John Mnyika amuita Rais kikwete Dhaifu, atolewa nje ya Ukumbi wa Bunge!

Katika chama cha CHADEMA mtu makini ni mmoja tu Zitto.
Huwezi kuenda nje ya mada na kuanza kusema raisi dhaifu duniani kote watu wanakutazama na wewe ni mbunge wa Ubungo. Wewe Mnyika umekuwa mtu mtovu wa nidhamu, ndio chama chako mnavyotaka?
Hivi sasa bunge limekuwa sehemu ya kupiga porojo?
Nyie watu wa CHADEMA mnadhani nchi hii ni yenu tu?
ninaona mmeanza kulewa madaraka.
Wewe mnyika jifunze kutumia nidhamu. Mbungeni sio sehemu ya mipasho.
Kama huelewi waulize wengine.

Wewe ni dada yake Mwigulu Mchemba?
 
sasa jamani kama taifa linaongozwa na kilema wa akili unategemea nini? Big up Mnyika wapashe. kazi kuvizia vibinti na kuvipa ukuu wa wilaya. Na hilo jingine la jana ambalo tuliambiwa lilikuwa likitembea na Lulu. Tumbo kama mimba ya nguruwe. Hilo Kwere hiloooooooooooo! na mabomu yake bungeni smile.jpg
 
Mnyika nilikuwa namuona kama kijana makini lakini leo kaniangusha kwa utovu wa nidhamu, sasa kama Rais ni dhaifu kwa nini ulienda Ikulu.
Walienda Ikulu kumsaidia..........angekuwa rais Imara, asingehitaji kusaidiwa kuelekezwa kwamba yeye na wabunge wake wanachemka.

..........Kama sio dhaifu, kwanini alielekezwa cha kufanya kwenye sheria ya kurekebisha katiba na akatii.....

Dhaifu huyo....tena sana...........Inahitaji mwanaume jasiri kusema hilo na kulisimamia....Mnyika just did that!!
 
mbunge wa jimbo la ubungo JOHN MNYIKA amemwita RAIS NI DHAIFU ambapo ni kinyume na kanuni za bunge....
Amellita bunge ni ZEMBE ....
Na KUKITAA CHAMA CHA MAPINDUZI NI UPUUZI...

Kwa hili mnyika umepotoka sanaaa....tumia hekima hata kama una uchungu na nchii hii,

Hapo kwenye red: Nakubaliana na Mnyika 100%. Bunge ndio chanzo cha udhaifu wa utendaji serikalini.
 
Mnyika ameshindwa kutimiza ahadi kwa wana ubungo. 2015 sio mbali.
 
Katika chama cha CHADEMA mtu makini ni mmoja tu Zitto.
Huwezi kuenda nje ya mada na kuanza kusema raisi dhaifu duniani kote watu wanakutazama na wewe ni mbunge wa Ubungo. Wewe Mnyika umekuwa mtu mtovu wa nidhamu, ndio chama chako mnavyotaka?
Hivi sasa bunge limekuwa sehemu ya kupiga porojo?
Nyie watu wa CHADEMA mnadhani nchi hii ni yenu tu?
ninaona mmeanza kulewa madaraka.
Wewe mnyika jifunze kutumia nidhamu. Mbungeni sio sehemu ya mipasho.
Kama huelewi waulize wengine.

Acha ushabiki wewe, mwaka jana Mh.Zitto aliita serikali legelege, rais legelege na chama legelege mbona hawakumtoa???? wao wanajua Mnyika kwa sasa ndiyo deciding factor, madhara ya hoja za mnyika yanazaana geometrically yaunguza kama moto bazee.Leo watapumua kutokuwepo kwake.dhaifu in english wa talk of weakness.Jamani mtu akifanya SWOT analysis atakapoainisha weakness atakuwa ametukana.shame you CCM shame you ccm govt.
 
Mama Awatoboa Mioyoni. Wamtoe na KOMBA

MAANA JANA ALIWAAMBIA WAPINZANI WAKAPIMWE AKILI
 
Mbunge wangu Mnyika nakupongeza kwa ujassiri wako wa kusema ukweli.Udhaifu wa rais kikwete ndo umetutusha mzigo wa misumari na kaa la moto.Rais anayenyamazia raslimali za nchi kuporwa na kutokuwa na maamuzi juu ya maswala magumu ya nchi ni udhaifu mkubwa.<br>Mimi naamini ana mtindio wa ubongo.Usihofu tuko pamoja na mimi ni mpiga kura wako wa ubungo.
 
Back
Top Bottom