Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,370
- 18,685
Mnyika nakuamini sanaa.....naomba siku uje useme ukweli kuhusu covid19 saga mwanzo mwisho tujue tunachezewaje akili"Kwanza niseme Halima ni rafiki yangu, na mimi nampenda na anajua. Tumekuwa naye kwenye chama... ni mtu nampenda, anajua na chama chetu kinampenda."
"Halima ni mtu mwerevu, ni mtu ambaye kwa kweli ana mchango mkubwa kwa chama chetu, huwezi kupuuza hilo, huwezi kulikataa."
Kuhusu utaratibu wa kurejea kwenye chama amesema; "Anajua taratibu za chama chetu. Kama alivyofuata Anatropia [Theonest], Anatropia aliandika barua, akafuata 'process' zote, ikaja kwenye kikao..."
"Hivyo hivyo Anthony Komu... alikuwa Mbunge, akafukuzwa na yeye alifuata 'procedure', wote wamerudi ndani ya chama."
"Mirango iko wazi, hiki ni chama cha siasa... Kama anataka kurudi kwenye chama, 'procedure' zipo, 'process' zipo, arudi kwa kupitia utaratibu, atapokelewa kwenye chama."
Kuhusu Wanachama wengine wa CHADEMA walioondoka, Heche amesema; "Na hata wale wengine waliokimbia kule kwenda kwenye kile chama kile kingine... wengi umewasikia wanarudi wenyewe wanasema 'kumbe tulikengeuka'."
kwani alienda wapi, tangu lini?Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, John Heche amezungumzia kurejea kwa Halima Mdee ndani ya chama hicho wakati wa mahojiano kupitia Wasafi FM;
"Kwanza niseme Halima ni rafiki yangu, na mimi nampenda na anajua. Tumekuwa naye kwenye chama... ni mtu nampenda, anajua na chama chetu kinampenda."
"Halima ni mtu mwerevu, ni mtu ambaye kwa kweli ana mchango mkubwa kwa chama chetu, huwezi kupuuza hilo, huwezi kulikataa."
Kuhusu utaratibu wa kurejea kwenye chama amesema; "Anajua taratibu za chama chetu. Kama alivyofuata Anatropia [Theonest], Anatropia aliandika barua, akafuata 'process' zote, ikaja kwenye kikao..."
"Hivyo hivyo Anthony Komu... alikuwa Mbunge, akafukuzwa na yeye alifuata 'procedure', wote wamerudi ndani ya chama."
"Mirango iko wazi, hiki ni chama cha siasa... Kama anataka kurudi kwenye chama, 'procedure' zipo, 'process' zipo, arudi kwa kupitia utaratibu, atapokelewa kwenye chama."
Kuhusu Wanachama wengine wa CHADEMA walioondoka, Heche amesema; "Na hata wale wengine waliokimbia kule kwenda kwenye kile chama kile kingine... wengi umewasikia wanarudi wenyewe wanasema 'kumbe tulikengeuka'."
Yeriko alisema mbovu juu ya chadema baada ya kutoka, huyu abaki huko hukoo asirudi tenaaa!Wakiwa wanarudi waimbiwe ule wimbo Narudi kutoka mbali, mnikaribishe sasa narudi. Mjuba Yericko naye arudi tu alikokuwa amejitanabaisha kwenye siasa
Yeriko alipokelewe kabisaWakiwa wanarudi waimbiwe ule wimbo Narudi kutoka mbali, mnikaribishe sasa narudi. Mjuba Yericko naye arudi tu alikokuwa amejitanabaisha kwenye siasa
Mkuu Hilo la kuvuna wanachama wapya lingewezekana vizuri kama mzani wa siasa ungekua uko sawa tofauti na sasa ambapo wanachama wanakamatwa ovyo na kubambikiwa kesi za uhaini,uchochezi na kutekwa,hivyo vyote vina changia kuwatisha vijana kujihusisha na chadema na vyama pinzani kwa ujumla.Hivyo ni wajinu wa vyama kudai mzani sawa wa kufanya siasa.Kwa vile CHADEMA kwa sasa imeondolewa vizuizi vya kufanya siasa zake, huu ni wakati wa kufua na kupata wanachama wapya, isitegemee sana makanda wake waliokihama kurudi. Ifufue na kuanzisha matawi mapya mpaka vijijini isisubiri mpaka uchaguzi mkuu ndio iinuke kufanya siasa. Kwenye siasa za ushindani CHADEMA iko hai na inaungwa mkono na wananchi wengi, kura inazo za kutosha kushinda uchaguzi
Ni jambo jema. Muhimu ni kuwapokea kwa heshima kama anavyosema yuko tayari kufanya kwa Halima. Aheshimu tu haki ya wanachama kutofautiana kimawazo ama sivyo hawatakuwa tofauti na CCM.Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, John Heche amezungumzia kurejea kwa Halima Mdee ndani ya chama hicho wakati wa mahojiano kupitia Wasafi FM;