John Heche amkosha Farhia Middle!

John Heche amkosha Farhia Middle!

Ileje

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
11,808
Reaction score
18,045
Katika siku ambazo Farhia Middle wa ITV hatazisahau ni leo wakati akifanya mahojiano na Makamu Mwenyekiti wa Chadema katika kipindi cha dakika 45!

Farhia ameshiba majibu ya maswali yote aliyouliza hadi akashindwa kuuliza maswali ya nyongeza!

Hakika kwa viongozi hawa wa Chadema wakiongozwa na Mwenyekiti Lissu mambo ni 🔥!
 
Marudio lini na sisi tujionee unachosema
 
Katika siku ambazo Farhia Middle wa ITV hatazisahau ni leo wakati akifanya mahojiano na Makamu Mwenyekiti wa Chadema katika kipindi cha dakika 45!

Farhia ameshiba majibu ya maswali yote aliyouliza hadi akashindwa kuuliza maswali ya nyongeza!

Hakika kwa viongozi hawa wa Chadema wakiongozwa na Mwenyekiti Lissu mambo ni 🔥!
heche kuna vitu anapitia saikolojikali na mentally ee?

maana body languages, tone na facial expressions ni kama kabisa hayuko sawa kuna vitu vigumu mno na vizito anapitia 🐒
 
Porojo tu Heche hanaga hoja ni kelele tu
 
Katika siku ambazo Farhia Middle wa ITV hatazisahau ni leo wakati akifanya mahojiano na Makamu Mwenyekiti wa Chadema katika kipindi cha dakika 45!

Farhia ameshiba majibu ya maswali yote aliyouliza hadi akashindwa kuuliza maswali ya nyongeza!

Hakika kwa viongozi hawa wa Chadema wakiongozwa na Mwenyekiti Lissu mambo ni 🔥!
Lissu unyekiti umemzidi akili
 
heche kuna vitu anapitia saikolojikali na mentally ee?

maana body languages, tone na facial expressions ni kama kabisa hayuko sawa kuna vitu vigumu mno na vizito anapitia 🐒
Angekuwa anapitia asingeweza kufanya kampen au kujielezea. So shut up and get a grip
 
Nenda chooni ukakague chupi yako kuna kinyesi!
kwanza nuru imepotea, lakini pia hana tena ile authoritative tone, lakini amekongoroka mno.

au anapiga sana vyombo hasa spirit zile ngumu ngumu ambazo ili umeze lazima ukaze sura na kung'ata meno?

huenda kuna Ukweli wa kuliwa pension yake ubunge kwenye kubeti kamari 🐒
 
heche kuna vitu anapitia saikolojikali na mentally ee?

maana body languages, tone na facial expressions ni kama kabisa hayuko sawa kuna vitu vigumu mno na vizito anapitia 🐒
We ni mke wake mpaka ujue hayuko sawa? No reforms no election.
 
are you sure unamuona muungwana yuko sawa?

nashauri akafanyiwe afya check-up na itapendeza zaidi kuliko kumpa kichwa mgonjwa kwamba yupo fit 🐒
Are you shure hayuko? Kaa kwa kutulia bro. Si kila jambo ni la ku comment, sometimes una comment ujinga
 
Back
Top Bottom