John Mnyika awatembelea gerezani Viongozi wa CHADEMA waliofungwa Maisha huko Bariadi

Hiyo umevuruga; kubambikwa makosa ya uwongo siyo lugha sahihi inaondoa objectivity ya hoja yako. Kuna rufaa, na CHADEMA ina jopo la mawakili wazuri akina Kibatala na Lissu wangewakatia rufaa. Kufungwa maisha ni kosa kubwa sana, siyo la kubambikizwa kisiasa hata kidogo. Kama viongozi hao walifanya makosa ya kisheria, acha sheria ichukue mkondo wake. Viongozi wa mtaa siyo watu wa kuitisha serikali hadi iwapanie kiasi hicho; kwanza serikali siyo inayotoa hukumu, bali ni mahakama.
Usizungumze kama umekuja Tanzania leo tokea Jupiter. Hivi wakati wa awamu ya 5, kulikuwa na mahakama kwa maana ya mahakama?

Hivi kwa Serikali dhalimu, unaona inaweza kushindwa kumbambikizia mtu kesi ya uhaini, mauaji au hata ujambazi? Mimi nimewahi kushuhudia, kijana mdogo aliyegoma kubandika nyumbani pake bango la mgombea wa CCM, kubambikiwa kesi ya ujambazi wa kutumia silaha. Akapelekwa mahabusu ya polisi, kesho yake mahakamani, hukumu ikawa jela. Akafungwa. Na waliofanya hivyo walikuwa viongozi wa ngazi ya Wilaya. Nilifanikiwa kumtoa jela baada ya kwenda ofisi ya Mkuu wa mashtaka.

Nchi hii kuna mambo mengi sana ya ajabu, na mengine mengi yanafanywa na watu wa ngazi za chini. Si ajabu, ukakuta hata hao, mambo yote hayo ya hovyo, wala marehemu hakuhusika moja kwa moja ila wale viongozi wa chini wanafiki, watafuta sifa, ndio walipsuka hayo yote.
 
Mkuu hawa watu kama huyo uliyemquote huwa wanalipwa ili kupindisha hoja kwa manufaa ya ccm , wanalipiwa hadi kodi za nyumba pamoja na ada za watoto wao kwa kazi hiyo
 
Usizungumze kama umekuja Tanzania leo tokea Jupiter. Hivi wakati wa awamu ya 5, kulikuwa na mahakama kwa maana ya mahakama?

Hivi kwa Serikali dhalimu, unaona inaweza kushindwa kumbambikizia mtu kesi ya uhaini, mauaji au hata ujambazi? Mimi nimewahi kushuhudia, kijana mdogo aliyegoma kubandika nyumbani pake bango la mgombea wa CCM, kubambikiwa kesi ya ujambazi wa kutumia silaha. Akapelekwa mahabusu ya polisi, kesho yake mahakamani, hukumu ikawa jela. Akafungwa. Na waliofanya hivyo walikuwa viongozi wa ngazi ya Wilaya. Nilifanikiwa kumtoa jela baada ya kwenda ofisi ya Mkuu wa mashtaka.

Nchi hii kuna mambo mengi sana ya ajabu, na mengine mengi yanafanywa na watu wa ngazi za chini. Si ajabu, ukakuta hata hao, mambo yote hayo ya hovyo, wala marehemu hakuhusika moja kwa moja ila wale viongozi wa chini wanafiki, watafuta sifa, ndio walipsuka hayo yote.
Unaposema utawala wa tano ni kama vile miaka yote wanaovunja sheria huwa hawachukuliwi hatua. Heshimu sheria; hakuna atakayekugusa! Unaambiwa unapoenedesha barabarani usifanye makosa madogomadogo kwani traffick akikukamata kwa kosa unalodhani ni dogo tu labda la kutoonyesha indiketa, akikugaua utashangaa akakukuta na makosa makubwa mengi halafu ukadaia umebambikiwa. Kuna wengine wanadhani wamefanya kosa dogo tu, kumbe kwenye closet zao anakutwa na mafupa mengi sana ambayo watu wa nje hawayajui.
 
Usizungumze kama umekuja Tanzania leo tokea Jupiter. Hivi wakati wa awamu ya 5, kulikuwa na mahakama kwa maana ya mahakama?

Hivi kwa Serikali dhalimu, unaona inaweza kushindwa kumbambikizia mtu kesi ya uhaini, mauaji au hata ujambazi? Mimi nimewahi kushuhudia, kijana mdogo aliyegoma kubandika nyumbani pake bango la mgombea wa CCM, kubambikiwa kesi ya ujambazi wa kutumia silaha. Akapelekwa mahabusu ya polisi, kesho yake mahakamani, hukumu ikawa jela. Akafungwa. Na waliofanya hivyo walikuwa viongozi wa ngazi ya Wilaya. Nilifanikiwa kumtoa jela baada ya kwenda ofisi ya Mkuu wa mashtaka.

Nchi hii kuna mambo mengi sana ya ajabu, na mengine mengi yanafanywa na watu wa ngazi za chini. Si ajabu, ukakuta hata hao, mambo yote hayo ya hovyo, wala marehemu hakuhusika moja kwa moja ila wale viongozi wa chini wanafiki, watafuta sifa, ndio walipsuka hayo yote.
Mfano mzuri mwingine hivi kweli kwa ushahidi waliokuwa wakitoa kina Kingai na wenzake dhidi ya Mbowe kama kweli Jaji angetenda haki kulikuwa na uamuzi wa kusema Mbowe ana kesi ya kujibu pale???!!!!
 
Magumashi yakutisha yalifanyika ili iwe mfano kwa wote wanajifanya wanaipenda Chadema.

Theatening and terrorist acts zilikuwa employed kweli kweli.

Ofcourse ukisikia mwenzako katupwa jela maisha kwa sababu ya Ufuasi wa chadema wewe utarudia??
 
Usizungumze kama umekuja Tanzania leo tokea Jupiter. Hivi wakati wa awamu ya 5, kulikuwa na mahakama kwa maana ya mahakama?

Hivi kwa Serikali dhalimu, unaona inaweza kushindwa kumbambikizia mtu kesi ya uhaini, mauaji au hata ujambazi? Mimi nimewahi kushuhudia, kijana mdogo aliyegoma kubandika nyumbani pake bango la mgombea wa CCM, kubambikiwa kesi ya ujambazi wa kutumia silaha. Akapelekwa mahabusu ya polisi, kesho yake mahakamani, hukumu ikawa jela. Akafungwa. Na waliofanya hivyo walikuwa viongozi wa ngazi ya Wilaya. Nilifanikiwa kumtoa jela baada ya kwenda ofisi ya Mkuu wa mashtaka.

Nchi hii kuna mambo mengi sana ya ajabu, na mengine mengi yanafanywa na watu wa ngazi za chini. Si ajabu, ukakuta hata hao, mambo yote hayo ya hovyo, wala marehemu hakuhusika moja kwa moja ila wale viongozi wa chini wanafiki, watafuta sifa, ndio walipsuka hayo yote.
Wameumiza sana watu kwa sababu ya vyeo na pesa.

Ndio maana hata hizo pesa wanakula lakini hawana raha
 
Dua la kuku hilo

Iwapo nitafanya mauaji kweli basi sheria itachukua mkondo wake na wala sitalalamika; nitatubu tu.
Kuna watu walisema hivyo hivyo Dua la Kuku. Walibaki midomo wazi.
Acha kushabikia unyama dhidi ya wengine kwa sababu tu haukuhusu wewe.
 
Back
Top Bottom