John Heche amkosha Farhia Middle!

John Heche amkosha Farhia Middle!

Acheni kujibizana na hilo tahira!! Akiandika msipomjibu ujinga wake ataona amedharaulika.
sina haja ya kujibiwa gentleman,
nikishaeleza ukweli , chukieni na mkaufanyie kazi.

mengine ni msisitizo tu.
so, huna sababu wala haja ya kunijibu chochote kwenye koment au hoja zangu.

muhimu sana ni kuchukua mawaidha hayo ukayafanyie kazi na wenzako pamoja na chama chako 🐒
 
Hawa dawa yao kuwakabia kwa juu.Watu wanataka kushiriki uchaguzi dikteta mmoja na genge lake wanasema watazuia uchaguzi
G55 wamekabia juu halafu wanafinyia kwa chini, mayowe ni mengi mno wanayatoa heche na lisu 🐒
 
Hata lissu alimkosha askari leo
20250407_233108.jpg
 
John Heche umetisha 🫡🫡🫡🫡👉💐💐💐💐🌻🌻💐🌻🌻🌻🌻🌻🌻💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐
 
heche kuna vitu anapitia saikolojikali na mentally ee?

maana body languages, tone na facial expressions ni kama kabisa hayuko sawa kuna vitu vigumu mno na vizito anapitia 🐒
Kweli kabisa. Mimi ni jirani ya Heche hapa Majengo Mapya, Mkolani, Jijini Mwanza. Heche SIO MUUMINI wa No Reform, No Election. Lakini sasa, atafanyaje mbele ya Dikteta Lissu? Ndio maana unamwona mnyonge akitetea hoja asiyoiamini!
 
kwanza nuru imepotea, lakini pia hana tena ile authoritative tone, lakini amekongoroka mno.

au anapiga sana vyombo hasa spirit zile ngumu ngumu ambazo ili umeze lazima ukaze sura na kung'ata meno?

huenda kuna Ukweli wa kuliwa pension yake ubunge kwenye kubeti kamari 🐒
Kuna watu wa CCM humu walishangilia sana Mbowe atoke na kuukweza sana umoja wa TL na JH.

Mbowe ametoka TL ameshikilia Usukani. Ajabu ukipitia nyuzi humu watu walewale wa CCM na wasiopenda mabadiliko , ambao kwa namna Moja au nyingine wananufaika na mirija ya mfumo uliopo sasa wanawarushia mawe polepole TL na JH. Wanawashusha polepole kama walivyowapandisha.

Wonders shall never end in Africa.
 
Jikite kwenye mada gentleman, itapendeza zaidi 🐒
 
Back
Top Bottom