LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 16,456
- 30,882
Kama waJapanWakenya wanaa majina hadi utachoka,
Ndio hao wanaitwa Mboya ili kuficha makali ya hilo jina..Ni kawaida tu uchagani kuna ukoo wa Mboro,siku moja mtangazaji wa kike radio one alikuwa anatangaza matangazo ya vifo alikuwa anapata shida sana kutamka jina Mboro ikabidi awe anaongeza spidi akilifikia nahisi alikuwa anaona aibu basi tu.
Shikamoo mzee Penis!
Waaapi!LIKUD umeipoteza heshima yako kidogo