John heche anapaswa au hapaswi lipwa mshahara??

KIBE

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2010
Posts
943
Reaction score
186
Je katiba ya chadema anasemaje ni nani anapaswa kulipwa mshahara kati ya viongozi wa chama...mana yako mazungumzo heche analipwa mshahara kinyume na maelekezo ya katiba...na kama hapaswi nani katoa mamlaka alipwe mshahara na wakati viongozi wengine wengine hawalipwi.
 
VP KIBE, Upo mtu wangu? daa, za siku mingi mazee huonekani sku hizi ulitekwa nini?
 
baba yako ndio anapaswa kulipwa mshahara,umetumwa nini na lumumba?

kama unahoja jibu kama huna bora endelea kura matapishi yako... Mkiambiwa kazi yenu matusi mnatoka povu ..na jana mr..sugu kamtukana dc bila soni...
Jibu hoja je ni sahihi au katiba inatupwa huko
 
Je katiba ya chadema anasemaje ni nani anapaswa kulipwa mshahara kati ya viongozi wa chama...mana yako mazungumzo heche analipwa mshahara kinyume na maelekezo ya katiba...na kama hapaswi nani katoa mamlaka alipwe mshahara na wakati viongozi wengine wengine hawalipwi.

Taifa la Majungu, Wikendi Hii Mataifa kama BRAZIL, INDONESIA , MALAYASIA, CHINA, na kazalika wanachi wake huamkia viwanjani kufanya mazoezi ili J3 wawe fiti kwa ajili ya Kujenga mataifa yao, Ndo maana Nchi kama Brazili Imeipita hadi Uingereza kwa sasa,

Huku Tanzania iwe siku ya kazi, iwe Wikendi ni Majungu kutwa nzima, watu wako bise kuwatumikia Bwana zao wakati Bwana zao siku kama ya leo asubuhi humakia kwenye Viwanja vya GYMKHANA kupasha then Mchana hujimwaga Serena Hoteli kunywa Nvinyo, watumika wako bise kwenye Mitandao watu hawalali, huu ni muda wa Msosi lakini watu wako Mtandaoni kufanya majungu,

Hii nchi kuendelea ni vigumu sana, mimi sina chama lakini some time Serikali inalaumiwa bure, haiwezekani watu wanaamkia kwenye mitandao, wanashinda kwenye mitandao,

Tumeshindwa hata kutengeneza hata vijiti vya meno, techinolijia rahisu kabisa, tunaagiza had toilet Paper, Ni muda gani watu wanawaza kuendeleza Taifa? Watu wakitoka humu ni Kusoma magazeti ya Porojo za siasa, na Udaku

Taifa la Majungu, Tiafa la watumika, ni lini Utatumikiwa na wewe?
 
Wewe kinakuuma nini hasa??kama kinakuuma hama Chadema tafuta pa kwenda,hata alipwe million 20 kwa siku sisi hatujali,tumeshawashtukia masalia mpango wenu kukigawa chadema na hakika hamtofanikiwa,katiba katiba,kitu kidogo katiba pumbavu nyinyi,msitake kutupotezea muda wetu,hata kama ametumwa wacha aongee anavyopendaaa

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
kama unahoja jibu kama huna bora endelea kura matapishi yako... Mkiambiwa kazi yenu matusi mnatoka povu ..na jana mr..sugu kamtukana dc bila soni...
Jibu hoja je ni sahihi au katiba inatupwa huko

Kwaiyo na wewe ndo umejibu hoja?
 
Taifa la Majungu, Wikendi Hii Mataifa kama BRAZIL, INDONESIA , MALAYASIA, CHINA, na kazalika wanachi wake huamkia viwanjani kufanya mazoezi ili J3 wawe fiti kwa ajili ya Kujenga mataifa yao, Ndo maana Nchi kama Brazili Imeipita hadi Uingereza kwa sasa,

Huku Tanzania iwe siku ya kazi, iwe Wikendi ni Majungu kutwa nzima, watu wako bise kuwatumikia Bwana zao wakati Bwana zao siku kama ya leo asubuhi humakia kwenye Viwanja vya GYMKHANA kupasha then Mchana hujimwaga Serena Hoteli kunywa Nvinyo, watumika wako bise kwenye Mitandao watu hawalali, huu ni muda wa Msosi lakini watu wako Mtandaoni kufanya majungu,

Hii nchi kuendelea ni vigumu sana, mimi sina chama lakini some time Serikali inalaumiwa bure, haiwezekani watu wanaamkia kwenye mitandao, wanashinda kwenye mitandao,

Tumeshindwa hata kutengeneza hata vijiti vya meno, techinolijia rahisu kabisa, tunaagiza had toilet Paper, Ni muda gani watu wanawaza kuendeleza Taifa? Watu wakitoka humu ni Kusoma magazeti ya Porojo za siasa, na Udaku

Taifa la Majungu, Tiafa la watumika, ni lini Utatumikiwa na wewe?

Sioni kioption cha LIKE. umesema kitu sahihi sana. Vijana wamekua vijakazi wa wanasiasa
 
Mmmh hadi kwene mishahara,UTAKULA KWA JASHO LAKO.Kama mtu anafanya kazi acha apewe mshahara kwani tatzo nn hapa...
 
wewe kinakuuma nini hasa??kama kinakuuma hama chadema tafuta pa kwenda,hata alipwe million 20 kwa siku sisi hatujali,tumeshawashtukia masalia mpango wenu kukigawa chadema na hakika hamtofanikiwa,katiba katiba,kitu kidogo katiba pumbavu nyinyi,msitake kutupotezea muda wetu,hata kama ametumwa wacha aongee anavyopendaaa

sent from my blackberry 9800 using jamiiforums

katiba ya chama inasemaje kuhusu hilo..mana msiwe vinara kutoa povu kwa wenzenu wakati dr.slaa ndo kinara wa kuvuruga kukiuka katiba ya chama
 
taifa la majungu, wikendi hii mataifa kama brazil, indonesia , malayasia, china, na kazalika wanachi wake huamkia viwanjani kufanya mazoezi ili j3 wawe fiti kwa ajili ya kujenga mataifa yao, ndo maana nchi kama brazili imeipita hadi uingereza kwa sasa,

huku tanzania iwe siku ya kazi, iwe wikendi ni majungu kutwa nzima, watu wako bise kuwatumikia bwana zao wakati bwana zao siku kama ya leo asubuhi humakia kwenye viwanja vya gymkhana kupasha then mchana hujimwaga serena hoteli kunywa nvinyo, watumika wako bise kwenye mitandao watu hawalali, huu ni muda wa msosi lakini watu wako mtandaoni kufanya majungu,

hii nchi kuendelea ni vigumu sana, mimi sina chama lakini some time serikali inalaumiwa bure, haiwezekani watu wanaamkia kwenye mitandao, wanashinda kwenye mitandao,

tumeshindwa hata kutengeneza hata vijiti vya meno, techinolijia rahisu kabisa, tunaagiza had toilet paper, ni muda gani watu wanawaza kuendeleza taifa? Watu wakitoka humu ni kusoma magazeti ya porojo za siasa, na udaku

taifa la majungu, tiafa la watumika, ni lini utatumikiwa na wewe?
mkishikwa pazuri mnastuka sana na kuja na hoja nyepesi..leo wkend wewe hujui au uko kaburini??? Na kama hujui kazi ya wanasiasa ndo hii hawa kazi nyingine.....hayo mengine yanawahusu watushi
 
Ana paswa kulipwa.

Na ikumbukwe kwambwa kama unafanya kazi za masalia utalipwa na masalia, kama una fanya kazi za chadema utalipwa na chadema.

'utakula ulipo peleka mboga'
 
Back
Top Bottom