Makamu Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA, Mh. John Heche, leo Oktoba 15, 2026, ametembelea Kata ya Kirua, Jimbo la Siha, Mkoa wa Kilimanjaro, ambapo amezindua rasmi jiwe la msingi la Kijiji cha Lawate, ikiwa ni sehemu ya shughuli zake za ziara katika Kanda ya Kaskazini.
VIDEO: Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara John Heche ameeleza kuwa nchi ya Tanzania inayo fursa ya kutengeneza ajira za kutosha kwa Watanzania iwapo tu kutakuwa na...
Mapenzi ya Mungu hayasemi watu wauwawe
Watu watekwe
Watu wasingiziwe
Inahitaji kutii kile Mungu anasema kwa mawazo
Kutoa mapenzi ya Mungu na kukubali kupambana na wanaokataa inahitaji kujikana nafsi
.tunapoweka kando matamanio yetu NI kwa sababu yenu
Tunapoona shida inayokuja tunajikana nafsi na kuamka upya
.
Kubalini katika nyakati hizi ngumu tujitoe sote kwa pamoja msituachie kazi hii wachache
Kama huna nguvu ya kusafiri changia mageuzi iepushe CHADEMA kuwa chama cha mfukoni ishikilie wewe kwa namna unavyoweza kama tunavyounga neno la Bwana mkono liende mbele kutuokoa nafsi zetu basi tupunguze sehemu nyingine sasa tuweke kwenye upiganiaji Haki NI wakati mgumu ...tujitoe sote twende sambamba ...mtu mmoja aseme sambamba na HAKI sambamba na HAKI ...