Mnyika: Huu ni mwaka wa Uchaguzi wa Viongozi wa CHADEMA kuanzia ngazi ya Msingi hadi Mwenyekiti Mpya wa Chama

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,902
141,845
Katibu mkuu wa CHADEMA John Mnyika amesema huu ni mwaka wa uchaguzi wa Viongozi wa chama hivyo wanachama wote wajiandae.

Mnyika amesema Uchaguzi utafanyika kuanzia ngazi ya Msingi hadi Taifa, so wanachama wote wahakikishe kadi zao ziko hai.

Source: Chanzo TV
 
Kuna jamaa wa chadema ni jirani yangu toka wiki iliyopita naona anatanu makwapa kweli
 
Katibu mkuu wa Chadema mh John Mnyika amesema huu ni mwaka wa uchaguzi wa Viongozi wa chama hivyo wanachama wote wajiandae

Mnyika amesema Uchaguzi utafanyika kuanzia ngazi ya Msingi hadi Taifa so wanachama wote wahakikishe kadi zao ziko hai

Source: Chanzo TV

Hapa chini ni kweli na kweli tupu:

"Chadema kama chama tegemeo kwa ukombozi wa nchi hii ni tofauti sana na vyama vingine. Tofauti kubwa iliyopo ni kuwa chawa kama wale wa Mama huku si sifa bali ni machukizo."

Kwetu haturembi:

 
Back
Top Bottom