- Thread starter
- #61
Mbona kimada wenu wa masalia analipwa wakati hafanyi kazi za kujenga chama bali kuchafua maboss zake na haumshauri arudishe pesa za wavuja jasho, unajaji vitu ambavyo unaona kabisa kijana anapiga mzigo
kimada wa dr.slaa?
Mbona kimada wenu wa masalia analipwa wakati hafanyi kazi za kujenga chama bali kuchafua maboss zake na haumshauri arudishe pesa za wavuja jasho, unajaji vitu ambavyo unaona kabisa kijana anapiga mzigo
Tatizo ndani ya CDM linakuhusu nini wewe? Kwanza siyo chama tawala!!!! Mbona huelezei Matatizo kwenye vyama vingine Kama TLP UDP au nccr? Slaa kawashika pabayahuu ukweli ingawa ni ukweli wanajua ..watapinga hadi kwa matusi koo liwatokea... Ukweli dr.slaa kirusi kwenye chadema ....sijui mzee mtei haoni hili au ye tatizo ni zito tu!!!
watu kama akina kibe wanadhani wanawasaidia magamba saaaaaaaaaaaaaaaaaaana kwa kuijidai wana hoja lakini hoja zao nyepesi nyepesi.
Kibe kibe kibe- kama kweli unajiona kipanga tueleze
1. Ni vipi twiga zetu zinaibiwa huku tuna serikali
2. Ni vipi rasli mali zetu zinaibiwa na tuna serikali
3. Ni vipi tembo wetu wanawawa na tuna serikali
4. Ni vipi yanaingizwa madawa feki na tuna serikali
ni kwa vile tuna wapuuzi wachache kama nyie ambo mumekalia non-issues wakati ya maana yamewashinda
dhaifuuuuuuu!!!!
tatizo ndani ya cdm linakuhusu nini wewe? Kwanza siyo chama tawala!!!! Mbona huelezei matatizo kwenye vyama vingine kama tlp udp au nccr? Slaa kawashika pabaya
haya waachie viongozi kwani kila kitu kipo wazi kamanda, kuanza kujadili humu ndani analipwa au alipwi itapidi na wewe ujiulize unalipwa au ulipwi. We need change comrade, make a differenece tomorrow by becoming a change today:majani7:
Kama umeshaona hivyo jiunge na TLPtunakipenda chadema lakini hakina uongozi kama chama uongozi wake ni kama saccos tu .... Yani ukiangalia hata kwa elimu ya msingi unajua kabisa cdm sio taasisi ya kuongoza nchi....