John Bolton, Mshauri wa Trump kwenye masuala ya usalama adakwa na ujumbe huu "5,000 Troops to Colombia"

Mimi nataka kujua hayo maneno ya juu yake yanasomeka vipi maana Media nazo huwa zinakuza mambo zana.
Kuna wakati kama unachukua notes za haraka haraka kuna maneno yanaweza kuwa yameandikwa kwa muda tofauti kwa na maudhui tofauti lakini yapo kwenye mlolongo mmoja

Hapo mimi naona neno Afghanistan

Sent from my SM using Tapatalk
 
Ni kweli Maduro hachomoi,ingawa sio kwa sbabu ya mustachi bali safari hii kaingia vizuri kwenye kumi na nane za marekani

Pongezeni tu kwani mnasahau kuwa Putin kisha muonya Trump juu ya Venezuela.!! Russia na China hawawezi kumuacha Maduro aondolewe na Marekani , ikibidi ni lazima watakinukisha tu!! Putin alipeleka ndege zake za kivita Venezuela recently; RECONAISSANCE mission!!!
 
Sawa mkuu, ila sipo upande wowote zaidi ya kutaka amani iwepo, ila nipo macho kuona yatakayo ajili hapo mbeleni kuhusu hao mafahali wawil

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa nakubaliana na wewe kwa kutokuwa upande wowote
Dunia hii ni vizuri kuwa na wababe wawili ili na wengine waponee humo humo
Sisi yetu macho

Sent from my SM using Tapatalk
 
Za siku kwanza mkuu..?

Kama Nakumbuka vizuri mfalme wa Saudia, king Faisal baada ya hii oil embargo aliuliwa na ndugu yake wa damu, na INASEMEKANA US walikua nyuma ya hiki kifo
Salama kabisa mkuu, nipo nashukuru.
Hapa swali ni kwamba, unadhani Marekani anaweza kupeleka vikosi (Overtly)Saudi Arabia kama alivyopeleka kule Iraq, Afghanistan, Syria na Libya kama watamkatalia mafuta yao ???

Mfalme Faisal aliuwawa mwaka 1975 miaka miwili baada ya Oil Crisis: Wakati Oil Crisis inaendelea Henry Kissinger "The Secretary of State" alitaka kupeleka hadi vikosi lakini wakapima mara mbili wakaacha: Unadhani ni kwanini ???
 
Malcolm do you think sababu ya hii shughuli ya USA vs. Maduro ni jinsi ambavyo USA is fueling almost half of Venezuela's economy?!

I think the U.S. is their number one importer.

Ndiyo! Venezuela anategemea sana Marekani ili aishi.: Huu utegemezi una miaka zaidi ya 100. Kipindi chote cha vita ya pili ya dunia Venezuela ndiyo alikuwa anamuuzia sana mafuta Marekani. Pia yeye ni moja ya wanufaika wakubwa sana wa Lend-Lease Initiative.

Lakini sasa swali langu mimi ni rahisi tu: Hivi unadhani wakimtoa Maduro ndiyo Venezuela itatulia ???
 
Ndiyo! Venezuela anategemea sana Marekani ili aishi.: Huu utegemezi una miaka zaidi ya 100. Kipindi chote cha vita ya pili ya dunia Venezuela ndiyo alikuwa anamuuzia sana mafuta Marekani. Pia yeye ni moja ya wanufaika wakubwa sana wa Lend-Lease Initiative.

Lakini sasa swali langu mimi ni rahisi tu: Hivi unadhani wakimtoa Maduro ndiyo Venezuela itatulia ???


Mh, Sio swali rahisi.
Kama uchumi hautakuwa stabilised after a while hata kama Juan atachukua Nchi, am afraid Venezuela haitatulia.
And it could turn out to be a Zimbabwe of South America.
 
Mwaka 1973-1974 Saudi Arabia alimwekea Marekani Oil Embargo, na kusababisha Oil Crisis. Mbona Marekani hakuwavamia ? Unadhani leo hii Saudi Arabia akimpinga Marekani anaweza kuvamiwa kijeshi ?
Saudi Arabia nafikiri ni strategic ally wa Marekani hasa pale wanapotaka ku manipulate oil price ili kuwadhuru maadui wa marekani kama Russia,Iran n.k.pia Saudia has much to do with oil price ili ku satabilise US Dollar.Ndio maana wanaona is much better kumlea Saudia hata kama amewakosea.
 
Pongezeni tu kwani mnasahau kuwa Putin kisha muonya Trump juu ya Venezuela.!! Russia na China hawawezi kumuacha Maduro aondolewe na Marekani , ikibidi ni lazima watakinukisha tu!! Putin alipeleka ndege zake za kivita Venezuela recently; RECONAISSANCE mission!!!
tusubiri mazee,hali ni tete.
 
View attachment 1009136View attachment 1009137View attachment 1009138

"5,000 troops to Colombia"

Hiyo ni message kutoka kwenye notepad ya Job Bolton Mshauri wa Rais Trump kwenye Usalama, iliyodakwa na Waandishi wa Habari wakati akifanya Press Briefing kuhusu vikwazo vipya kwa Venezuela.

Colombia inashirikiana mpaka na Venezuela..

"..Photos of the note rocketed around Twitter, causing a stir. National Security Council representatives didn’t respond to questions about whether the U.S. is planning to deploy the military to Colombia, which...borders Venezuela, or otherwise explain Bolton’s note.." ~ Bloomberg.
John Bolton not Job
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom