nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,628
magufuli angefaa kuwa waziri mkuu na sio rais wa nchi.
Rabda urais wa tff
Sheria kitu gani
Wanabodi hivi kwa waziri kama maghufuri amedanganya umma wa watanzania kwamba flai ova zinajengwa na suala hili kaongea karibu kila bajeti yake anapowasilisha.sasa je waziri kama huyu na bado nae anataka uraisi wakati wizara imemshinda je! Tunampa adhabu gani kwenye msimu huu wa uchaguzi?
Mimi sitii neno ila ikikushukia don't say we ddnt worn u
Kanda ya Ziwa wana mgombea mmoja tu, Stephen Wasira.
Magufuli ni kabila lipi na lina siha katika uongozi ?
Na kama anatoka moja ya kabila kubwa nchini,ni hatari kwa taifa !
Magufuli yafaa awe chini ya mtu. Labda awe PM. Kumpa urais sio rahisi. Ana dalali zote za kuwa haambiliki. Lazima kuwe na nguvu iliyo juu yake kumrudisha kwenye mstari mara kwa mara.
Haambiliki kwenye mambo ya msingi ambayo watu wanapigania personal interests.
Ww nawe magumashi et wazir wa miundombinu haya dar nzima mafuliko iyo miundombinu unafanyia wapi? Hufai
nw hao timu lowasa wapo kupaka matope kila anayetokea hivi kama kuuza nyumba nidhambi kubwa kweli kuliko kuiba pesa za richmond ambazo zote zilichukuliwa na mtu mmoja au watatu tu, uamzi wa kuuza nyumba ni uamuzi wa baraza la mawaziri la wakati huo,kulingana na mazingira yaliyo kuwapo wakati huo,magufuli anafaa sana kwenye ofisi kuu kuliko huyo bosi wenu lowasa anayehonga watu kama hana AKILI nzuri,inchi hii itaendelea kuwa masikini tukiwaendekeza watu kama ninyi mnaojali sana MATUMBO yenu kuliko kila kitu nchi hii,Magufuli ni waziri bora kuliko wote hawamu híi ya nne, Waziri huyu ameonyesha ujasiri wa hali ya juu kwenye kusimamia sheria na miradi yote ya barabara iliopo chini ya wizara yake! Watu wanajifanya wanamaamuzi, nani mwenye maamuzi magumu kama Magufuli asietishwa na ukubwa wa pochi ya mtu? ni Lowasa? BIG NO!, Nani alietoa mchango wa kuonekana kama huyu mzee? Wanaosafiri kwenye barabara zetu watakubaliana na mimi! Tatizo la huyu mzee n mtendaji na siasa sio fani yake, HUYU NDIE WA KUOMBWA AGOMBEE HASA NA WANYONGE WA NCHI HII
kama kuna kiongozi aina ya viongozi wa nchi ya china ni MAGUFULI,, Nawashauri watanzania kama tunataka kiongozi mwenye sula mbili moja mchapa kazi na mwanasiasa na sio wanasiasa ambao hatujui uwezo wao wa kutenda kazi zaidi ya porojo za majukwaani tu tumchague magufuli tutaiona tz mpya ya wachapakazi.
Baeleze hawa. Ungwini unawasumbuamkuu hebu tulia kwanza haihusu mabibo ya korosho hii inahusu mabanguo ya korosho yaani zile taka zake na so far alitufungulia njia wengine tumeiendeleza mbali mno sasa hivi kwa kutumia nanotech.
Unaposema aombe kazi ya kufundisha inamana kwamba hana haki ya kugombea uraisi?? Hebu kwanza nenda kaangalie publication zake alizowah kufanya ndipo utakapojua kwamba yuko diversified kiasi gani. Huwez kumlinganisha na hao wengine ambao hawana hata vyeti vya kueleweka
kama kuna kiongozi aina ya viongozi wa nchi ya china ni MAGUFULI,, Nawashauri watanzania kama tunataka kiongozi mwenye sula mbili moja mchapa kazi na mwanasiasa na sio wanasiasa ambao hatujui uwezo wao wa kutenda kazi zaidi ya porojo za majukwaani tu tumchague magufuli tutaiona tz mpya ya wachapakazi.