Nalendwa
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 7,467
- 13,024
"5,000 troops to Colombia"
Hiyo ni message kutoka kwenye notepad ya John Bolton Mshauri wa Rais Trump kwenye Usalama, iliyodakwa na Waandishi wa Habari wakati akifanya Press Briefing kuhusu vikwazo vipya kwa Venezuela.
Colombia inashirikiana mpaka na Venezuela..
"..Photos of the note rocketed around Twitter, causing a stir. National Security Council representatives didn’t respond to questions about whether the U.S. is planning to deploy the military to Colombia, which...borders Venezuela, or otherwise explain Bolton’s note.." ~ Bloomberg.