Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,351
- 6,477
Mkondo wa sheria kandamizi!!!Hiyo umevuruga; kubambikwa makosa ya uwongo siyo lugha sahihi inaondoa objectivity ya hoja yako. Kuna rufaa, na CHADEMA ina jopo la mawakili wazuri akina Kibatala na Lissu wangewakatia rufaa. Kufungwa maisha ni kosa kubwa sana, siyo la kubambikizwa kisiasa hata kidogo. Kama viongozi hao walifanya makosa ya kisheria, acha sheria ichukue mkondo wake. Viongozi wa mtaa siyo watu wa kuitisha serikali hadi iwapanie kiasi hicho; kwanza serikali siyo inayotoa hukumu, bali ni mahakama.