John heche anapaswa au hapaswi lipwa mshahara??

John heche anapaswa au hapaswi lipwa mshahara??

Taifa la Majungu, Wikendi Hii Mataifa kama BRAZIL, INDONESIA , MALAYASIA, CHINA, na kazalika wanachi wake huamkia viwanjani kufanya mazoezi ili J3 wawe fiti kwa ajili ya Kujenga mataifa yao, Ndo maana Nchi kama Brazili Imeipita hadi Uingereza kwa sasa,

Huku Tanzania iwe siku ya kazi, iwe Wikendi ni Majungu kutwa nzima, watu wako bise kuwatumikia Bwana zao wakati Bwana zao siku kama ya leo asubuhi humakia kwenye Viwanja vya GYMKHANA kupasha then Mchana hujimwaga Serena Hoteli kunywa Nvinyo, watumika wako bise kwenye Mitandao watu hawalali, huu ni muda wa Msosi lakini watu wako Mtandaoni kufanya majungu,

Hii nchi kuendelea ni vigumu sana, mimi sina chama lakini some time Serikali inalaumiwa bure, haiwezekani watu wanaamkia kwenye mitandao, wanashinda kwenye mitandao,

Tumeshindwa hata kutengeneza hata vijiti vya meno, techinolijia rahisu kabisa, tunaagiza had toilet Paper, Ni muda gani watu wanawaza kuendeleza Taifa? Watu wakitoka humu ni Kusoma magazeti ya Porojo za siasa, na Udaku

Taifa la Majungu, Tiafa la watumika, ni lini Utatumikiwa na wewe?
wewe ni mchungaji nini inaonekana unakemea pepo nyani haoni kundule wewe huutumii mtandao?
 
Je katiba ya chadema anasemaje ni nani anapaswa kulipwa mshahara kati ya viongozi wa chama...mana yako mazungumzo heche analipwa mshahara kinyume na maelekezo ya katiba...na kama hapaswi nani katoa mamlaka alipwe mshahara na wakati viongozi wengine wengine hawalipwi.
Katiba haitoi maelekezo ya kulipwa Heche,ni usanii tuu unafanyika mkuu!
 
John Heche analipwa mshahara yeye pamoja na dereva wake Chacha Heche ambaye ni mdogo wake ni amri kutoka kwa Dr Slaa... Wote wamepangiwa nyuma.
 
katiba ya chama inasemaje kuhusu hilo..mana msiwe vinara kutoa povu kwa wenzenu wakati dr.slaa ndo kinara wa kuvuruga kukiuka katiba ya chama
SIjasoma katiba ya CDM juu ya hilo, ila kama tunafuata haki anastahili kulipwa. Binafsi nilicheka sana kuona Juliana analalamika Heche kulipwa Laki saba. Kama kweli analipwa laki saba na bado akina Nape hawajamchakachua na mamilioni yao basi huyu jamaa anamsimamo na ni kiongozi imara. Prof Mwaikusa wa sheria alyemtetea Mtikila kwenye kesi ya mgombea binafsi aliwahi kuuliza ...ni nini kinamtangulia mwenzake kati ya HAKI na KATIBA." haikupita muda mrefu mafisadi wakamuua. RIP prof.
 
Anapaswa kulipwa mshahara.Ikiwezekana aongezewe maana anafanya kazi sana.Vijana tunamwamini kamanda Heche.
 
Kabla ya kuangalia katiba jiulize ni kweli heche analipwa mshahara? iyo kauli kuwa analipwa ilitoka kwa nani? je mtu huyo anaushahidi wowote ktk hilo? je unajua kuna tofauti kati ya mshahara na posho?
 
John Heche analipwa mshahara yeye pamoja na dereva wake Chacha Heche ambaye ni mdogo wake ni amri kutoka kwa Dr Slaa... Wote wamepangiwa nyuma.

ndugu ritz asante kwa kunisababishia ban leo
 
john heche analipwa mshahara yeye pamoja na dereva wake chacha heche ambaye ni mdogo wake ni amri kutoka kwa dr slaa... Wote wamepangiwa nyuma.

huu ukweli ingawa ni ukweli wanajua ..watapinga hadi kwa matusi koo liwatokea... Ukweli dr.slaa kirusi kwenye chadema ....sijui mzee mtei haoni hili au ye tatizo ni zito tu!!!
 
kama unahoja jibu kama huna bora endelea kura matapishi yako... Mkiambiwa kazi yenu matusi mnatoka povu ..na jana mr..sugu kamtukana dc bila soni...
Jibu hoja je ni sahihi au katiba inatupwa huko
Ulianza vizuri kwa kujivisha joho la Mwana CDM mwenye uchungu, hoja mbili tu zimeku-expose ukaonyesha True colour yako kwamba Unatumiwa kama si na Nape basi Zitto. Usipoangalia watakutumia mpaka masaburi yako uliyoyachunga kwa muda wote huo!
 
John Heche analipwa mshahara yeye pamoja na dereva wake Chacha Heche ambaye ni mdogo wake ni amri kutoka kwa Dr Slaa... Wote wamepangiwa nyuma.
mmh watu bhana yani umeandika kama wewe ndo mhasibu wa chadema vile!!!!
 
wewe ni mchungaji nini inaonekana unakemea pepo nyani haoni kundule wewe huutumii mtandao?

mada si imekuwa moto kwake anatafuta pa kutokea haoni hata mlango wala dirisha liko wapi.....kazi ipo hadi 2015 maneno ya wasira yatatimia tu ..
 
ulianza vizuri kwa kujivisha joho la mwana cdm mwenye uchungu, hoja mbili tu zimeku-expose ukaonyesha true colour yako kwamba unatumiwa kama si na nape basi zitto. Usipoangalia watakutumia mpaka masaburi yako uliyoyachunga kwa muda wote huo!
.
Pokea moto hata kama mkali lakini utakusaidia mbele ya safari..hayo ndo yanaifanya cdm inagawanyika vipande vipande.
 
Kamanda Heche aongezewe mshahara maana kazi anayoifanya ya kujenga chama ni kubwa sn wakati wengine kazi yao kubomoa
 
Kwani muuliza swali kakosea nini? Wanaojua taratibu za BAVICHA kuhusu malipo ya mwenyekiti si watoe majibu. Matusi ya nini?

Hoja zijibiwe kwa hoja. Kama kuna utaratibu usemwe, na kama analipwa nje ya utaratibu, tuelezwe kwa nini.
 
kwani muuliza swali kakosea nini? Wanaojua taratibu za bavicha kuhusu malipo ya mwenyekiti si watoe majibu. Matusi ya nini?

Hoja zijibiwe kwa hoja. Kama kuna utaratibu usemwe, na kama analipwa nje ya utaratibu, tuelezwe kwa nini.

wanafikiri wamekuelewa ..wasamehe ndo mapenzi ya kupenda hata kisichopendwa
 
Back
Top Bottom