Hana mpango,yeye ameona nafasi ya kuja na kuwatumikia Watanzania ni katika Ubunge tu,kwanini asiseme kuwa atakwenda kufanya kazi ktk Halmashauri iliyoko Sumbawanga au Lindi na anakimbilia moja kwa moja kwenye Ubunge.Hii ni tamaa ya juu aliyonayo.
Aje kuwatumikia watanzania ktk nyanja au eneo lolote na huku akijenga jina lakini hauwezi kujenga jina kwa kupitia blog tu.
Watnzania waliowengi hawaangalii na wala hawapitii blog yoyote,hivyo kinachofanyika hapa ni minor thing ingawa bado ni hatua moja mbele.
Uzoefu unaonyesha hawa watu wakublog sio wapiga kura sana,lakini wana Manzese ndio wapiga kura.Hivyo aweke malengo makubwa kwa Wanamanzese.
Anataka Ubunge sawa lakini ameandaa mkakati gani wa kuwasaidia Watanzania kama wanamanzese na ni mafanikio yepi ambayo mpaka sasa ameyapata ktk kuwasaidia Watanzania na si kufikiri kuwa nitawasaidia nikishakuwa mbunge.
Kama anaiga nyayo za Kaburu aliyekwenda Kigoma na Wanachadema walimekwea jeneza na kuanza kumsomea hitma kuwa amefirisika kisiasa.Hii ninamaana hamna chamaana kilichofanywa na Kaburu alikuwa anataka Ubunge na alipokosa akahamia CCM.Ni walewale tu.
Nawasilisha.