubwa sana, siyo la kubambikizwa kisiasa hata kidogo. Kama viongozi hao walifanya makosa ya kisheria, acha sheria ichukue mkondo wake. Viongozi wa mtaa siyo watu wa kuitisha serikali hadi iwapanie kiasi hicho; kwanza serikali siyo inayotoa hukumu, bali ni mahakama.
George Sanga amebambikiwa kesi ya Mauaji Njombe , kwa sababu ya Udiwani wa kata tu , Kata ya Njombe inazalisha kitu gani cha kumkomesha mtu kwa kesi ya uongo kama hii ?

Halafu hujui kweli kuhusu unyama wa awamu 5 au ni Uzandiki wako tu ?
 
View attachment 2286315

Leo Tarehe 10/07/2022 , Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika, amefika kwenye gereza la Bariadi kuwajulia hali Viongozi wa Kata ya Dutwa , Jimbo la Bariadi Waliofungwa kifungo cha Maisha Gerezani.

Wafungwa hao wa kisiasa KATALA KIKAJA na NG'ULIMA LILANGA , walibambikwa makosa ya Uongo ili kuwakomoa na ile serikali ya Kikatili ya awamu ya 5 kwa vile Walikuwa viongozi wa Chadema , waliokataa siasa za kishamba za kuunga mkono Juhudi , zilizokuwa zinasimamiwa na kuratibiwa na Humphrey Polepole aliyekuwa Katibu wa Uenezi wa CCM , ukiacha aliyewatuma ambaye alikwishafariki , lakini Wahusika wote wa unyama huo bado wako hai na wanafahamika .

Hata hivyo Chadema imekwisha kata Rufaa na tayari rufaa hiyo imepangwa kuanza kusikilizwa tarehe 20/07/2022

KILA UBAYA UTALIPWA .
Dah! hii dhuluma ikome mara moja. Nchi hii ni ya kwetu wote. Mungu amwangalie huyu jaji aliyehukumu kesi hiki kwa macho ya husuda. Nchi hiki chini ya Jiwe tulifikia pabaya sana. Utu haukuwepo kabisa.
 
Kila ubaya Utalipwa
 
George Sanga amebambikiwa kesi ya Mauaji Njombe , kwa sababu ya Udiwani wa kata tu , Kata ya Njombe inazalisha kitu gani cha kumkomesha mtu kwa kesi ya uongo kama hii ?

Halafu hujui kweli kuhusu unyama wa awamu 5 au ni Uzandiki wako tu ?
Kesi ya mauaji siyo kesi ya kisiasa eti ya kubambikiziwa, kwanza inasikilizwa na jopo la majaji wa mahakama kuu tu, na hukumu yake ni kunyongwa. Kama diwani huyo kweli aliuwa mtu, usiseme eti kabambikiwa kesi kwani jopo la mahakama kuu haliwezi kumhukumu mtu kunyongwa kirahisi tu. Ni vivyo hivyo kufungwa maisha siyo kosa dogo, ni hukumu ambayo mahakama haiitoi kwa kirahisi bila kuwepo ushahid wa kutosha.

Kama viongozi wa chadema wanavunja sheria wakitegemea kuleta visingizio vya kisiasa kudai kubambikizwa kesi, wajifunze kujua kuwa sheria ni msumeno.
 
Iko siku Mungu atalipa haya kwako au kwa wanao , endelea .
 
Tunawapa pole, na tunampongeza mnyika kwenda kuwatembelea.
Mimi naamini wataachiwa huru kama kosa lilikuwa la kubambikiziwa.
Na utakubali wafidiwe kwa usumbufu mkubwa na mafadhaiko mengi waliyoyapata, ikithibitika kuwa kesi ilikuwa ni ya kubambikiza!

Na kama hiyo haitoshi, hao walioshiriki katika uvunjifu wa haki ya namna hii, ambao bado wapo unapendekeza nini juu yao kifanyike. Hakimu ni mshirika pia.
 
Polpol hakustahili kupewa uteuzi wowote ule, kama laiti viongozi wetu wangekuwa wanathamini haki za watu kwa kauli na vitendo.

Kwa maovu mengi yale yaliyofanyika awamu ya 5, pamoja na kwamba kiongozi mkuu hayupo, ambao bado wapo walistahili kujibu mahtaka, na siyo kuzawadiwa uongozi.
 
View attachment 2286315

Leo Tarehe 10/07/2022 , Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika, amefika kwenye gereza la Bariadi kuwajulia hali Viongozi wa Kata ya Dutwa , Jimbo la Bariadi Waliofungwa kifungo cha Maisha Gerezani.

Wafungwa hao wa kisiasa KATALA KIKAJA na NG'ULIMA LILANGA , walibambikwa makosa ya Uongo ili kuwakomoa na ile serikali ya Kikatili ya awamu ya 5 kwa vile Walikuwa viongozi wa Chadema , waliokataa siasa za kishamba za kuunga mkono Juhudi , zilizokuwa zinasimamiwa na kuratibiwa na Humphrey Polepole aliyekuwa Katibu wa Uenezi wa CCM , ukiacha aliyewatuma ambaye alikwishafariki , lakini Wahusika wote wa unyama huo bado wako hai na wanafahamika .

Hata hivyo Chadema imekwisha kata Rufaa na tayari rufaa hiyo imepangwa kuanza kusikilizwa tarehe 20/07/2022

KILA UBAYA UTALIPWA .
HONGERA CHADEMA KWA UAMUZI HUO MUNGU ATATENDA MIUJIZA YAKE HAKI ITASHINDA
 
Mungu ashukuriwe sana kwa kulifyekelea mbali lile poripori la kihutu
 
CDM Wana mbinu za hovyo za kisiasa, ona Sasa, hao wananchi wanaojifanya kuwapigania Wala hawana habari nao, watoto wao na wake zao wanaishi maisha ya shida.

Kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe, CDM msijifanye mnamudu mizigo ya wengine
Na CCM wana mbinu za kipumbavu sana
 
Back
Top Bottom