Arudi tu naamini atasema siri yoteMnyika nakuamini sanaa.....naomba siku uje useme ukweli kuhusu covid19 saga mwanzo mwisho tujue tunachezewaje akili
Sijasikia CCM wakigombana na kutaka kugawana fito;, au wewe unazo taarifa tusizozijuwa wengine?Ni jambo jema. Muhimu ni kuwapokea kwa heshima kama anavyosema yuko tayari kufanya kwa Halima. Aheshimu tu haki ya wanachama kutofautiana kimawazo ama sivyo hawatakuwa tofauti na CCM.
Amandla...
naunga mkono hoja. nampenda sana bibie yule.Halima Mdee naomba apokelewe haraka sana. Ni mpinzani wa kweli.
Mpumbavu huna akili. Kwa hiyo Yericko pekee umeona sio kimeo? We ni mburula.Kuweni makini sana na baadhi ya hawa watu.
Huwezi kumrudisha mwanachama kama Yericko kwa yeye kusema tu kumbe alikengeuka!
Kuna hawa waliojibaisisha wazi kabisa kuwa walitaka kukidhuru chama.
Ni muhimu kabisa kila mtu achukuliwe tofauti kwa kupima mchango wake katika juhudi zilizofanyika kukisambaratisha chama.
Hizi bangi sasa zinakuzidi kimo. Usipochukua tahadhari utaanza kutembea uchi barabarani.Mpumbavu huna akili. Kwa hiyo Yericko pekee umeona sio kimeo? We ni mburula.