John Heche: Kesi ya Lissu ni ya uongo aachiwe bila masharti yoyote

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tanzania Bara, John Heche, ametoa wito wa kumuachia huru bila masharti Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho, Tundu Lissu, ambaye yupo mahabusu akikabiliwa na kesi ya uhaini.

Your browser is not able to display this video.
 
Na hao hao wanaotoa masharti ni wahalifu, majambazi ambayo yamekaa madarakani isivyo halali

Itakuwaje, kundi la watu wahalifu ndio wawe wa kupangia waTanzania nini wafanye!

Hawa watu waovu sasa wanachosubiri ni kuona waTanzania kuwa wamezoea uhalifu wao na kufanya kama hali hiyo ndiyo hali ya kawaida na wao wanaendelea kukaa madarakani bila ya ridhaa ya wananchi.

Wanasubiri waTanzania wasahau maovu wanayotendewa, na wakubali hali hiyo ya uovu kuwa kama ndiyo hali ya kawaida., ili wao waendelee kukaa madarakani isivyo halali bila usumbufu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…