John Bolton, Mshauri wa Trump kwenye masuala ya usalama adakwa na ujumbe huu "5,000 Troops to Colombia"

Sura tu na usharubu anaonekana mpenda damu. Kwani mwanzoni alishika wadhifa gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Alikuwa balozi wa UN kipindi ya Bush,, jamaa sura yake inafanana kabisa na roho yake na vitendo vyake
1548935263325.png
 
View attachment 1009136View attachment 1009137View attachment 1009138

"5,000 troops to Colombia"
Hiyo ni message kutoka kwenye notepad ya Michael Bolton Mshauri wa Rais Trump kwenye Usalama, iliyodakwa na Waandishi wa Habari wakati akifanya Press Briefing kuhusu vikwazo vipya kwa Venezuela.

Colombia inashirikiana mpaka na Venezuela..

"..Photos of the note rocketed around Twitter, causing a stir. National Security Council representatives didn’t respond to questions about whether the U.S. is planning to deploy the military to Colombia, which...borders Venezuela, or otherwise explain Bolton’s note.." ~ Bloomberg.
Nalendwa It's John Bolton, not Michael Bolton...!
 
Sio michael Bolton...ni John Bolton.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawana haja ya kuivamia, sababu wako huko, kuanzia majeshi, makampuni ya Oil, mainjinia na upuku upuku wote, mshirika wake mkubwa, hasa katika kuuziana silaha na uwekezaji USA..
Mwaka 1973-1974 Saudi Arabia alimwekea Marekani Oil Embargo, na kusababisha Oil Crisis. Mbona Marekani hakuwavamia ? Unadhani leo hii Saudi Arabia akimpinga Marekani anaweza kuvamiwa kijeshi ?
 
Back
Top Bottom