John Magufuli: Ninautamani urais!

John Magufuli: Ninautamani urais!

To be realistic, huyu anakurupuka katika maamuzi! Anakuwa driven na hisia na si reasoning! Dikteita mkubwa hafai! Anatoa maamuzi kwenye jukwaa watu wamsikie. Sawa na Mrema enzi zake. Kweli nchi hii na vichaa wa siasa!

Da aliziba mirija nini?maana watu mirija ikizibwa wanakuwa na chuki zisizo jna sababu!
 
Taarifa za uhakika kabisa kutoka kwa viongozi wa ngazi za juu wa CCM zinatanabaisha kuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa aliunda kamati ya siri ya kutafuta maoni ya wananchi juu ya nani anayetajwa-tajwa na kukubalika kwa wananchi, Taarifa zinasema ingawa kamati hiyo bado haijamaliza kazi yake lakini jina la JONH POMBE MAGUFULI limeonekana likikubalika sana miongoni mwa wananchi, Jina la Lowassa linafuatia kwa mbali huku jina la Samweli Sita likiwa nyuma ya Lowasa lakini kwa mbali sana.

source: mimi mwenyewe nilikuwepo.
 
hongereni ccm ila KWA UPANDE WANGU MAGUFULI HAFAI
 
Ni rais wa kwenu kwa upande wa ccm ila sisi hatumtaki kabisaaaaaaaaa!bora muandae mwingine hatutaki CCM
 
Mi namkubali sana huyu jamaa, ikiwa wananch tutaondoa dhana ya uchama na hasa ukaskazini na tukaungana kisha tukamchagua huyu Magufuli, nina uhakika TANZANIA itakuwa imepata bonge la rais, kama mnabisha jaribuni muone!
 
Wasipompa mzee mamvi ccm watajimaliza. mzee Mamvi peke yake ndio ataleta upinzani mkubwa.
 
Katiba yenyewe bado haijakamilishwa kuboreshwa hatimaye ipitishwe, cha kushangaza ni baadhi ya Watu wanaota ndoto za Urais!!! IPo kazi kweli!!
 
Nakubaliana nawe kwenye kijani, lakini hapo kwenye red..mhhh. kuna vingine si vya kujaribu ukiwamo urais....we have learned our lesson!!
 
Taarifa za uhakika
kabisa kutoka kwa viongozi wa ngazi za juu wa CCM zinatanabaisha kuwa
Mwenyekiti wa CCM Taifa aliunda kamati ya siri ya kutafuta maoni ya
wananchi juu ya nani anayetajwa-tajwa na kukubalika kwa wananchi,
Taarifa zinasema ingawa kamati hiyo bado haijamaliza kazi yake lakini
jina la JONH POMBE MAGUFULI limeonekana likikubalika sana miongoni mwa
wananchi, Jina la Lowassa linafuatia kwa mbali huku jina la Samweli
Sita likiwa nyuma ya Lowasa lakini kwa mbali sana.

source: mimi mwenyewe nilikuwepo.

Kwa hali ya kisiasa ilivyo ndani ya Tanzania. Kwa hali ya kisiasa ilivyo kwa majirani zetu, Malawi, Rwanda (Dictator mchovu), Uganda na Kenya. Na kwa kuwa Magufuli anaudhaifu wake kama mwanasiasa ambaye sasa kakomaa kwa kiwango fulani. SIONI MTU MWINGINE NA HIVYO SISITI KABISA KUMUUNGA MKONO KAMA RAIS AJAYE WA TAIFA LA TANZANIA.
 
Mi namkubali
sana huyu jamaa, ikiwa wananch tutaondoa dhana ya uchama na hasa
ukaskazini na tukaungana kisha tukamchagua huyu Magufuli, nina uhakika
TANZANIA itakuwa imepata bonge la rais, kama mnabisha jaribuni
muone!
Na ili huyu apatikane CHADEMA IONGEZE PRESSURE ...itakayowafanya CCM wakae na kutafakari viliyvo mustakabali wake.
 
Thubutu! kama ccm wanataka kufa kabisa wampitishe mafunguo Hafai hafai hafai na nasisitiza tena kuwa huyo mafunguo hafai.
 
Wasipompa mzee mamvi ccm watajimaliza. mzee Mamvi peke yake ndio ataleta upinzani mkubwa.
Ni kweli, lakini kukabili changamoto sugu ya ufisadi , hali ya udni na joto la CDM ... na kuhakikishia Magufuli ni zaidi ya tired and demolarised Mamvi na ziara zake za misikitini na makanisani.
 
Taarifa za uhakika kabisa kutoka kwa viongozi wa ngazi za juu wa CCM zinatanabaisha kuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa aliunda kamati ya siri ya kutafuta maoni ya wananchi juu ya nani anayetajwa-tajwa na kukubalika kwa wananchi, Taarifa zinasema ingawa kamati hiyo bado haijamaliza kazi yake lakini jina la JONH POMBE MAGUFULI limeonekana likikubalika sana miongoni mwa wananchi, Jina la Lowassa linafuatia kwa mbali huku jina la Samweli Sita likiwa nyuma ya Lowasa lakini kwa mbali sana.

source: mimi mwenyewe nilikuwepo.
Unapima upepo kwakupitia Jamiiforums? Haifurahishi.
 
Katiba yenyewe bado haijakamilishwa kuboreshwa hatimaye ipitishwe, cha kushangaza ni baadhi ya Watu wanaota ndoto za Urais!!! IPo kazi kweli!!

Maunvi apatanishwe na Mwakembe ili awe Rais kisha Mwakembe awe waziri Mkuu kisha magufuri awe waziri wa mambo ya ndani au awe waziri wa itawala Bora hapo kitaeleweka kwani kinyume na hapo mambo ni Upinzani kuingia ikulu kiulaini tu na mambo Kuwa magumu kutekelezeka Kama ilivyo Vigumu Serikari Kuhamia Dodoma .
 
magufuli tena? hapo wanaccm wamechemsha bora wangempa bi.kiroboto.
 
Thubutu! kama ccm wanataka kufa kabisa wampitishe mafunguo Hafai hafai hafai na nasisitiza tena kuwa huyo mafunguo hafai.

Pengine kabla sijasema nililonalo moyoni, naomba udadavue ni udhaifu gani alionao unaokupa kuona kwamba jamaa hafai kwa urasi? Toa sababu t afadhali.
 
CCM/;_WAKINIPANGIA LIST HII KURA YANGU HAINA MJADALA;
1.Rais-j magufuri
2.m.rais-karume
3.w,mkuu-mwakyembe
4.w.fedha- aliopo
5.w.nishati- aliopo
* * * * *
 
nakubaliana nawe kwenye kijani, lakini hapo kwenye red..mhhh. Kuna vingine si vya kujaribu ukiwamo urais....we have learned our lesson!!

tuliambiwa tumjaribu jk weee chamoto tumekiona
 
Back
Top Bottom