John Magufuli: Ninautamani urais!

John Magufuli: Ninautamani urais!

Majizi chadema
Una jeshi, una mahakama, umejenga mpaka mahakama ya mafisadi, ni nini kinakushinda kuwapeleka mahakamani!? Juzi dodoma si mmeambiwa mjibu hoja kwa hoja!? Acha kulopoka, nyie ndio mlioambiwa kua ni nzi na akina katambi, na ngojeeni aje kuwakamata zwazwa huna nafasi kwa pumba hizi😀😀😀
 
Hana Nguvu za kisiasa ndani ya CCM na wala hana sifa zozote kuwapita wenzake ndani ya CCM kama Lowassa, Membe, Sitta, Mwakyembe, Mwandosya, Wassira, Mwigulu, Nchimbi.
Ila sifa moja ya kiCCM ya msingi anayo, ambayo ni Ufisadi. Magufuli ni Fisadi mzuri sana.
Lakini pia ni mnafiki mkubwa, kwani ni juzi tu alimkana Sitta na kudai hana mpango wa Urais kabisa!!
Duuh!!!!! Wakati Si Milele.
 
kumbe unapenda waongeaji!! kwa taarifa yako magufuli.....hapendwi ndani ya ccm EITHER.....JK na Pinda wanamuogopa na hakuna mwana CCM ndani ya CC atakayempitisha

kingine mkuu Magufuli siyo injinia.......by his age he will never be!!!! ni mkemia
Kumbe
 
hapendwi ndani ya ccm EITHER.....JK na Pinda wanamuogopa na hakuna mwana CCM ndani ya CC atakayempitisha
Interesting! Kumbe ni kweli alipata urais kwa kura za hasira? JK na Pinda walimuogopa kwasababu gani mkuu?Anyways, walikuwa na kila sababu ya kufanya hivyo based on the current situation(mambo ya kuogofya kama utekaji, na kupigana risasi). Ila nilitaka kufahamu kama ungeweza kutueleza kuhusu hiyo "Hofu ya JK na Pinda" kuhusu jiwe kuwa rais.
 
Magufuli ni jembe,CCM wakimteua huyu watapata kazi rahisi sana kwenye uchaguzi wa 2015..

Kwa uwezo wa utendaji kazi,hakuna mwanasiasa yeyote hapa nchini anayemzidi Magufuli kwenye hilo, akiteuliwa huyu kura yangu anayo...
Ulimpa?
 
CCM hawawezi kumteua huyu apeperushe bendera ya urais maana atawafunga wote waliofanya ubadhilifu. Wanachofanya ni kumwekam2 atakayelinda mfumo wa kifisadi, wanataka m2 subjective sio objective kama Magufuli.
Kumbe
 
Back
Top Bottom