SupuyaPweza
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 914
- 472
Duh! Juzikati nilisikia sana wakisema juu ya Faru John... leo imegeuka kumbe kuna Mboro John!... mwanaharakati... hadi mwaka uishe aina za John zitakuwa za kumwaga!!...
Mboro ni ukoo mkubwa tu kibosho,kuna kijana wa kikibosho kwa sasa ni marehemu alikua anaitwa kipumbuu alikua maarufu sana moshi mjiniwakomboro
Ha ha ha ha kipumbu duhMboro ni ukoo mkubwa tu kibosho,kuna kijana wa kikibosho kwa sasa ni marehemu alikua anaitwa kipumbuu alikua maarufu sana moshi mjini
Alikua maarufu alikufa 2015 alijipiga risasi,marangu kilema kuna ukoo wa kilambioHa ha ha ha kipumbu duh
Jamani kipumbu alale kwa amaniAlikua maarufu alikufa 2015 alijipiga risasi,marangu kilema kuna ukoo wa kilambio
Wakenya wapi wachaga wa marangu hawa kuna ukoo wa kina mboro wanaume wanawake mamboro kipi kipya hapo haya mvua kwa kinyaturu inaitwaje manake kikwetu tusi.Wakenya wanaa majina hadi utachoka,
jina langu la nyumbani ni mamboro na mama yangu anaitwa mama mamboroo
Fimbo kwa kichaga .msen.ge hata ile sala baba yetu uliye Mbin guni kwa kichaga lazima ukutane na hilo nenoakipata pesa nyingi tutamuita John Mboya.
wakomboro
Haha miss chagga hembu andika hapa kwa kichaga neno baba naomba mtoPower
Na wanawake wa huo ukoo wa naitwa mamboro
Ha ha haFimbo kwa kichaga .msen.ge hata ile sala baba yetu uliye Mbin guni kwa kichaga lazima ukutane na hilo neno
Papa ngiterewa mtoHaha miss chagga hembu andika hapa kwa kichaga neno baba naomba mto
Leka ngerho nanii kichaka kyakwi ikyooPapa ngiterewa mto
Cha mamba kotelaLeka ngerho nanii kichaka kyakwi ikyoo