John Mashaka Ni Mbunge Mtarajiwa!

Status
Not open for further replies.
Very interesting M.M Mwanakijiji = John Mashaka = Kitila Mkumbo, hii Kali kumbe Musoma ni mkoa vile vile, ama Kweli JF inaelimisha....

Sijasema Kitila Mkumbo ni Mashaka, naomba unioneshe wapi nimesema hivyo labda umeamua maksudi kupindisha mjadala huu kwa maslahi yako.

Nilichosema kuwa Kitila Mkumbo alikuwa akitumia Pen Name kama Mwanasiasa kwa muda mrefu mwaka jana akaja rasmi JF na kusema kuwa yeye ni Mwanasiasa ila atatumia jina lake kamili la Kitila Mkumbo hiyo ilikuwa 2007, Mwanakijiji nae katoka rasmi 2008.
 
Wameshaikimbizia huku, leo niko nae John Mashaka(Mwanakijiji) alijua wote wajinga hapa JF,

Mkuu umeamua kupambana na John Mashaka aka Mzee Mwanakijiji....nauliza mfano ukigundua si yeye itakuwaje?
 
John Mashaka ninavyojua ndiyo mwanakijiji. Kwa umri wake yuko kwenye group yangu (32 years) na ningemshauri kujiendeleza zaidi kielimu na kimapato. Ndugu yangu endelea kutoa mawazo na kuonyesha umahiri lakini jiendeleze kielimu na tafuta pesa. Politics zitakuja baadae.
 
Ndiye yeye.

toa ushahidi wako siyo kukurupuka tu, kwanini awe yeye na wewe usiwe yeye? kwa hiyo unachosema kuwa

John Mashaka (Mwanakijiji) ndiye
Madela wa Madilu
Koba
Mwafrika wa Kike
n.k

Wakati mwingine sijui una chuki au una mapenzi kwa huyu bwana maana wewe huchangii kitu kingine chochote hapa isipokuwa kila ukiingia ni "mwanakjj". Sasa ndugu yetu Mswahili=Chinga=Kamundu=Mtalii kwanini na wewe usijiseme ni nani au unapenda miye nijitolee kuwaambia wewe ni nani. Nilikuona juzi ofisini kwako nikakudharau kama watu wangejua unayoyaandika humu.

Bosi kasema tukuangalie na miye nimechoka kuangalia. Nadhani wakati umefika wa kukutangaza ni nani ili watu wajue hata hiyo nafasi uliyonayo huistahili.

Mzee wa kijjiji: sikutetei hivyo usianze kupata bichwa.

Asante sana.
 
WABUNGE WAZEE HAWANA ISHU
Kimsingi mimi sasa hivi nimeshachoshwa na wabunge vikongwe kwa hiyo kijana yeyote atakayegombeA UBUNGE (HATA URAIS) ninam-support tu. Kuwa kijana tu kwanza kwangu ni sababu tosha. Mshikaji aje agombee tu, tupo nyuma yake. Nawataarifu washikaji wote hapa Sweden ili tuanze kumuuza kijana.
 
Wameshaikimbizia huku, leo niko nae John Mashaka(Mwanakijiji) alijua wote wajinga hapa JF,

Mzee mwanakijiji inabidi ukubali ukweli kwani wajukuu zako lazima wakutanie tuu hata ukifanya nini, maana naona bila kukutania wewe hawapewi posho ya siku ndo maana wako interested kuleta utani hata ambapo haustahili.
 
Mwanakijiji, kuna wakati alikuwa akisema amesoma Sangu sekondari, huyu Bw. Mashaka anasema yeye kasoma sekondari nchini Kenya...

Katika suala la kusaidia watz, Mwanakijiji aliwahi kupitisha kapu la michango kwa ajili ya yatima kule Moshi, wakati misaada ya Bw. John haijawekwa wazi..

Iwapo MKJJ ni Bw. Mashaka basi kazi bado ipo na nitaendelea kuwa katika ganzi kwa muda...
 
Hii ilikuwa imenipita hiii, duh! Jamani JF mhhhhh! hapa kuna jambo na limezua jambo tayari, na likazaa jambo!

Ngoja nivute popcron kwanza, nile dataz maana this is what we call dataz!
 
John Mashaka ninavyojua ndiyo mwanakijiji. Kwa umri wake yuko kwenye group yangu (32 years) na ningemshauri kujiendeleza zaidi kielimu na kimapato. Ndugu yangu endelea kutoa mawazo na kuonyesha umahiri lakini jiendeleze kielimu na tafuta pesa. Politics zitakuja baadae.

mamaaaaaaaaaaaaa ! toba ! kumbe mswahili kalenga !
 
KadaMpinzani hapo sasa unazidi.....

Unawaambia watu kwenye hii thread wanyamaze, kumbe wewe ndo unatakiwa kunyamaza.

Kuna wakati una good points, lakini tatizo huo ukada ndo umekuzidi....Nasikia kwenye chama mnalipwa bonuses kulingana na namba ya posts hapa JF, si bure...

chama gani ? chadema.... maana huko pekee ndiko wanakolipa watu kulingana na posts zao JF, unabisha muulize mswhaili au mtu yoyote anayejua ! Unajua mbaya zaidi kuna mengi nayajua, lakini sio lazima kuyaongea maana najua hapa tupo kuongea hoja zetu, na kama itatokea nisipende hoja za mtu fulani haimaanishi nimuanike au nimuongelee vibaya just because nimepingana nae kihoja !

Sina chama, lakini ukada nakubali ninao.. usiuliza ukada wa chama gani ! wkend njema somo !
 
It depends his commitements to Tanzanianans.Kama anao uwezo aje lakini kama anataka kutuletea ubishoo wa kimarekani ni bora akabakia hukohuko USA.
 
Mwanakijiji nina fahamu sauti yake kupitia BBC, Mashaka John siyo mwanakijiji sauti ni tofauti kabisa(alihojiwa wakati wa uchaguzi kenya).

Nilikuwa niko nje ya mtandao muda mrefu hivyo baada ya watu kukataa angalau kuniazima, mitandao yao, hivyo hii ilikuwa imenipita.

Anyway J. Mashaka ni Mwanasheria na sina uhakika kama kweli M/Kijii ni Mwanasheria.

Kama amehamua namtakia kila la kheri lakini labda kama ni Bongo hapo ndo tunaweza kuwa na influence lakini kama ni Bukoba vijijini kwa Mzee Karamagi Influence yetu ni kidogo sana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom