John heche anapaswa au hapaswi lipwa mshahara??

kiukweli JF inaharibiwa na watu wachache wanaoendekeza ushabiki wa vyama badala ya kujibu hoja, kama hivi jama kauliza swali la kimantiki ila majibu yanayotoka kwa maPRO CDM hayaeleweki, wao kila swali linalowagusa hasa lisilo na majibu ya kutosha waatadai ama Majungu, au umetumwa na siku hizi utaitwa masalia, lakini swaali hilo hilo likiuliza upande wa pili utaona reaction zao kana kwamba wazalendo sana, Jaman lazima tukubali CCM n CDM wote wanakuwa wanakosea na ni vyema kusaidiana kukosoana hasa kwa hoja..
 
Hutajibiwa kwa kuwa hoja yako haina msingi,unatakiwa kueleza ni katika sura ya ngapi,ibara gani na kipengele kipi kimeainisha wanaotakiwa kulipwa kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA? Kisha uje kuhoji,imekuwaje fulani analipwa,shilingi ngapi na kwa ushahidi gani.Vinginevyo,hizi ni soga za mzawa!
 
kwani katiba hairuhusu maamuzi mengine ya vikao vya kawaida?badi hata bill ya umeme na simu ingekuwa hrd coded ktk katiba ili ikiongezeka wakatae kw avile katiba haijataja hicho kiwango. Viwango duni wengi, watu wanamsikiliza Juliana Kiti maalumu wa Zitto? Malipo ya Heche yapo within maamuzi ya kawadia kabisa, na hizo laki 7 ni sawa na maamuzi mengine ya kulipa vibarua waliweka hema za m4c ktk ziara za kila siku mikoani.
 
Je katiba ya chadema anasemaje ni nani anapaswa kulipwa mshahara kati ya viongozi wa chama...mana yako mazungumzo heche analipwa mshahara kinyume na maelekezo ya katiba...na kama hapaswi nani katoa mamlaka alipwe mshahara na wakati viongozi wengine wengine hawalipwi.

elimu inasaidia wewe wafahamu full time anafanya kazi ya chama hana ajila sehemu nyingine unataka ale wapi?
 
au na wewe ni id nyingine
 
Yani povu tu zinzawatoka kwa hoja hiyo...mkubali mumeshindwa jibu hoja....wanachama matusi viongozi wao nao matusi...nani yuko timamu cdm
 
Kwani we unaonaje??
 
Mshahara wa Heche ni amri kutoka kwa Mbowe na Dr Slaa.
 
Yani povu tu zinzawatoka kwa hoja hiyo...mkubali mumeshindwa jibu hoja....wanachama matusi viongozi wao nao matusi...nani yuko timamu cdm

Haya hongera kwa kushinda
 
Mshahara wa Heche ni amri kutoka kwa Mbowe na Dr Slaa.

Na anazohonga yule njegele aliyejificha kuogopa aibu ya ushindi wa Lema ni kwa amri ya nani????
 
ni kweli sasa cdm ni saccos ya slaa na mbowe

Bibie Kibe, katiba ya CDM inasema Mwenyekiti wa BAVICHA atalipwa posho ya tshs 700,000 kwa mwezi ili kujikimu na kufanikisha kazi za chama.

Katiba ya CDM inapatikana kwenye maduka ya vitabu. Ni uamuzi wako na uwezo wako kuinunia na kuisoma kabla hujaja kuuliza maswali ambayo majibu yake yako wazi.

Swali jingine? Hapana Sitajibu, kanunue katiba uisome na kama hutaelewa niPM nikufafanulie.
 
Taifa la Majungu, Wikendi Hii Mataifa kama BRAZIL, INDONESIA , MALAYASIA, CHINA, na kazalika wanachi wake huamkia viwanjani kufanya mazoezi ili J3 wawe fiti kwa ajili ya Kujenga mataifa yao, Ndo maana Nchi kama Brazili Imeipita hadi Uingereza kwa sasa,

Huku Tanzania iwe siku ya kazi, iwe Wikendi ni Majungu kutwa nzima, watu wako bise kuwatumikia Bwana zao wakati Bwana zao siku kama ya leo asubuhi humakia kwenye Viwanja vya GYMKHANA kupasha then Mchana hujimwaga Serena Hoteli kunywa Nvinyo, watumika wako bise kwenye Mitandao watu hawalali, huu ni muda wa Msosi lakini watu wako Mtandaoni kufanya majungu,

Hii nchi kuendelea ni vigumu sana, mimi sina chama lakini some time Serikali inalaumiwa bure, haiwezekani watu wanaamkia kwenye mitandao, wanashinda kwenye mitandao,

Tumeshindwa hata kutengeneza hata vijiti vya meno, techinolijia rahisu kabisa, tunaagiza had toilet Paper, Ni muda gani watu wanawaza kuendeleza Taifa? Watu wakitoka humu ni Kusoma magazeti ya Porojo za siasa, na Udaku

Taifa la Majungu, Tiafa la watumika, ni lini Utatumikiwa na wewe?

Taifa la wapiga dili kila mahali
 
taja kifungu kipi hicho kama unajiamini na majibu yako?.....acha kudanganya wewe kila mtu anayo hiyo katiba hakuna hicho kifungu labda kakiweke wewe muda huu
 
Ana paswa kulipwa.

Na ikumbukwe kwambwa kama unafanya kazi za masalia utalipwa na masalia, kama una fanya kazi za chadema utalipwa na chadema.

'utakula ulipo peleka mboga'
Hii nimeipenda sana.
Nina uhakika hili ndilo jibu sahihi zaidi.
 
Taifa la Majungu, Wikendi Hii Mataifa kama BRAZIL, INDONESIA , MALAYASIA, CHINA, na kazalika wanachi wake huamkia viwanjani kufanya mazoezi ili J3 wawe fiti kwa ajili ya Kujenga mataifa yao, Ndo maana Nchi kama Brazili Imeipita hadi Uingereza kwa sasa,

Huku Tanzania iwe siku ya kazi, iwe Wikendi ni Majungu kutwa nzima, watu wako bise kuwatumikia Bwana zao wakati Bwana zao siku kama ya leo asubuhi humakia kwenye Viwanja vya GYMKHANA kupasha then Mchana hujimwaga Serena Hoteli kunywa Nvinyo, watumika wako bise kwenye Mitandao watu hawalali, huu ni muda wa Msosi lakini watu wako Mtandaoni kufanya majungu,

Hii nchi kuendelea ni vigumu sana, mimi sina chama lakini some time Serikali inalaumiwa bure, haiwezekani watu wanaamkia kwenye mitandao, wanashinda kwenye mitandao,

Tumeshindwa hata kutengeneza hata vijiti vya meno, techinolijia rahisu kabisa, tunaagiza had toilet Paper, Ni muda gani watu wanawaza kuendeleza Taifa? Watu wakitoka humu ni Kusoma magazeti ya Porojo za siasa, na Udaku

Taifa la Majungu, Tiafa la watumika, ni lini Utatumikiwa na wewe?
[ongea mambo kwa akili umesahau kuwa hata wewe unatumia muda na mtandao kuwasiliana na watu, nakushauri ujitoe jf ili usiendelee kuwa bize na mitandao]
 
....unashangaa.... nyayo za makamanda..... wanaume wamepita.....
 
Unajua kuna mshahara na ujira, katiba inaweza ikasema halipwi mshahara lakini bado ndugu Heche akawa anahitaji kitu kidogo kumwezesha kufanya kazi za chama kama mawasiliano au chochote hivyo si vibaya kupewa hiyo posho kwa ajili ya kumsaidia kufanya kazi ndogo ndogo za chama maana si kwamba kila mara atakuwa yupo jirani na facilities za chama. Mshahara lazima watuonyeshe contract yake, makato TRA na NSSF / PPF kisha tuanze kujadiliana hapo kama wamefanya kwa mujibu wa katibu otherwise wapo sahihi kama wanamlipa hiyo hela kama posho
 
Mbona kimada wenu wa masalia analipwa wakati hafanyi kazi za kujenga chama bali kuchafua maboss zake na haumshauri arudishe pesa za wavuja jasho, unajaji vitu ambavyo unaona kabisa kijana anapiga mzigo
 
Back
Top Bottom