John Heche amkosha Farhia Middle!

John Heche amkosha Farhia Middle!

heche kuna vitu anapitia saikolojikali na mentally ee?

maana body languages, tone na facial expressions ni kama kabisa hayuko sawa kuna vitu vigumu mno na vizito anapitia 🐒
Hicho ndo huwa unaita hoja bwana chawa kilaza mchumia tumbo.😂😂😂
 
Hicho ndo huwa unaita hoja bwana chawa kilaza mchumia tumbo.😂😂😂
ni muhimu sana na kwakweli ni upendo kumsaidia huyo muungwana kuliko kumpa kichwa zaidi, ataumia na kuathirika zaidi gentleman 🐒
 
UVCCM naona wamevamia Uzi huu ku neutralize mambo na kumshambulia Heche personal.

kweli CCM hakuna mjenga hoja ni ku attack watu tu.
 
Heche wa ccm ati ni Mzee wasira, ccm akili zenu mnazijua wenyewe,
Hivi mkuu uzi wenu mpya ambao umechanganya rangi kama nguo ya Mganga wa kienyeji ,ndo wenyewe au bado designer yupo kazini
ni muhimu zaidi kuzingatia afya na saikolojia ya huyo muungwana ndrugu zango,

hakuna haja ya kubabaika na kujaribu kupindisha hoja, hiyo haitamsaidia huyo muungwana 🐒
 
Katika siku ambazo Farhia Middle wa ITV hatazisahau ni leo wakati akifanya mahojiano na Makamu Mwenyekiti wa Chadema katika kipindi cha dakika 45!

Farhia ameshiba majibu ya maswali yote aliyouliza hadi akashindwa kuuliza maswali ya nyongeza!

Hakika kwa viongozi hawa wa Chadema wakiongozwa na Mwenyekiti Lissu mambo ni 🔥!
😅😅😅watakubali tu
 
Kwamba umegeuka mtaalam wa afya? Politician wa jf bwana 😂😂😂
gentleman,
mimi ni mtaalamu mbobevu wa mambo mengi mno, na for sure, sio mchoyo kueleza observation zangu za ukweli kama hili la huyo muungwana 🐒
 
Kwahiyo ukiwa mkali unakuwa haupo sawa.
kwa ukali wa heche na anavyojenga hoja na kujieleza, ukitazama na nuru ilivyopotea na alivyokongoroka, kabisa unaona muungwana anaehitaji kusaidiwa kiafya na kisaikojia, iko shida anapitia,

na ikiachwa inaweza kubainika akiwa katika hali mbaya zaidi 🐒
 
Katika siku ambazo Farhia Middle wa ITV hatazisahau ni leo wakati akifanya mahojiano na Makamu Mwenyekiti wa Chadema katika kipindi cha dakika 45!

Farhia ameshiba majibu ya maswali yote aliyouliza hadi akashindwa kuuliza maswali ya nyongeza!

Hakika kwa viongozi hawa wa Chadema wakiongozwa na Mwenyekiti Lissu mambo ni 🔥!
Nyumbu wamegeuka praise team.
 
Back
Top Bottom